Mchumba anatoa mashuzi mno!

Mchumba anatoa mashuzi mno!

Mkuu ilo tatizo lako ni dogo sana ambalo mwenzio anatoa hewa chafu wakati mmelala.... Ina maana na wewe pia una tatizo la kilosa usingizi... Nendeni wote mkamuone daktari......

Angalizo
sidhani Kama ni tatizo kubwa ndani ya ndoa yako Kuna wengine Wana tatizo la kulowesha godoro kila siku hapo si ungehama nyumba kimya kimya.. jua kutunza Siri dogo nna wasiwasi hata ukiapa kiapo Cha ndoa utatoa hizo Siri za ndani
 
Mkuu too much ukitoka nje ukirudi ndani ushuzi ukikaa hujakaa sawa ushuzi...umeinama uvunguni kidgo uvute kitu ukiinuka ushuzi...khaa nkajisemea Hapana huyu mtu sio bure mwache aende tu....
Hahaha ukiona hivyo Kama habanii ushuzi mbele yako ujue hakuna siri anazo kuficha.interesting.kuishi na mtu haujazaliwa nae tabu sana
 
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!

Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.

Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).

Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.

ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
apunguze kula mbaaz mkuu
 
kifupi huyo BAE wako huwa anabastisha.

mimi dawa yake ninayo,hvyo nataka nimtibu aache kubastisha.

kama haumtaki tafadhali niachie mimi.

nitumie namba yake DM haraka mda huu kuna jambo nataka kuzungumza naye.
 
Yani nilipoona heading ya huu uzi nikaanza kucheka kabla sijasoma coments...asanteni sana [emoji16][emoji1787][emoji1787]

Pole sana mpwa...mimi sina ushauri wowote.
IMG_20200305_150543.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faza kula mahindi na maharage utoe ushuzi mbele yake, atakuuliza, na wewe utaqnzia hapohapo, usimfedheheshe tafadhali.. Jamba ukimaliza mtaanzianhappo mwaambie, mnajamba kwa zamu. Atakuuliza yeye amepiga bastola wapi, utamwambia, usiku jaribu kurekodi umsikilizishe
 
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!

Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.

Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).

Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.

ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
Hio sio ishu sana,ila jua kua hata yeye lazm anafahamu Ana tatzo hlo na cku ukikaa nae kumueleza ndo utajua manake atakwambia nafahamu kuwa nina tatzo hilo
Cha kufanya kaa nae chini liongee kiume ktk namna ambayo hatojiskia vbaya then mkamchek mtaalamu wa afya basi mchezo umeisha
 
Back
Top Bottom