Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Watu hawajifunzi tu..Mchumba anatakiwa kuhudumiwa na wazazi wake hadi siku utakapomtolea mahali.
Mwanaume anapaswa kuhudumia mke sio mchumba au rafiki wa kike.
Ni kosa baya kwa dada kuwa tegemezi kwa mwanaume ambaye hajakuoa.
Kama akiwa na shida msaidie kama ambayo ungemsaidia mtu wakwaida tu, wala usihusianishe na uchumba wako.
Hii kanuni ukiileewa itakusaidia sana
Kumbe mnauza?!!! Ni barter trade!!!Msiombe uchii
Tunanyonyana tunakojozana wenyewe๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Halafu mnajipiga matango mwisho wa siku
Hakuna uchi wa bureKumbe mnauza?!!! Ni barter trade!!!
Kama vile nyie kuna mnaowapa hela zenu kabla hata hawajawaomba๐ ๐ ๐Sasa mtu akitaka si anakupa tu mwenyewe, kwani lazma ulazimishe? ๐คฃ
Mbona nyie mbunye kuna mnaowapa free tu bila utata.
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Hii ni hatari kwenye langoTunanyonyana tunakojozana wenyewe
Watu huchomoa siku ya harusi ndo umgharamikie?Hapa hatuzungumzii demu ambaye unapiga tu ila hauna mpango wa kumuoa
Tunazungumzia mchumba ambaye hatua inayofuata ni kumuoa.
Sioni tatizo kumuhudumia mchumba kwa kile ambacho kipo ndani ya uwezo wako
tukapewe na baba mama zetu sio??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msiombe uchii
AnyoeKwa mfano mchumba wako akikuomba hela ya salon utamwambiaje?
Ikiwa una mwanamke anakupa nyapu tu kwa sababu unampa pesa basi huyo ni malaya (prostitute) tu, tafauti yake na wale wanaokaa barabarani au katika vyumba na kuhudumia yeyote yule ni kuwa ulie nae ni wale wanaoitwa high class/maintenance prostitute.Halafu tukiomba nyapu tupewe tu au siyo? Tafuta hela brother mwanamke anahudumiwa vizuri sana.
Kabisaaatukapewe na baba mama zetu sio??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka free pKama vile nyie kuna mnaowapa hela zenu kabla hata hawajawaomba๐ ๐ ๐
Subirini na nyie tutawapa tu sio lazima muombe
Twende kwenye vyakula kule achana na nyuchi za bureAnyoe
Sawa kwa hivyo wewe unatowa huduma tu kama alivyo muuza bidhaa yeyote ile anavyotafuta muhitaji wa bidhaa zake na kumuuzia. Sasa kwa mantiki hiyo huoni kuwa tafauti yenu na wale akina dada poa ni kuwa dada poa anauza yake kwa kila mtu ila nyinyi mnauza zenu kwa mteja mmoja tu? Mwisho wa siku ni kuwa nyote mnauza K zenu!Mwanamke ndio mwenye uchi
Nyie Ndio mna shida sie hatuna shida na vibamia vyenu ๐คช
Kwa hiyo hata kum spoil na hela kidogo ya salon ni hadi ndoa?
Sawa kwa hivyo wewe unatowa huduma tu kama alivyo muuza bidhaa yeyote ile anavyotafuta muhitaji wa bidhaa zake na kumuuzia. Sasa kwa mantiki hiyo huoni kuwa tafauti yenu na wale akina dada poa ni kuwa dada poa anauza yake kwa kila mtu ila nyinyi mnauza zenu kwa mteja mmoja tu? Mwisho wa siku ni kuwa nyote mnauza K zenu!
Ama kwa suali la vibamiya vyetu, well siwezi kusema kwa wanaume wote ila binafsi wanawake wote nilowahi kuwa nao na nilie nae sasa hawajawahi kulalamikia size yangu wakati wowote ule ๐๐
Kuna tafauti kubwa mno baina ya mchumba na rafiki wa kike, huyu jamaa amechanganya hapa ila aim yake ni kusema girlfriend na sio fiancee. Fiancee ni hatari na ndio hata maana jina linafanana sana finance ๐Kama huwez kumhudumia mchumba, my friend hata mke hutoweza.