Sawa kwa hivyo wewe unatowa huduma tu kama alivyo muuza bidhaa yeyote ile anavyotafuta muhitaji wa bidhaa zake na kumuuzia. Sasa kwa mantiki hiyo huoni kuwa tafauti yenu na wale akina dada poa ni kuwa dada poa anauza yake kwa kila mtu ila nyinyi mnauza zenu kwa mteja mmoja tu? Mwisho wa siku ni kuwa nyote mnauza K zenu!
Ama kwa suali la vibamiya vyetu, well siwezi kusema kwa wanaume wote ila binafsi wanawake wote nilowahi kuwa nao na nilie nae sasa hawajawahi kulalamikia size yangu wakati wowote ule 🙂😉