Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba anatakiwa kuhudumiwa na wazazi wake hadi siku utakapomtolea mahali.
Mwanaume anapaswa kuhudumia mke sio mchumba au rafiki wa kike.

Ni kosa baya kwa dada kuwa tegemezi kwa mwanaume ambaye hajakuoa.

Kama akiwa na shida msaidie kama ambayo ungemsaidia mtu wakwaida tu, wala usihusianishe na uchumba wako.

Hii kanuni ukiileewa itakusaidia sana
Watu hawajifunzi tu..
 
Sasa mtu akitaka si anakupa tu mwenyewe, kwani lazma ulazimishe? 🤣
Mbona nyie mbunye kuna mnaowapa free tu bila utata.
Kama vile nyie kuna mnaowapa hela zenu kabla hata hawajawaomba😅😅😅

Subirini na nyie tutawapa tu sio lazima muombe
 
Halafu tukiomba nyapu tupewe tu au siyo? Tafuta hela brother mwanamke anahudumiwa vizuri sana.
Ikiwa una mwanamke anakupa nyapu tu kwa sababu unampa pesa basi huyo ni malaya (prostitute) tu, tafauti yake na wale wanaokaa barabarani au katika vyumba na kuhudumia yeyote yule ni kuwa ulie nae ni wale wanaoitwa high class/maintenance prostitute.

Lakini wote wanauza tupu zao mmoja anauza kwa yeyote anaetowa pesa pale pale wakati wako anakuuzia na daima unamlipa kwa pesa na zawadi tele. Usawa wao ni mwisho wa siku unamwaga wazungu ndani ya K zao tu!
 
Mwanamke ndio mwenye uchi
Nyie Ndio mna shida sie hatuna shida na vibamia vyenu 🤪
Sawa kwa hivyo wewe unatowa huduma tu kama alivyo muuza bidhaa yeyote ile anavyotafuta muhitaji wa bidhaa zake na kumuuzia. Sasa kwa mantiki hiyo huoni kuwa tafauti yenu na wale akina dada poa ni kuwa dada poa anauza yake kwa kila mtu ila nyinyi mnauza zenu kwa mteja mmoja tu? Mwisho wa siku ni kuwa nyote mnauza K zenu!

Ama kwa suali la vibamiya vyetu, well siwezi kusema kwa wanaume wote ila binafsi wanawake wote nilowahi kuwa nao na nilie nae sasa hawajawahi kulalamikia size yangu wakati wowote ule 🙂😉
 
Usipende vya bure
 
Back
Top Bottom