Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba hahudumiwi vijana

Hizi nyuzi nyingi leo
Sa itakuaje [emoji28][emoji28]

Kuna mtoto wa mtu ameshaniahidi kunipea hela nikalipe kikoba akiona hizi nyuzi nimeisha[emoji28]
Kuna mwananke nilimkimbia kwasababu ya vicoba vingi
 
Mimi manzi akinipa mbunye nampa huduma sina pingamizi
Unajua gharama za kumuhudumia mchumba ukiishinae piga hesabu kwa mwaka mmoja pesa ni nyingi Sana inapotea wewe hauna uhalali wakummiliki mwanamke ambaye sio mke yupo huru muda wowote kuvunja mahusiano wala hakuna sehemu utaenda kumshtaki wala kulalamika
 
°kumgharamia mke ni jukumu la kisheria, kasome sheria ya ndoa imesema mwanaume ana jukumu la kumtunza mke na watoto, lakini haijasema unatakiwa kumtunza mchumba
Similarly kutoa chiu ni jukumu la kisheria kwa mwanamke. Maana ameolewa ili aje alale chiu na sio kubana. Na akimnyima mume wake, mume anaweza kwenda kumshtaki kwamba mke wangu hanipi huduma na hana sabbu. It works both ways.

Mimi nasupport wanaume wasihudumie wapenzi maana sio jukumu lao..tena kwa asilimia 100. Lakini na nyie wanawake msitoe hizo nyuchi maana sio kazi yako. Mambo ya kwenda kufanya usafi, sijui kupika achana na hii habari. Wewe sio mke.

Kama anataka wewe ufanye hayo, agharamike..aonekane kwa wazazi wako. Kazi ya mwanaume ni kutafuta kipato tangia mwanzo in the bible...kazi ya mwanamke ni kumsaidia mwanaume huyu ikiwemo kumzalia kwa uchungu.

Tunatakiwa kucheza humu. Majukumu ya kindoa ni baada ya agano ama kufungishwa na shehe. Its crystal clear.
 
°tatizo kuvunja Uchumba ni rahisi sana kuliko kuvunja ndoa, Uchumba kuvunjika ni rahisi sana japo sheria ya ndoa imetoa mwanya wa kudai gharama zako ulizotumia kumtunza mchumba huyo kutokana na breach of promise to marry but kushinda hiyo kesi ni ngumu
Kuna mwananke nilimkimbia kwasababu ya vicoba vingi
Changu kimoja
 
Hizi nyuzi nyingi leo
Sa itakuaje [emoji28][emoji28]

Kuna mtoto wa mtu ameshaniahidi kunipea hela nikalipe kikoba akiona hizi nyuzi nimeisha[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umekwisha kwa nyuzi hizi
 
Back
Top Bottom