kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Mwanamke haaminiki hata huduma baada ya ndoa ni kujipa moyo tu, labda kama ni wewe umeondoa usichana wake basi ni mke wako halali. Mme halali wa mwanamke ni yule aliyeondoa usichana wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuniambia kuwa kusex ni shida ya wanaume?Sio shida zetu
Nini maana ya neno halali na ni wapi ulipoona au kusoma kuwa mwanamme halali ni yule alieondoa usichana wake?Mwanamke haaminiki hata huduma baada ya ndoa ni kujipa moyo tu, labda kama ni wewe umeondoa usichana wake basi ni mke wako halali. Mme halali wa mwanamke ni yule aliyeondoa usichana wake.
Sisi tunaweza kuvumilia nyie je?Unataka kuniambia kuwa kusex ni shida ya wanaume?
tuko tele tunaoweza kuvumilia.Sisi tunaweza kuvumilia nyie je?
Hapo umekariri sista, kuna kazi ukijikita kuzifanya unasahau kabisa kuhusu mahaja ya kufanya mapenzi maana unakuwa busy haswa.Sisi tunaweza kuvumilia nyie je?
Mnavumilia kwa kujiingiza matango na chupa za soda sioSisi tunaweza kuvumilia nyie je?
Hapa ndio maana ya ndoa inapo kufa kabisa.Msiombe uchii
Ndo fanyeni hizo kazi sasaHapo umekariri sista, kuna kazi ukijikita kuzifanya unasahau kabisa kuhusu mahaja ya kufanya mapenzi maana unakuwa busy haswa.
😂😂😂😂 nikimaanisha kwamba ndio tunazifanya sista. Kuna fast generalization mnazifanyaga zaajabu sana😂😂😂, kwamfano kama hilo uliloliongea, mwanaume kufa mapema n.k. Sio kwalengo la kumdidimiza mwanamke ila mnapenda kukimbilia sana kutumia ngono kama sababu tosha ya mwanaume kukufanya wewe kuwa priority. Sii hekima na busara kwaujumla.Ndo fanyeni hizo kazi sasa
Umesema vizuri sana!! .....Basi hapo unaumia nini??? km unalijua hiloooo? kwa sababu na yeye Demu! alikuwa anatafuta kwako sex na pesa tu, baaasi ana haki ya kuondoka kwako saabu muda umeisha!kutofautisha love na sex wewe upo kundi la watu wanaotafuta sex jambo ambalo ni rahisi kupata kwa kila mwanaume
Unahudumia mwanamke yupo kwa wazazi wake unagharamia we huoni kama unaibiwa? we huoni kama wewe ni mjinga?Mpe hela demu we vp?ko unataka nani ampe?
Hilo linawezekana kwa wanaume na wanawake!Hapo umekariri sista, kuna kazi ukijikita kuzifanya unasahau kabisa kuhusu mahaja ya kufanya mapenzi maana unakuwa busy haswa.
Chief umeona nimetaja kuwa ni specific kwa jinsia hii!!!Hilo linawezekana kwa wanaume na wanawake!