Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba hahudumiwi vijana

Mwanamke haaminiki hata huduma baada ya ndoa ni kujipa moyo tu, labda kama ni wewe umeondoa usichana wake basi ni mke wako halali. Mme halali wa mwanamke ni yule aliyeondoa usichana wake.
 
Mwanamke haaminiki hata huduma baada ya ndoa ni kujipa moyo tu, labda kama ni wewe umeondoa usichana wake basi ni mke wako halali. Mme halali wa mwanamke ni yule aliyeondoa usichana wake.
Nini maana ya neno halali na ni wapi ulipoona au kusoma kuwa mwanamme halali ni yule alieondoa usichana wake?
 
Kuhusu mwanaume halali! Msichana amejitunza kwa mda wote huo na wanaume wapo wengi ila akamuamini mmoja ambae ni halali yake na amempenda. Kuruhusu mwanaume aanze na wewe Ina maana umeshamchunguza sana na ukaridhika nae, basi ni mme wako halali.
 
Ndo fanyeni hizo kazi sasa
😂😂😂😂 nikimaanisha kwamba ndio tunazifanya sista. Kuna fast generalization mnazifanyaga zaajabu sana😂😂😂, kwamfano kama hilo uliloliongea, mwanaume kufa mapema n.k. Sio kwalengo la kumdidimiza mwanamke ila mnapenda kukimbilia sana kutumia ngono kama sababu tosha ya mwanaume kukufanya wewe kuwa priority. Sii hekima na busara kwaujumla.
 
kutofautisha love na sex wewe upo kundi la watu wanaotafuta sex jambo ambalo ni rahisi kupata kwa kila mwanaume
Umesema vizuri sana!! .....Basi hapo unaumia nini??? km unalijua hiloooo? kwa sababu na yeye Demu! alikuwa anatafuta kwako sex na pesa tu, baaasi ana haki ya kuondoka kwako saabu muda umeisha!

jua kuwa wkt unamuhudumia ile ilikuwa ni haki yake ya Msingi! sababu alikupa papuchi safi mnato! lkn yeye badala ya kutupa kimatumizi zile pesa alizitumia kwa faida yake!...km angenunua magauni na kuzila usingesema haya!

ila demu ana akili akazisomea! hata leo Machangudoa weeengi wana jilipia karo za vyuo ! palee Mlimani na kwingineko! lkn hamjui tu!
 
sija kosea vijana wahudumieni wachuchu saabu hata mkeo wa ndoa! anaweza kukuacha unalia mchana kweupeee hata km una Mamillioni ya Pesa! na madaraka mfano Mengi alikuwa msela mda mrefuuu! alikimbiwa,

Idd Amini na ubabe wake woote wake zake waliwahi kumkimbia, baadhi wakaenda ishi London!! Mswati mkewe mdogo alimkimbia mpaka leo!

Prince Charles na leo Mfalme charles na ubabe wao wooote alikimbiwa na mkewe wa ndoa bila kujali matokeo tena akatoa mzigo kwa kijana mdogo tu ...wewe ni naniiii usikimbiwe na kamupenzi kala mihogo??
 
Mpe hela demu we vp?ko unataka nani ampe?
Unahudumia mwanamke yupo kwa wazazi wake unagharamia we huoni kama unaibiwa? we huoni kama wewe ni mjinga?
Unauhakika gani huyo dem yupo na wewe peke yako usisahau gharama za kumuhudumia dem kwa mwaka atakuwa amekukula zaidi ya million 1
 
Back
Top Bottom