Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #221
sasa kwa nini umekuja kuuliza kwa ndugu wa matumbo mbali mbali kama wa tumbo moja ni muhimu.
Mwanaume mzima unakosa msimamo, walau wangesema anatabia zisizorizisha/hatarishi sio huo utumbo. kwani wewe ulimchagua usiku au kakunywesha libwata nin
ina maana yeye halielewi hilo?Acha pombe zako na wewe mwambie huyo ndugu aache upoyoyo hii dunia siyo ya kuchaguliwa mke.
Mwanaume mzima unakosa msimamo, walau wangesema anatabia zisizorizisha/hatarishi sio huo utumbo. kwani wewe ulimchagua usiku au kakunywesha libwata nin
Wanaooa dada zako au ww by the way dada zako wana shape?
anaonekana hayuko tayari kuoa nothing else.Hajitambui
Hate wanaume wa hivi jaman
Unaoa shepu jaman watu tonatofautiana kwa hiyo akiwa na shepu na tabia mbaya ataoa tuu
Cos kigezo ni shepu
Kuna mdada alimvalisha mama mkwe pete yake ya ndoa akamwambia awe mke wa mwanae, kisa maneno maneno haya yasiyo na maana!Mke alikuwa anapenda kuvaa suruali na min skirt, sasa mama mkwe badala ya kumwambia kistaarabu na kwa hekima akawa anamkoromea tena mbele za watu akimwambia kuwa mwanae kaoa malaya, akamkuta huyo bidada nae mtoto wa mjini maneno yamemjaa hadi kidevuni siku moja akamvulia pete akamvisha mamkwe kisha akasepa hadi leo kaolewa na mwanaume mwingine.
kuna mwingine jirani yangu alimpa kichap ma mkwe na mawifi zake,yani alitandika maana walikua wanamsakama kila kukicha,na alikua akimwambia mumewe hachukui action yoyote, alimpiga mama mkwe na mawifi mbele ya mume wake,yani huyo dada alikua mpole sana,aliumilia ila hiyo siku hakuna mtu aliamini action yake,alivyomaliza kugawa kichap alifungasha kabeba watoto akasepa
naona hauna jipya wewe ndio wale wale!!
Pole weee
Mkuu umechanganya madesa, mtoa post ni mwanaume na si mwanamke kama unavyo insinuate.Ndo maana yake, wewe kama huna maamzi na unategemea utashi wa dada zako na si feelings zako sasa hapo sisi tukusaidieje?
Anayeolewa ni wewe au wao? Wembamba tu ndo kigezo cha kumkataa mshikaji? Basi wakutafutie Mh john Komba kama wanataka Mnene