ubuntu2012
Member
- Oct 13, 2012
- 25
- 1
Unapotaka kuoa suala la ndugu lina uzito wake ya nini kuoa au kuolewa wakati hukubaliki na ndugu? Ukipata tatizo ndugu watakutenga na kejeli juu kwamba tulimwambia hakusikia! Ndo maana mchumba anatambulishwa ili ndugu jamaa na marafiki watoe comments kama ndugu wana walakini na mke mtarajiwa ni bora ukaachana nae!
dada zako wana shepu ?
wazazi wetu wengi walipangiwa ndio maana ndoa zao zimedumu mpaka sasa!!
wana miili ya wastani tu!!!
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.
Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.
Acha uongo........wana miili ya wastani tu!!!
Acha uongo........
Yani mm mtoto mwembamba acha tu, nawapenda sana. Kwa kuwa wewe ndio unamuoa na wewe ndio umempenda wasijupe presha, kama mmekubaliana hao wifi zake hawana ishu
hilo neno ni kwa lugha gani mkuu?
Mbona yule ni BONGE........?!!!sasa kama ni uongo wewe sema huo ukweli.