Mchumba kakataliwa kisa shepu

Kama wanaweza kukuchagulia mchumba wa kuoa jiandae na kupangiwa maisha yako ya ndoa na dada zako,jisimamie mwenyewe na amini katika maamuzi yako.
Mwisho atapangiwa mpaka ratiba kwa wiki na idadi ya magoli ya kumpiga mkewe...
 
Mheshimiwa mleta uzi naomba nisaidie viswali hivi kwanza:
1. Una umri gani?
2. Je umeanza kujitegemea au bado unaishi kwa wazazi wako?
3. Je hao dada zako wana umri kukuzidi wewe na wao wanashepu gani?
4. Je hao dada zako wameolewa tayari?

Answers:
1. 29 years of age.
2. mimi ninaishi home kwangu tabata segerea.
3. Dada zangu ni wakubwa na ni wanene vibonge.
4. Hao kina dada hawajaolewa.
 
nakushauri umuache manake waoaji ni dada zako.

subiri umpate atakaye pendwa kwa shapu na dada zako
Nafikiri ni vema akawauliza wanataka mke mtarajiwa awe mnene kwa kiasi gani, je awe dark skin au ......na pia aulize juu ya kimo ie mrefu au mfupi bila kusahau kiwango chake cha elimu, na kabila analotoka. Hii itasaidia kukidhi haja ya madada na kutorudia makosa. Shosti si unajua utaratibu wa kuoa kwa ajili ya familia kuna mengi ya kuangalia.
 
mkuu umeenda mbali sasa...try to behave on social networks!!

Ni behave vipi sasa,wewe unakaa na dada zako wanakupangia mwanamke wa kuwa nae na ulivyo wa ajabu unakuja kuongea mbele ya wanaume wenzako...

Watu wanakuchora tu...subiri wakuletee mwanaume mwenzako wakwambie anakufaa...
 
Mkuu huyu mtu ni wa ajabu sana, analeta uzi wa kitoto akishauriwa anasema watu wamemtukana. Hiii ndiyo tabu ya mtu mzima kuendelea kuishi kwa mama lazima atapangiwa jinsi ya kuishi tu....
 
Mbona kina wifi wanakuzibia riziki tena
 
Answers:
1. 29 years of age.

2. mimi ninaishi home kwangu tabata segerea.

3. Dada zangu ni wakubwa na ni wanene vibonge.

4. Hao kina dada hawajaolewa.

1. Umekua miaka lakini sio busara ya maamuzi binafsi kulingana na umri wako
2. I reserve my comment...
3. I reserve my comment...
4. Kwa tabia hiyo kutokuolewa ni haki yao
 
mambo mengine ni ya aibu tuu kwahiyo dada zako ndo wanakuchagulia mke wakati unampeleka kumtambulisha hulikuwa hujamwangilia shepu au ulimchukua ucku uzuri wa mwanamke siyo shepu ni bali ni tabia shepu hata mbuzi anayo bhana
 
1. Umekua miaka lakini sio busara ya maamuzi binafsi kulingana na umri wako
2. I reserve my comment...
3. I reserve my comment...
4. Kwa tabia hiyo kutokuolewa ni haki yao

Nahofia hata hapo mbeleni asije kupangiwa idadi ya watoto wanaohitajika na dada zake....napita tu
 
Ni behave vipi sasa,wewe unakaa na dada zako wanakupangia mwanamke wa kuwa nae na ulivyo wa ajabu unakuja kuongea mbele ya wanaume wenzako...

Watu wanakuchora tu...subiri wakuletee mwanaume mwenzako wakwambie anakufaa...

-----mamako wewe sio unaandika upuuzi tu ili uonekane ume comment!!
 
Hii si sababu ya msingi kabisa kwa watu walio timamu.
Hivi wao hizo shape walichagua kuwa nazo?

Dada zako wajinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…