Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho atapangiwa mpaka ratiba kwa wiki na idadi ya magoli ya kumpiga mkewe...Kama wanaweza kukuchagulia mchumba wa kuoa jiandae na kupangiwa maisha yako ya ndoa na dada zako,jisimamie mwenyewe na amini katika maamuzi yako.
Mheshimiwa mleta uzi naomba nisaidie viswali hivi kwanza:
1. Una umri gani?
2. Je umeanza kujitegemea au bado unaishi kwa wazazi wako?
3. Je hao dada zako wana umri kukuzidi wewe na wao wanashepu gani?
4. Je hao dada zako wameolewa tayari?
Mwisho atapangiwa mpaka ratiba kwa wiki na idadi ya magoli ya kumpiga mkewe...
wewe baki kusikiliza dada zako. baraka zinatoka kwa Mungu.
Nafikiri ni vema akawauliza wanataka mke mtarajiwa awe mnene kwa kiasi gani, je awe dark skin au ......na pia aulize juu ya kimo ie mrefu au mfupi bila kusahau kiwango chake cha elimu, na kabila analotoka. Hii itasaidia kukidhi haja ya madada na kutorudia makosa. Shosti si unajua utaratibu wa kuoa kwa ajili ya familia kuna mengi ya kuangalia.nakushauri umuache manake waoaji ni dada zako.
subiri umpate atakaye pendwa kwa shapu na dada zako
mkuu umeenda mbali sasa...try to behave on social networks!!
Matusi yako wapi hapo? Huo ni mtazamo wako kulingana na ukomavu wa akili yako na sitakushangaa maana hata uzi wako unajieleza....kama hauna ushauri tulia na sio unaleta matusi tu hapa!!!
Mkuu huyu mtu ni wa ajabu sana, analeta uzi wa kitoto akishauriwa anasema watu wamemtukana. Hiii ndiyo tabu ya mtu mzima kuendelea kuishi kwa mama lazima atapangiwa jinsi ya kuishi tu....Ni behave vipi sasa,wewe unakaa na dada zako wanakupangia mwanamke wa kuwa nae na ulivyo wa ajabu unakuja kuongea mbele ya wanaume wenzako...
Watu wanakuchora tu...subiri wakuletee mwanaume mwenzako wakwambie anakufaa...
Answers:
1. 29 years of age.
2. mimi ninaishi home kwangu tabata segerea.
3. Dada zangu ni wakubwa na ni wanene vibonge.
4. Hao kina dada hawajaolewa.
1. Umekua miaka lakini sio busara ya maamuzi binafsi kulingana na umri wako
2. I reserve my comment...
3. I reserve my comment...
4. Kwa tabia hiyo kutokuolewa ni haki yao
Mbona kina wifi wanakuzibia riziki tena
Ni behave vipi sasa,wewe unakaa na dada zako wanakupangia mwanamke wa kuwa nae na ulivyo wa ajabu unakuja kuongea mbele ya wanaume wenzako...
Watu wanakuchora tu...subiri wakuletee mwanaume mwenzako wakwambie anakufaa...
Sikujua mkuu, kumbekoroga hamira kwenye maji halafu mnyweshe
Hii si sababu ya msingi kabisa kwa watu walio timamu.
Hivi wao hizo shape walichagua kuwa nazo?
Dada zako wajinga sana.