Hawa ngoja waachane, jamaa anapenda sana kumsifiasifia na kujidai nae sana hapa mjini. Ngoja tu yatamfika
Mzee kigogo umempasua niki wa pili kule TwitterYupo vizuri kichwani pamoja na umbo. Ila sijawahi kuona picha akiwa amevaa skirt
Hata mimi ningekuwa mzee bao mia kenda lazima ningeupeleka moto..Mzee kigogo umempasua niki wa pili kule Twitter
Mbona kawaida sana CPA T tumejaa tu kitaaa wengi wanajitolea wanalipwa posho tu.
Kuuliza si ujinga jamani hivi Wistaz ni kitu gani?Hiki kichalii huko nyuma hakikua boya sijui ni mambo ya Wistaz
LodgeKuuliza si ujinga jamani hivi Wistaz ni kitu gani?
Haya bwana huwaga ni magogo hayafai kitu hayana hata mzuka.Hata mimi ningekuwa mzee bao mia kenda lazima ningeupeleka moto..
View attachment 1738399
Ngoja nimuite kabundi, aje akupe ushuhuda mkuu, namna alivyopewa mautamuuHaya bwana huwaga ni magogo hayafai kitu hayana hata mzuka.
Ujue raha ya umbo mtu ajue kushughulika nalo vinginevyo linavutia kwenye picha tu
PoleKufaulu vizuri perfomance management ndo awe apewe icho kitengo mkuu namna gani wewe na hiyo ni CPA tu. Si ajabu apo kamaliza degree ndo katafuta iyo CPA. Em muwe mnafatilia mambo kabla ya kupost apa aisee
Pole ya nini??1Pole
Wanawake wa hivi wachache sana, mzuri umbo na sura na kichwani zina charge
Lodge ambayo mkewe alipelekewa moto na mwambaKuuliza si ujinga jamani hivi Wistaz ni kitu gani?