Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,058
Reaction score
3,613
Kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao, tulikuwa tumeshatambulishana kwahyo kwao wananifahamu na kwetu vile vile wanamfahamu,

Kwa kumwelezea kdgo huyu bidada ni mpole,mtu wa dini sana na anazungumzika vzr kwa watu vzr(mtu wa heshima) sijawahi mhofia kuhusu suala zima la uhusiano ,amekuwa open sana kwangu kwa kipind kirefu ukizingatia na ukaribu tulio nao,

Sasa wiki iliyoisha bana nlikuw mitaa ya mbali kdg na mtaani kwetu ,kuna rafiki yangu alipata ajari so nikawa nmeeda kumuona, pale nilikuta anaendelea vzr kwa pemben pia kuna vijana watatu walikuw wakiendelea kupiga story na mgonjwa ikiwa ni pamoja na kumpa kampani/faraja

Baada ya muda mfupi kujumuika nao huyu ikabidi amuulize mmoja wapo wa wale vijana anaoa lini ,hapo ndipo story za mademu zikaanza sasa kama mnavyojua vijana huyu aliyeulizwa swali nilimsikia anasema "bro mimi kuoa ningeoa tu sema kuna mwanamke tunapendana ila alidai ana mtu wake na wanakaribia kuoana kwahy imebaki tu mi napiga kisela""

Huyu mgonjwa sasa tumwite XL na huyu anayeulizwa tumwite PK XL akiwa anacheka akasema we PK nakujua muoga muoga sana ww huna ubavu wa kuchapa manzi unawaogopa wanawake" PK nae kwa kuona kazidiwa point sindo akatoa simu yake kutuonyesha picha akiwa na huyo manz anaemsemea,

Kwanza niliona mawenge mbna kama mwanamke namfahamu,kungalia vzr naona kabsa n yy tena mwamba yupo kifua waz manzi nae kajifunika kikoi, nilijikaza kiume wasigundue lakn moyo uliiumia mno mno mno,

XL akanza kumpa msifa yote na kusema kijanaa umekuaaa, nilijifanya nimepokea simu ya dharura nikaondoka haraka, jana nimekaa nae chini nimemweleza yote mwanzon alikataa ila nilivyombana kakubali na kudai alikuw x wake washaachana.

Nimeamua kupiga chini japo naona kwa upande wake amegoma suala la kuchana ila msimamo wangu umebak ule ule siko pamoja na wadau wa kataa ndoa ila kwa sasa najipa muda kdg wa kutuliza akili.

Najua kuna walio kutana na mikasa zaid ya hii najua kwa kias kiubwa mtanifariji.


Asanteni
 
📌📌📌📌📌📌📌🙌

Screenshot_20240707_171343_Gallery.jpg
 
kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao,


tulikuwa tumeshatambulishana kwahyo kwao wananifahamu na kwetu vile vile wanamfahamu,
a sasa najipa muda kdg wa kutuliza akili.

najua kuna walio kutana na mikasa zaid ya hii najua kwa kias kiubwa mtanifariji.


asanteni
Dah!!nilishaandaa hela ya mchango jamani
 
kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao,




nimeamua kupiga chini japo naona kwa upande wake amegoma suala la kuchana ila msimamo wangu umebak ule ule.

siko pamoja na wadau wa kataa ndoa ila kwa sasa najipa muda kdg wa kutuliza akili.

najua kuna walio kutana na mikasa zaid ya hii najua kwa kias kiubwa mtanifariji.


asanteni
muda huu ambao uko kutuliza akili, nawewe tafuta wanyonge uwapigie maana everything is fair in Love and war
 
Back
Top Bottom