Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndiyo mfano halisi , kalikuwa kalokole sana lakini kwa sasa amebadilika mno,ana post post makalio kila kukicha.
Sasa mtu muhitimu wa chuo anakuwaje mweupe kiasi hicho Cha kutomjua hata Lowasa ,mtu huyo huyo amesomaje civics,GS na DS ?
Sasa kuoa mke mbumbumbu unaona sawa?Kumjua Lowassa ndio exposure? Kama anamjua Yesu na kumwamini inatosha sana kuwe mke. Halafu mke awe na exposure kwenye siasa itasaidia nini katika ustawi wa familia yenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bikra? Daah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sana mkuu. Ila usikate tamaa pambana, ila pia tiari kupokea msamaha wake
Humu chai nyingi bro 😂😂😂Mkuu kwanini shemeji alimaliza form four na 23 years huu umri ndio mimi nlikuwa namaliza chuo, hilo na lenyewe lakumuuliza we mwenyewe piga hesabu masta
Isiwe tabu, basi tufanye hicho unachokiwaza ndio jibu mkuu.. [emoji28]Aaaah wapi. Hata urudie vipi huwezi maliza na miaka 22 tena mtoto wa kike.
Asante mkuu. Mungu akubariki na kukuzidisha kwa mchango wako maridhawa kabisa.Kumjua Lowassa ndio exposure? Kama anamjua Yesu na kumwamini inatosha sana kuwe mke. Halafu mke awe na exposure kwenye siasa itasaidia nini katika ustawi wa familia yenu?
Lakini ni yeye, sio huyu wangu. Tabia zinatofautiana mkuu.Sasa ndiyo mfano halisi , kalikuwa kalokole sana lakini kwa sasa amebadilika mno,ana post post makalio kila kukicha.
Nasisitiza kwamba tunatofautiana mkuu.Sasa mtu muhitimu wa chuo anakuwaje mweupe kiasi hicho Cha kutomjua hata Lowasa ,mtu huyo huyo amesomaje civics,GS na DS ?
Labda ivyo madam sababu hesabu zilikuwa hazitally ndio mana nliuliza ila jamaa alinielewesha nikaelewaHumu chai nyingi bro 😂😂😂
Ndio hii ni CHAI😁😁Isiwe tabu, basi tufanye hicho unachokiwaza ndio jibu mkuu.. [emoji28]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nimekubali nimesema sawa umeshinda [emoji28], ila huo ndio uhalisia wake.Ndio hii ni CHAI[emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28]Angekuuliza mtume Paulo ni nani,hapo ndipo ungekuja kuanzisha uzi
Better for you.Mkuu hapo hamna mtu. IQ yake iko below unit. Ukifa au ukiugua huyo hataweza kuendesha familia. Mimi na mke wangu tumelingana umri na najiskia fahari sana kuishi na super woman kama yeye. Maisha yangu yamejaa confidence nikiwa hai au nimekufa watoto wangu watakaa kwa mstari
Aiseee. Mbona hii taarifa kama ina kuhusu wewe mwenyewe. Nikutafute umekua hela? Wewe ndio una stress aisee umenichekesha kweli😂😂😂Nimekubali nimesema sawa umeshinda [emoji28], ila huo ndio uhalisia wake.
Otherwise, kuna kitu unanitafuta mkuu [emoji1]. Tena una bahati sana nimeokoka, siko huko unakotaka kunipeleka.
Usiuchukulie utaratibu wangu for granted, naweza kukuharibia siku. Better uendelee na mihangaiko yako ya kutafuta riziki j3 hii, manake kwa namna ulivyoning'ang'ania unaonekana kabisa unahangaika na hii dunia [emoji23]..., unatafuta pa kupunguzia stress.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app