Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Kumjua Lowassa ndio exposure? Kama anamjua Yesu na kumwamini inatosha sana kuwe mke. Halafu mke awe na exposure kwenye siasa itasaidia nini katika ustawi wa familia yenu?
Asante mkuu. Mungu akubariki na kukuzidisha kwa mchango wako maridhawa kabisa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ndio hii ni CHAI[emoji16][emoji16]
Nimekubali nimesema sawa umeshinda [emoji28], ila huo ndio uhalisia wake.

Otherwise, kuna kitu unanitafuta mkuu [emoji1]. Tena una bahati sana nimeokoka, siko huko unakotaka kunipeleka.

Usiuchukulie utaratibu wangu for granted, naweza kukuharibia siku. Better uendelee na mihangaiko yako ya kutafuta riziki j3 hii, manake kwa namna ulivyoning'ang'ania unaonekana kabisa unahangaika na hii dunia [emoji23]..., unatafuta pa kupunguzia stress.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hapo hamna mtu. IQ yake iko below unit. Ukifa au ukiugua huyo hataweza kuendesha familia. Mimi na mke wangu tumelingana umri na najiskia fahari sana kuishi na super woman kama yeye. Maisha yangu yamejaa confidence nikiwa hai au nimekufa watoto wangu watakaa kwa mstari
 
Better for you.

Hata hivyo, haya ni mawazo yako mkuu na yanapaswa yaheshimiwe.

Sidhani kama moja ya criteria ya kupima IQ ya mtu na uwezo wake wa utambuzi kwenye maswala ya siasa, yapo maeneo mengine mengi.

Mimi nadhani ananifaa. Na kwasababu nampenda nitamsaidia kwenye yale maeneo ambayo ana udhaifu nayo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nimekubali nimesema sawa umeshinda [emoji28], ila huo ndio uhalisia wake.

Otherwise, kuna kitu unanitafuta mkuu [emoji1]. Tena una bahati sana nimeokoka, siko huko unakotaka kunipeleka.

Usiuchukulie utaratibu wangu for granted, naweza kukuharibia siku. Better uendelee na mihangaiko yako ya kutafuta riziki j3 hii, manake kwa namna ulivyoning'ang'ania unaonekana kabisa unahangaika na hii dunia [emoji23]..., unatafuta pa kupunguzia stress.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Aiseee. Mbona hii taarifa kama ina kuhusu wewe mwenyewe. Nikutafute umekua hela? Wewe ndio una stress aisee umenichekesha kweli😂😂😂
 
Sasa mambo ya ndoa yanahusiana vipi na siasa? Kikubwa watoto utakuwa unawasaidia wewe homework
 
Back
Top Bottom