Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Acha uzinzi. Oa kwanza kisha utuulize cha kufanya.
 

Aiseee pole sana!! Inaoneka huwezi game au kashadanganywa kwamba akikupa sana hautomuoa.
 
mmh hivi huwa mnaombaje mechi?
najua huja automatically
Ndomaana mnaambiwa inabidi muwe connected, haya mambo ya kuoa wife material halafu kitandani 0, huwezi kupata mzuka wa kudinya.

Same goes kwa wanawake, umeolewa na jamaa kisa umefuata pesa, jamaa akikojoa kimoja tu ndo mpaka "Happy new month" nyingine.


Hii inapoteza sana mzuka wa hili tendo.


Mitano tena kwenye kuoa.
 
hapo huyo maanzi itakuwa anapata maumivu wakati wakunyanduana au ana matatizo kwenye homoni hawa wenzetu wana shindwaga kusema kama wana tatizo kwenye via vyao au humurizishi kwenye mech au humwandai vizuri wakati wa kunyanduana jaribu kukaa nae
 
Samahani sana lakini Mkuu naomba uache Ufala na uache Utoto. You need to act like a man not a boy. Uyo mwanamke umemuoa kwa kumlipia Mahari au yeye ndo kakuoa wewe kwa kukulipia mahari?
Chukua ushauri huu "mtafutie mke mwenzake ili aje amsaidie izo kazi ambazo yeye hazifanyi"
 
Show mbovu,
Tafuta kungwi akufunde jinsi ya kumpa ashki mwanamke hadi afike kileleni.
Sasa kama show mbovu mbona mahari amekula..na kwa nini asimwambie kuwa baby siridhiki..na ikiwezaka kuomba kabisa talaka.

Option ya kumbania unyumba mumeo ndo option nzuri?...Ingekuwa mimi ningekitimua hicho kipumbavu just in her first days za kuanza vijisababu
 
Sometimes hata kupewa bas utapewa ili mradi ham iishe tu atatanua miguu ukimalza anabana miguu show imeisha
wanaume wa siku hizi tumekuwa wadhaifu hata sijui tunakwama wapi!, broo piga chini tafuta anayekupenda maisha mafupi kulialia kuomba mbususu ni dalili ya
udhaifu kabisa.
 
wewe hujaoa wewe Ni bachelor tu
 
Hakika
 
hapo huyo maanzi itakuwa anapata maumivu wakati wakunyanduana au ana matatizo kwenye homoni hawa wenzetu wana shindwaga kusema kama wana tatizo kwenye via vyao au humurizishi kwenye mech au humwandai vizuri wakati wa kunyanduana jaribu kukaa nae
Nikamkazia anasema namridhisha datz why ad leo yupo na mimi so simsomiii
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…