Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Dah!
 
Jinsia yako tafadhali.
 
Kumekucha kumechakucha mambo yameumana
 
Kutia ni Art kaka....ukiifanya kwa ustad binti lazima awe anataka mara zote...na pia kama una kibamia na kitambi bas tatzo linaanzia hapo anaona unamchosha tu
Sio mgeni kwenye kunyandua nishanyandua sana nyapu so huyu sjui ana nn tu
 
Ameshakuona we bwege tu huhemi husemi kwake ndo maana unapangiwa
 
Ili moto ukamuwakie vizuri..hahahah

Yani ilitakiwa haya akutane nayo ndani ya ndoa..ananyimwa saivi hata mtoto bado, wakioana akaja mtoto baba wa watu si atawekwa likizo ya mwaka..
Jamaa namuonea huruma sana,yaani hata mwaka wa kwanza wa ndoa bado kashaanza kuteseka.
Hapo ameingia choo cha kike achukulie hiyo mahali ametoa sadaka.
Inawezekana huyo demu kuna vitu alikuwa anapewa mwanzoni vikamfanya ashawishike kuwa na jamaa ambavyo sasa hivi baada ya kuhamia kwa jamaa havipati kwa hiyo anamuwekea mgomo baridi kiaina ila jamaa haelewi jinsi ya kumsoma

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Anataka abadilishiwe kifurushi...Sasa jamaa haelewi
 
Huyo mtafutie mchepuko tu wala usimuombe game atakuomba mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…