Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Asante mkuu
Yaani mimi kanuni yangu huwa naendeshwa na hela sio mwanamke au binadamu.
Kama hela ipo nina uwezo wa kufanya chochote au kununua chochote kile.
Yaani uteseke na ugumu na mfukoni una hela ni uzembe wa hali ya juu.
Tafuta mwanamke mwingine mstaarabu kidogo awe mchepuko wako,ukitoka kazini unamaliza kila kitu huko ukirudi nyumbani unalala naye kama kaka na dada kwa muda wa miezi 3 mfululizo halafu subiria matokeo

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Shukrani kwa ushauri
 
Ana umri wa miaka mingapi?

Wanawake wengi ambao hawajakwaruzwa Sana ukomavu wao kwenye via vya uzazi huwa bado .

Kwa hiyo nenda naye taratibu baadaye atazoea mwanamke hupanda ngazi taratibu siyo kama mwanaume, na akipanda atakaa peek muda mrefu wakati wewe ushaanza kushuka jumlisha navyakula vya kisasa ndo basi

Akishafikia ukomavu utakuwa unaomba poo yeye yupo na wewetu ndiyo hapo ataanza kudhani unatoka nje , Kwa kujiuliza maswali mbona kipindi kile alikuwa vzr mbona sasa hivi kama mzee wa kimoja chali ......


Na ukizubaa anatafuta njemba nje
 
Anasema ni tangu mwanzo hali ilikuwa hivyo akajua labda sababu hajalipa mahari..kalipa ila bado hapewi..

Kuna wanaume wanateseka
 
Wanaume wengine Bana ivi wewe ni wakiume au mwanaume ivi unabembeleza kupewa nyapu na mkeo au mchumba wako kabisa yani kabisaa aisee ni kwambie Tu hina msimamo hujiwezi na kingine kichungu Hana hisia nawe tafuta mwenye hisia na wewe
 
Wanaume wengine Bana ivi wewe ni wakiume au mwanaume ivi unabembeleza kupewa nyapu na mkeo au mchumba wako kabisa yani kabisaa aisee ni kwambie Tu hina msimamo hujiwezi na kingine kichungu Hana hisia nawe tafuta mwenye hisia na wewe
Sijaelewa kwa kweli jamaa ushawishi haupo kabisa binafsi humo ndani kusingekalika
 
Wanawake wenye Tabia kama hizi wapo wengi Sana. Mimi nimeexperience Kwa mademu wanne hivi
 
Huyo hakupendi. Utapoteza tu muda wako na yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…