Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyooNasema uongo ndugu Zangu
Kwakweli[emoji1]Duh naanza kuamin ule msemo atakae muelewa mwanamke anataka nin lazima anakaribia kufa..
KabsKwakweli[emoji1]
Naunga mkono huja, ushauri muruaSio mtu sahihi kwake amuache, mbona wapo wanaume kibao wanaofanya starehe awatafute hao kama ndio anachokitaka.
Huyo wa kufanya maendeleo hamfai
Ni kweli kabisa mmk
Tatzo sana.Ni kweli kabisa mkuu
Anspigwa kwa mkopo? Kwahiyo unashauri amuuzir sio?Msimuhukum Mwanamke.
Kuna uwezekano kabisa, Jamaa ameamua kutumia hiyo mbinu ili kufunga mwanya wa Demu kumpiga mizinga.
Na mwishi wasiku unaweza kuta Jamaa anoa Dem mwengine.
Kwahiyo demu atajikuta ameliwa kwa mkopo kwa zaidi ya miaka 4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wanaume tuna akili sana[emoji23][emoji23][emoji23].
Haijalishi unafanya mambo gan ya maendeleo, kushirikisha tu haitoshi. Je mwanamke anafaidika nahayo maendeleo anayofanya jamaa???.
Ukizingatia Mwanamke anaishi kwake, anakaz yake, kipi ananufaika nacho zaidi yakuliwa bure???
Nadhan maendeleo hayo yangekua na faida ikiwa tu mwanamke anafaidika nayo pia .
Kwa sasa niseme, dem anapigwa kwa mkopo.
Yeye amchane Laivu.
Nashaur pamoja nakufanya maendeleo binafsi kwa mwamvuli wa "Tumenunua hiki"Anspigwa kwa mkopo? Kwahiyo unashauri amuuzir sio?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nasemaje wanaume design hii tupo ni Yeye tuu na akumbuke 28 years jua lishaanza kupungua makali so kazi kwakeHuyo sio mtu sahihi kwake! Ampige chini akatafute mwanaume anayejua kuspend, kumbebisha! Kumtoa out na kila aina ya starehe
Kama kila unalomshauri anatimiza,nshauri awe anakupa hela za matumiziMshaurini huyu jamani...
MCHUMBA WANGU ANANISHIRIKISHA KATIKA KILA KITU CHA MAENDELEO ANACHOFANYA!
Mimi ni binti wa miaka 28, sijaolewa ila nina mchumba ambaye yeye ana miaka 30, nampenda sana na yeye anaonyesha kunipenda kwakuwa kashanitambulisha mpaka kwao na kwetu pia nimeshamtambulisha. Tatizo ni kuwa mpenzi wangu huwa ni muwazi sana, ananishirikisha katika kila kitu chake cha maendeleo anachokifanya na mara nyingi anakuwa anataka mawazo yangu, akitaka kununua kiwanja, kujenga, akitaka kitu chochote hata kama ni mapazia anataka tufanye pamoja.
Mimi nafanya kazi na yeye pia anafanya kazi, haniombi pesa na wala hajawahi lakini tatizo ni kuwa kwakuwa ananishirikisha katika mambo yake basi nashindwa kumuomba pesa kubwa kubwa kwaajili ya kufanya mambo yangu kwani kila hela yake najua imeenda wapi? Kwa mfano labda nataka laki mbili, ninataka kununua kitu changu labda kutoka na marafiki, nikimuambia pesa ananiambia hana si tumenunulia kitu flani, ukiangalia kweli alinunua hicho kitui na alinishirikisha hivyo naona aibu hata kumkasirikia kwani kinakuwa cha maendeleo na najua pesa yake yote.
Naumia sana kwani mimi kama msichana nahitaji kudekezwa na kufanyiwa suprize za zawadi kama marafiki zangu ambao wanaweza kufanyiwa birthday na wapenzi wao, kutolewa out, kununuliwa nguo na zawadi. Mimi nikihitaji kitu inabidi nimuambie mapema kabla ya mshahara ili aniweke kwenye bajeti na sanasana atakupa elfu hamsini hata laki hakupi kwani anakuwa anafanya vitu vingi vya maendeleo ambavyo ananiomba ushauri na ukiangalia anakuwa kweli hana kwani hata yeye hafanyi hizo starehe.
Kinachoniuma zaidi ni kuwa hawezi kufanya maamuzi yake mwenyewe kama mwanaume ni lazima aniambie na mara nyingi hupenda kufuata ushauri wangu na si wake. Kunipenda kweli ananipenda lakini nina wasiwasi je tukioana itakuaje kwani mara nyingi anasema tukioana itakua vizuri kama tukishirikiana kwenye mambo ya familia eti mshahara wangu nao tufanyie mambo ya maendeleo wakati yeye kama mwanaume anatakiwa kufanya kila kitu, niko njia panda nawaza je huyu ni mtu sahihi kwangu au nifanyeje?
Hii mbinu kwa awamu hii ya Mitano tena ...naona inafaa SanaMIMI NILIVYOMUELEWA JAMAA...KAFUNGA MLANGO WA KUOMBWA OMBWA HELA BILA BUDGET...SIO KWAMBA ANAMSHIRIKISHA KILA KITU, HAPANA! NI ILE TU BIBIE AJISHTUKIE MWENYEWE KABLA HAJAOMBA HELA YOYOTE...AKIAMINI WAZI ANAJUA MATUMIZI YOTE YA PESA YA MCHUMBA WAKE...
AACHE TAMAA TU, YEYE SI ANAFANYA KAZI PIA ATUMIE HELA YAKE NA AMSAIDIE MUMEWE MAENDELEO...
JAMAA AMEFANIKIWA SANA KUZUIA VIZINGA...