Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli analiwa kwa mkopo lakini akiweza vumilia mpaka mwisho wa safari huenda akawaolewa na akaanza kuona faida ya huo uwekezaji wa sasa
 
anaehitaji kushauriwa hapa ni huyo jamaa,mwambie hana mchumba kaingia "cha kike"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23]wadada bwana
Yan akiona mwingine anaishi hivyo na yeye atataka hivyo hivyoo haijalishi ki vip na mazingira yapi

Kuna kadada kamoja hivi brother wangu alikaacha
Kenyewe kalimwambia hivi wewe kwanin huvai kama wenzio
Yaan ma cheni cheni na udambwi dambwi mwingii bro akamwambia nikiwa hivyo jua sitokua na wewe
Na siwezi kukupa unayoyahitaji kwakua aina ya kazi yangu sina time ya kua hivyo..
Bla bla nyingi mwisho wakaachana
 
Huyo jamaa bila shaka anatumia mfumo wa 4-4-2 kiufundi huyu mwamba yeye kablock idara zote za kuzuia mpinzan wake kushambulia katika eneo lake anachokifanya yeye ni kumruhusu na kumpa Uhuru mpinzan wake ambae ni huyo mwanamke acheze mchezo adominate kila idara lkn mwamuzi wa mchezo anakuwa ni huyo baharia kuibuka kidedea na Mwanamke anashindwa kupress kwenda mbele Zaid kwa sababu back line ya jamaa ni nguzo jiwe .Hapa kwa wale wazee wa football watanielewa Jose Mourinho Total football kupaki Basi .

Mm nampongeza Sana huyo jamaa kwa kutumia hii formation kuweza kudominate mahusiano kwa kublock intercept zote kutoka kwa bimdada na kuoffer Imani kuwa anafanya mambo ya msingi kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa mwamba



Mabaharia wenzangu eehhh kuna la kujifunza hapaa
 
Mshahara wako unataka kuutumia kufanya nini
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jamaa kaonyesha Uwezo wa juu sana
 
Natamani huyo mwanaume aje asome huu uzi halafu akupige chini sababu wewe ni mwanamke mzigo. Na siku huyo mwanaume akijichanganya akakuoa huo ndio utakuwa mwisho wa maendeleo yake.

Yaani umenikera sana na hili liuzi lako najutia kulisoma basi tu sina namna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mtu sahihi kwake amuache, mbona wapo wanaume kibao wanaofanya starehe awatafute hao kama ndio anachokitaka.
Huyo wa kufanya maendeleo hamfai

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah!
 
namtafuta aliyesema mwalimu wa mwanamke alikufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…