Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo wanaweza kufanya utatuzi?
Kwanza mjeuri na anadharau kupita kiasi sasa sijaona utafauti wowote nilihisi I kwasababu wazazi na ndugu zake wametaja mahari nyingi labda atakuwa ni malaika na sio shetani kumbe wapi hovyo kabisa
Just imagine mwanamke unamtolea mahari kubwa ila lina hasira za hovyo sana, anarusha mpaka mangumi kutaka kunipiga, maneno ya kejeri na anawasikiliza ndugu zake kuliko mimi sasa hapa mimi nimeoa au nimeolewa? Na akipata shida kutwa kunipigia mimi sio ndugu zake
Mahari simalizi tena kwasababu nitamaliza mahari kiaje wakati mwanamke mwenyewe ndiyo huyu? Hata wewe unawezaje kumaliza mahari kwa aina hii ya mwanamke na pia tumekaa muda mchache ameanza kuonesha makucha yake aisee! Napiga chini