Tena ukute hata jamaa hakumkuta na bikra na hio ni ya mbele ya nyuma hakumkagua, hawa madem wa skuizi asilimia kubwa hawana bikra zote afu eti unamtolea mahari unakuja kujisifu humu una mke
Mkuu umelenga mulemule
Watu wameoa malaya wanajisifu wana wake
Anaoa mwanamke ambaye ameshatumika, kuna watu wamemla bure miaka na miaka. Kwa kifupi ni malaya
Alivyo mjinga anafanya na sherehe kabisa ya harusi ukumbini wakila, kunywa, kucheza na kumtambulisha malaya kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki aliowaalika ukumbini
Alivyo mjinga kabla ya kuteketeza mamilioni ukumbini alimlipia mahari kubwa na wazazi wake wakamkabidhi malaya. Kweli hii ni akili au matope?
Kabla ya harusi anamnunulia malaya wedding gown, viatu na gharama ya salon apendeze siku ya harusi. Huu ni ujinga
Anapanga mipango ya harusi na kuwachangisha wadau ili aoe mwanamke ambaye bado kuna watu wanamla free kabla ya ndoa na baada ya ndoa wataendelea kummega kisela
Kuna ile mibwege siku ya engagement inawavalisha pete wanawake used na kama haitoshi wanampigia magoti malaya na kusema
"please with this ring my love I'm giving you my heart." Kweli malaya wa kumpigia magoti?
Kama umemkuta ameshatumika kwa nini upoteze mamilioni kwa ajili yake? Hebu wanaume tushtuke
She's cheap ndio maana amelala na wanaume wengine bure au kwa gharama ndogo kabla ya muoaji, na wahuni hawakutoa hayo mamilioni, tena wamemmega kwenye nyumba za wageni za kawaida sana
Yeye kwa ujinga na kiherehere chake eti ameenda kulipia honeymoon kwenye hotel kubwa
If she slept with other men for free should be offered for free