Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

ngoja nijichange nilipie mahari ilobaki ili awe wangu rasmi.......afu tuone kama atanguana na mm mlinzi wa motuary.
Man unazingua kwa hii kauli,,,,,,asa hapa umetaka ushauri au umetaka kutuambia hitimisho lako
 
Back
Top Bottom