Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mwamba anajifanya ana swagga za ki-gentleman kwa malaya 😆Inanikumbusha long time tupo maskani ...alitokea mchizi mmoja wa kuja town kampenda pisi moja hivi malaya kweli kweli...tumekaa maskani jamaa anakuja na ndinga yake anamshusha demu anamfungulia mpaka mlango wa gari...anamkumbatia na kumbusu kisha anamuaga aelekee maskani kwake. Sisi tunavheka tu...baada ya muda kama nusu saa demu anaenda kuoga, anabadili nguo then anaingia viwanja kwenda kujiuza.
Tulimuonea huruma sana yule mchizi kwa kujifanya Mr. nice guy kwa malaya
Mkuu ukiwaza hivi hutaoa🤣🤣🤣manake wote tumeoa waliotumika(sio bikra) wanatofautiana idadi tu, tukiwaza hivi si itakuwa kazi mkuu?Pole yako
Unahangaika kumtolea mahari malaya
Miaka hii sio ya kuoa
View attachment 2948939
View attachment 2948940
Baada ya miaka mingi ya kukaabika Mr Nice guy unakuja kumlipia mahari malaya kumfanya mke 😆😆😆
You will learn the hard way
Mwanamke malaya si wa kuoa....unachapa unasepaMwamba anajifanya ana swagga za ki-gentleman kwa malaya 😆
Miaka hii mahari ni utapeli sana
Kweli demu used(malaya) wa kumlipia mahari na kumfanya mke?
Shkuru Mungu Bado hujamuoa ungekua ndo tyari ushamuo ndo ingekuwa ishakula kwako,Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo wanaweza kufanya utatuzi?
Kwanza mjeuri na anadharau kupita kiasi sasa sijaona utafauti wowote nilihisi I kwasababu wazazi na ndugu zake wametaja mahari nyingi labda atakuwa ni malaika na sio shetani kumbe wapi hovyo kabisa
Just imagine mwanamke unamtolea mahari kubwa ila lina hasira za hovyo sana, anarusha mpaka mangumi kutaka kunipiga, maneno ya kejeri na anawasikiliza ndugu zake kuliko mimi sasa hapa mimi nimeoa au nimeolewa? Na akipata shida kutwa kunipigia mimi sio ndugu zake
Mahari simalizi tena kwasababu nitamaliza mahari kiaje wakati mwanamke mwenyewe ndiyo huyu? Hata wewe unawezaje kumaliza mahari kwa aina hii ya mwanamke na pia tumekaa muda mchache ameanza kuonesha makucha yake aisee! Napiga chini
Malaya ni Malaya tuu, ukishaoa Malaya hata uwe na pesa kama bilgert utatombewa mpaka na msafisha Banda la kuku na hutoamini macho yako.Hakuna mwanamke mwenye kiburi, wewe tafuta hela utakuja kunishukuru. Hii ni siri tunaambiana wanaume kila siku.
Tena ukute hata jamaa hakumkuta na bikra na hio ni ya mbele ya nyuma hakumkagua, hawa madem wa skuizi asilimia kubwa hawana bikra zote afu eti unamtolea mahari unakuja kujisifu humu una mkeMwamba anajifanya ana swagga za ki-gentleman kwa malaya 😆
Miaka hii mahari ni utapeli sana
Kweli demu used(malaya) wa kumlipia mahari na kumfanya mke?
Unataka uchomwe moto ndo ustuke sio??Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo wanaweza kufanya utatuzi?
Kwanza mjeuri na anadharau kupita kiasi sasa sijaona utafauti wowote nilihisi I kwasababu wazazi na ndugu zake wametaja mahari nyingi labda atakuwa ni malaika na sio shetani kumbe wapi hovyo kabisa
Just imagine mwanamke unamtolea mahari kubwa ila lina hasira za hovyo sana, anarusha mpaka mangumi kutaka kunipiga, maneno ya kejeri na anawasikiliza ndugu zake kuliko mimi sasa hapa mimi nimeoa au nimeolewa? Na akipata shida kutwa kunipigia mimi sio ndugu zake
Mahari simalizi tena kwasababu nitamaliza mahari kiaje wakati mwanamke mwenyewe ndiyo huyu? Hata wewe unawezaje kumaliza mahari kwa aina hii ya mwanamke na pia tumekaa muda mchache ameanza kuonesha makucha yake aisee! Napiga chini
Mwambie huyo inaonekana hawajui Malaya, Malaya hata akiolewa mara 20 anaona sawa tuu, maana ashazoe kuitembeza Kwa wanaume mbalimbali, heri jamaa aachane nae atafte mke mwingine mwenye bikra zote mbili mbele na nyumaHii sijui ni mara ya ngapi unalalamika kuhusu huyo mke wako na hakuna uamuzi wowote wa maana uliochukua.
Alichokuambia ni kweli...mkiachana atatolewa mahari na ataolewa tena .
Tumesababisha sisi wenyewe wanaume tumeshusha sana standards za wanawake wa kuwaoaMkuu ukiwaza hivi hutaoa🤣🤣🤣manake wote tumeoa waliotumika(sio bikra) wanatofautiana idadi tu, tukiwaza hivi si itakuwa kazi mkuu?
Mkuu unazabuliwa makofi halafu unaanza kupindisha kiswahili eti 'anarusha mangumi anataka kunipiga'!Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo wanaweza kufanya utatuzi?
Kwanza mjeuri na anadharau kupita kiasi sasa sijaona utafauti wowote nilihisi I kwasababu wazazi na ndugu zake wametaja mahari nyingi labda atakuwa ni malaika na sio shetani kumbe wapi hovyo kabisa
Just imagine mwanamke unamtolea mahari kubwa ila lina hasira za hovyo sana, anarusha mpaka mangumi kutaka kunipiga, maneno ya kejeri na anawasikiliza ndugu zake kuliko mimi sasa hapa mimi nimeoa au nimeolewa? Na akipata shida kutwa kunipigia mimi sio ndugu zake
Mahari simalizi tena kwasababu nitamaliza mahari kiaje wakati mwanamke mwenyewe ndiyo huyu? Hata wewe unawezaje kumaliza mahari kwa aina hii ya mwanamke na pia tumekaa muda mchache ameanza kuonesha makucha yake aisee! Napiga chini
Perfect,Tumesababisha sisi wenyewe wanaume tumeshusha sana standards za wanawake wa kuwaoa
Baba zetu na babu zetu kigezo kilikuwa awe bikira
Tukaja tukashusha hiyo standard mpaka kuoa wasio bikira
Ikaja watu wameanza kuoa single maza mwenye mtoto mmoja
Sasa hivi wanaume wanaoa single maza wenye watoto 3 na kila mtoto ana baba yake
Kama haitoshi wengine wameamua kufanya maisha na malaya kabisa
Wanaume tukikaza kwenye standards za wanawake wa kufanya nao maisha watatunza tupu zao badala ya kuchanua ovyoovyo mapaja
Cha ajabu wanawake miaka yote hiyo hawajashusha standards wanataka wafanye maisha na mwanamume mwenye kibunda, kazi nzuri na status
She'll judge you by your pocket
The more reason you should judge her by her body count
The game is brutal but still fair
Mkuu umelenga mulemuleTena ukute hata jamaa hakumkuta na bikra na hio ni ya mbele ya nyuma hakumkagua, hawa madem wa skuizi asilimia kubwa hawana bikra zote afu eti unamtolea mahari unakuja kujisifu humu una mke
Dah!Mkuu umelenga mulemule
Watu wameoa malaya wanajisifu wana wake
Anaoa mwanamke ambaye ameshatumika, kuna watu wamemla bure miaka na miaka. Kwa kifupi ni malaya
Alivyo mjinga anafanya na sherehe kabisa ya harusi ukumbini wakila, kunywa, kucheza na kumtambulisha malaya kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki aliowaalika ukumbini
Alivyo mjinga kabla ya kuteketeza mamilioni ukumbini alimlipia mahari kubwa na wazazi wake wakamkabidhi malaya. Kweli hii ni akili au matope?
Kabla ya harusi anamnunulia malaya wedding gown, viatu na gharama ya salon apendeze siku ya harusi. Huu ni ujinga
Anapanga mipango ya harusi na kuwachangisha wadau ili aoe mwanamke ambaye bado kuna watu wanamla free kabla ya ndoa na baada ya ndoa wataendelea kummega kisela
Kuna ile mibwege siku ya engagement inawavalisha pete wanawake used na kama haitoshi wanampigia magoti malaya na kusema "please with this ring my love I'm giving you my heart." Kweli malaya wa kumpigia magoti?
Kama umemkuta ameshatumika kwa nini upoteze mamilioni kwa ajili yake? Hebu wanaume tushtuke
She's cheap ndio maana amelala na wanaume wengine bure au kwa gharama ndogo kabla ya muoaji, na wahuni hawakutoa hayo mamilioni, tena wamemmega kwenye nyumba za wageni za kawaida sana
Yeye kwa ujinga na kiherehere chake eti ameenda kulipia honeymoon kwenye hotel kubwa
If she slept with other men for free should be offered for free
Tangu upoteze bikira umeshatombwa na wanaume wangapi?Dah!
Watu wanaoa wake .. ..mwanamke akiwa hana bikra ni malaya?
Maisha ni.magumu sana .. ..yanatuvuruga mno!
Bikra mpaka bandia zipo , na huyo huyo bikra anaweza kuwa malaya kuliko..
Tabia na msimamo wa dini .. .. ,