Mchungaji aliedai Corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu, amefariki kwa Corona

Tatizo hawa wachungaji wanapanga wanavyotaka wao na kulazimisha juu
Na mwingine anasema atakaetoa sadaka ndio itakuwa ticket ya kutokupata Corona
Kweli Kuna binadamu anampangia Mungu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kama kweli unamtaja Mungu aliye mbinguni Aliyetuumba basi, inakupasa uweke akiba ya Maneno kama unamtaja miungu basi upo sahihi

Kumbuka Mungu aliyeziumba Mbingu na nnchi hafanyiwi dhihaka ipo siku atathibitisha kwako kuwa yeye ni nani. sasa usitake Mungu akuonyeshe yeye ni nani hapo itapata tabu sana inaweza kukugharimu

Na isitoshe mtu katengeneza ugojwa, ila Mungu ameamua kuruhusu ili watu tujifuze kitu, na ni majanga mengi yalitokea yaliwachukua mpaka watumishi wa Mungu, suluhisho ni kutubu a sio kumdhihaki Mungu.
 

Haha maneno matupu hayo, mnaogopa kitu ambacho hakipo. Huo uoga hata mimi nilikua nao enzi hizo naomba daily, baada ya kugundua vyote fix tupu nawashangaa sana mnaoogopa ujinga.
 
Kweli wanaumbuka. Mungu kishawapa akili bado wanajiexpose huku wakisema Mungu atawalinda. Ujinga katika maisha siyo kitu kizuri kabisa. Haya kafa watasema Mungu kampenda zaidi.
 
Haha maneno matupu hayo, mnaogopa kitu ambacho hakipo. Huo uoga hata mimi nilikua nao enzi hizo naomba daily, baada ya kugundua vyote fix tupu nawashangaa sana mnaoogopa ujinga.
Sawa acha niwe mjinga, nafuraia ujinga huo

Mungu akusamee,ila namuomba akufundishe kitu asikuache hivi hivi.
Bye
 


Usimkufuru Mungu wako mkuu!
 
Kwa wakristo kuishi ni Kristo na kufa ni Kristo. Kwetu kote sawa tu. Mapenzi ya Mungu yanaweza kutimia kwa wewe kupona au kufa. Lakini ukweli uko palepale kwamba Mungu ni mkuu. He created visible and invisible for his own glory. Jambo moja ninajua kwamba tukimlilia Mungu kwa dhati na kuwa na mioyo ya toba, hakika atatuondolea ili janga lakini tukiendelea kukaidi litaendelea kutumaliza.
 
Na waziri wa afya wa israel aliyenukuliwa mwezi uliopita akisema corona ni pigo kutoka kwa mungu dhidi ya homesexual amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona huku ikidaiwa kua ameambukizwa na mkewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kuna mambo yanahitaji MAOMBI na kuna mambo yanahitaji MAARIFA.

Mwenyezi MUNGU alisema "Watu wangu wanakufa kwa kukosa MAARIFA......mbona hakusema watu wangu wanakufa kwa kukosa MAOMBI.

Tafakari na uwe makini kutenganisha the two...
 
Kujitetea kwingiiii,mara vitisho, what the hell is that?

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kabla ya kuja hao walioileta hiyo Bible mbona mababu zetu waliishi miaka mingi sana?. Wachina huko wanaishi miaka mingi sana hata hiyo Bible yako hawaijui.Acha kujitia ujinga.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Anaponya kitu gani? Mbona magonjwa kibao yapo na hajawahi kuyaponya?
 
Haha maneno matupu hayo, mnaogopa kitu ambacho hakipo. Huo uoga hata mimi nilikua nao enzi hizo naomba daily, baada ya kugundua vyote fix tupu nawashangaa sana mnaoogopa ujinga.
Mambo ya mungu ni mambo ya kitapeli. Hakuna kitu kama hicho.
 
Usimlinganishe Mungu na vitu vya hovyo.
Mungu ni zaidi ya kila kitu unachokijua na usichokijua.

Hata wakifa wote duniani, bado Mungu ni zaidi ya Korona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: ABJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…