secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Huyo hafi......Kuna kiongozi aliyesema corona ni kaugojwa
mtahangaika sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo hafi......Kuna kiongozi aliyesema corona ni kaugojwa
Literally! M'sheria yule anachekesha sana.Mwenyewe nilicheka sana. Jamaa akataka amepeleke mahakamani mshikaji aliemzuia jamaa asijisaidie kwenye mgahawa wake. Nilicheka sana. Yule jamaa nadhani by profession ni mwanasheria, mimi sio.
Hayo ndiyo maneno yenye ukweli na sahihi.Issue ya mwanadamu kukosa hekima na kujihatarisha yeye na waumini
Hongera kwa kuona hakuna Kinachoshindikana mbele za MunguUmekosea sana!! Bado COVID -19 ni kagonjwa kadogo sana mbele ya Mungu. COVID -19 ni ugonjwa mkubwa sana mbele ya wanadamu lakini si mbele ya Mungu.
Bado hatujaelewa sana, yawezekana kabisa covid-19 ikawa ni pigo toka kwa Mungu kwa ajili ya uovu uliopo duniani. Ndio maana Rais wetu Mheshimiwa sana Dr Magufuli alinukuu maandiko akasema " Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu wakijinyenyekesha na kutubu dhambi zao ........".
Hapo Mungu ameweka masharti: Lazima kujinyenyekesha na kutubu!! Chini ys hapo pigo lipo pale pale!! Kwa hiyo jambo la kwanza ni kujinyenyekesha na kutubu kisha kukiri ukuu wa Mungu juu ya pigo hili kuwa kakorona ni kadogo sana kwa Mungu.
Tatizo watu hawataki kutubu! Katika mazingira hayo ni kujidaganya kudhani kuwa Mungu ataonyesha ukuu wake katika shida zako.
Mahali pengine kwenye Biblia panasema: "Mkono wa Mungu si mfupi hata asiweze kuokoa bali MAOVU yenu yamewafarakanisha na Mungu wenu"
Umefanya kosa kubwa sana la kumchokoza Mungu kwa kujaribu kutoa picha kwamba kwa kuwa huyo mchungaji smefariki basi kcovid-19 ni kubwa au ina nguvu kuliko Mungu.
Ushauri wangu: Tubu kwa dhati na Mungu atakusamehe. Vinginevyo utajua mwenyewe!!!
Kwa jicho lengine hata hayo magonjwa yanayosemwa hayana dawa pia kuna utapeli,yani katika zama ya sayansi na teknolojia tuliyopo tuna kila aina ya wataalamu na madawa chungumzima ila ndiyo tunaugua magonjwa mengi kuliko huko zamani et miaka 40 yote tunakosa dawa ya ugonjwa?Ina maana toka corona imeanza watu bado hawajajinyenyekeza mbele ya Mungu ili asikie kilio chao aiondoe au toka ukimwi umeingia miaka karibu 40 bado hakuna waliojinyenyekeza mbele ya mungu?
Haya mambl ya Mungu ni mambo ya kitapeli tu, mungu hana uwezo wowote.
Ipo siku utalazimika kujua kwamba Kuna Mungu mkuuHahaha, utasikia kaenda mbinguni.
Washika dini mtakufa na itakua mwisho wenu huku hamkufanya lolote la maana zaidi ya kuomba kiumbe ambacho hakipo. Huyu naona mungu wake hakumsikia mtakuja na explanation kua "ni mapenzi ya mungu" au "siku zake zimefika" hahaha nyooooko.
Huyo mungu wenu ka yupo basi covid imemshinda vibaya mno, sawa na magonjwa mengine yote, vita, natural disasters zote, amekaa anacheki tu hana la kufanya.
Kuna kiongozi aliyesema corona ni kaugojwa
Mchungaji hakua mzembe, mchungaji alikua anamtegemea Mungu, tatizo ni Mungu kumuangusha mchungaji. Yeye aliamini Mungu ni mkuu kuliko hako kagonjwa hivyo hana sababu ya kuhofia, ila ajabu kagonjwa kamekua kakuu kuliko mungu.Hayo ndiyo maneno yenye ukweli na sahihi.
Mchungaji huyo marehemu alikuwa mzembe na mtu hatari kwa maisha yake na ya waumini wake.
Kwa vile sina mamlaka ya kuhukumu inabidi nimsamehe tu, ningekuwa nayo huyu ningeanza kumchoma moto kwa dhambi ya kuhatarisha wenzie wasio jitambua.
Huyu hana tofauti na mtaalamu wa saikolojia anaetumia vibaya taaluma yake na kuwapumbaza watu kisha kuwaamuru kutenda jambo lisilo kubarika kijamii, na kisayansi au jambo la hatari.
Kwani huyu mchungaji alikuwa na tofauti gani na Kibwetere wa Uganda?
Gwajima nae na viongozi wetu wa Katoliki, KKT, Misikiti na wasabato wanaoendelea na mikusanyiko kwenye nyumba za ibada wana tofauti gani na Kibwetere wa Uganda aliye wachoma moto waumini wake?
Achana na hadith za kitoto za kina Farao. Jadili kuhusu corona.Ipo siku utalazimika kujua kwamba Kuna Mungu mkuu
Huenda ikawa kuchelewa mno Kama farao na jeshi lake walivyolazimishwa kujua kwamba yupo mkuu kuliko yeyote duniani walipokung'utwa baharini
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea sana!! Bado COVID -19 ni kagonjwa kadogo sana mbele ya Mungu. COVID -19 ni ugonjwa mkubwa sana mbele ya wanadamu lakini si mbele ya Mungu.
Bado hatujaelewa sana, yawezekana kabisa covid-19 ikawa ni pigo toka kwa Mungu kwa ajili ya uovu uliopo duniani. Ndio maana Rais wetu Mheshimiwa sana Dr Magufuli alinukuu maandiko akasema " Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu wakijinyenyekesha na kutubu dhambi zao ........".
Hapo Mungu ameweka masharti: Lazima kujinyenyekesha na kutubu!! Chini ys hapo pigo lipo pale pale!! Kwa hiyo jambo la kwanza ni kujinyenyekesha na kutubu kisha kukiri ukuu wa Mungu juu ya pigo hili kuwa kakorona ni kadogo sana kwa Mungu.
Tatizo watu hawataki kutubu! Katika mazingira hayo ni kujidaganya kudhani kuwa Mungu ataonyesha ukuu wake katika shida zako.
Mahali pengine kwenye Biblia panasema: "Mkono wa Mungu si mfupi hata asiweze kuokoa bali MAOVU yenu yamewafarakanisha na Mungu wenu"
Umefanya kosa kubwa sana la kumchokoza Mungu kwa kujaribu kutoa picha kwamba kwa kuwa huyo mchungaji smefariki basi kcovid-19 ni kubwa au ina nguvu kuliko Mungu.
Ushauri wangu: Tubu kwa dhati na Mungu atakusamehe. Vinginevyo utajua mwenyewe!!!
UkweliUmekosea sana!! Bado COVID -19 ni kagonjwa kadogo sana mbele ya Mungu. COVID -19 ni ugonjwa mkubwa sana mbele ya wanadamu lakini si mbele ya Mungu.
Bado hatujaelewa sana, yawezekana kabisa covid-19 ikawa ni pigo toka kwa Mungu kwa ajili ya uovu uliopo duniani. Ndio maana Rais wetu Mheshimiwa sana Dr Magufuli alinukuu maandiko akasema " Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu wakijinyenyekesha na kutubu dhambi zao ........".
Hapo Mungu ameweka masharti: Lazima kujinyenyekesha na kutubu!! Chini ys hapo pigo lipo pale pale!! Kwa hiyo jambo la kwanza ni kujinyenyekesha na kutubu kisha kukiri ukuu wa Mungu juu ya pigo hili kuwa kakorona ni kadogo sana kwa Mungu.
Tatizo watu hawataki kutubu! Katika mazingira hayo ni kujidaganya kudhani kuwa Mungu ataonyesha ukuu wake katika shida zako.
Mahali pengine kwenye Biblia panasema: "Mkono wa Mungu si mfupi hata asiweze kuokoa bali MAOVU yenu yamewafarakanisha na Mungu wenu"
Umefanya kosa kubwa sana la kumchokoza Mungu kwa kujaribu kutoa picha kwamba kwa kuwa huyo mchungaji smefariki basi kcovid-19 ni kubwa au ina nguvu kuliko Mungu.
Ushauri wangu: Tubu kwa dhati na Mungu atakusamehe. Vinginevyo utajua mwenyewe!!!
If Christians scored above atheists unajua kilichotokea nchinkama South Korea ambapo mama moja alienda kanisani kaambukiza kanisa zima pamoja na kuambiwa akae ndani, kesi zilikua kama 50 sababu ya mtu moja zikapanda hadi 6,000 hilo ni kanisa moja. Wakapigiwa kelele waache kukusanyika kesi zimeanza kupungua wengine wakakutana tena kanisani wanajidanganya kua maji ya chumvi yanatibu corona ghafla namba zikapanda tena, watu karibia wote walioattend hiyo misa walipimwa wakakutwa na corona. Hiyo research ni ya wapi ningependa kujua?Boss, una tatizo na Mungu? Maana naonaga mashambulizi makali sana inapokuja suala la imani. Kuna research imefanyika ya watu wanavyofuata maagizo ya wataalam wa afya. Christians scored above atheists. Uki apply hiyo blanket logic then atheists are worst than Christians.
Halafu kwenda mbinguni hakuhusiani na kufuata masharti ya ku contain Corona. Na mwisho kama unadhani Mungu ameshindwa na Corona hujawahi kumjua Mungu na una fake view ya Mungu. Laiti ungelimjua usingesema ulichokisema.
Haha hizo story ka spiderman na thor tu. Kuna story nyingine kasome kuhusu miungu kibao kama Zeus. Tofauti ni kua ukristo ulisambaa sana dunia nzima kuliko dini nyingine ndo maana nyingine zikafa. Ukienda asia utakutana na watu wana dini tofauti kibao wamezaliwa hawajui hata story zenu za yesu unataka uniambie wote wanaishia motoni? 😂 You are in your bubble just as they are all in their bubblesIpo siku utalazimika kujua kwamba Kuna Mungu mkuu
Huenda ikawa kuchelewa mno Kama farao na jeshi lake walivyolazimishwa kujua kwamba yupo mkuu kuliko yeyote duniani walipokung'utwa baharini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina mungu. Na mungu hayupo.Usimkufuru Mungu wako mkuu!
Basi sisi si tukachukua bahasha bwanaa 😤Hamna kitu kama hicho! Sadaka kazi yake sio kuwapa watu chanjo!
Unasema kumuogopa Mungu ni ujinga?Haha maneno matupu hayo, mnaogopa kitu ambacho hakipo. Huo uoga hata mimi nilikua nao enzi hizo naomba daily, baada ya kugundua vyote fix tupu nawashangaa sana mnaoogopa ujinga.
Corona ina nguvu kuliko Mungu alieumba mbingu na nchi![emoji2211][emoji2211][emoji2211]Mungu kashindwa kumlinda mchungaji wake?
Sent from my typewriter using Tapatalk