Wala haifuti kuwa mungu ni mueza wa kila kitu na ni Mkuu kuliko coronaHuyu alikaidi maagizo ya kuzuia mikusanyiko mikubwa zaidi ya watu kumi ili kujilinda na kutoambukizana. Huyu alitaka waumini wake wasiogope coronavirus akidai Mungu atawalinda na hivyo waendelee tu kama zamani. Alichosahau huyu Askofu ni kwamba Mungu anakutaka ujilinde, Mungu hajaribiwi.
AbsoluteBut his death doesn't change the truth of what he said. He may be weak in faith of what he said but I don't think someone here believes COVID19 is too big for God to handle unless you're Pagan.
Hata Kama amekufa na corona bado Mungu atabaki kuwa Mungu
Hakuna aliye mkuu zaidi yake corona ni kitu kidogo sana kwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayepinga kwamba Mungu ni Mkuu, huyo atakuwa ni mfuasi wa shetani. Lakini kama unajua kwamba unachofanya ni hatari, halafu unakifanya kwa kumjaribu Mungu, huna tofauti na shetani mwenyewe.
Okay brother, let me ask you. Is COVID19 too big for God? Is God incapable of rescuing us from it?Matthew 4:5-7
5 Then the devil took him to the holy city and had him stand on the highest point of the temple. 6 “If you are the Son of God,” he said, “throw yourself down. For it is written:
“‘He will command his angels concerning you,
and they will lift you up in their hands,
so that you will not strike your foot against a stone.’[c]”
7 Jesus answered him, “It is also written: ‘Do not put the Lord your God to the test.’[d]”
Mungu haiondoi korona yeye Bali nguvu alioiweka kwa binadamu(akili).Akili no nguvu ya kimungu.Mungu hashughuloki na vitu Bali wanadamu aliowaumba.Binadamu ana akili aliopewa na mungu na ndio atakayotumia kuponta korona.Utengano na ubinafsi wa binadamu umechangia korona kushinda.Hahaha, utasikia kaenda mbinguni.
Washika dini mtakufa na itakua mwisho wenu huku hamkufanya lolote la maana zaidi ya kuomba kiumbe ambacho hakipo. Huyu naona mungu wake hakumsikia mtakuja na explanation kua "ni mapenzi ya mungu" au "siku zake zimefika" hahaha nyooooko.
Huyo mungu wenu ka yupo basi covid imemshinda vibaya mno, sawa na magonjwa mengine yote, vita, natural disasters zote, amekaa anacheki tu hana la kufanya.
Hakuna anaejua mwisho was dunia zaidi ya yeye AllahAlikuwa sahihi kuwa ugonjwa hili ni dalili za mwisho wa dunia. Mwisho wake umefika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi! Ila usipochukua tahadhari itakula kwako.Hata Kama amekufa na corona bado Mungu atabaki kuwa Mungu
Hakuna aliye mkuu zaidi yake corona ni kitu kidogo sana kwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie mnaingia kwenye mtego wa imani au imani yenu haiko sawa. Unapolinganisha janga la korona na ukubwa wa Muungu maana yake janga hili halitokani na yeye Muumba bali ni kazi ya mamlaka nyingine inayoshindana naye (shetani). Huu ni udhaifu wa imani.Hata Kama amekufa na corona bado Mungu atabaki kuwa Mungu
Hakuna aliye mkuu zaidi yake corona ni kitu kidogo sana kwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo kwa vile kafa tayari Corona imekuwa kubwa kuliko Mungu?CC:Gwajima
Duh... naogopa haya yasije tokea kwa aliyesema “kacorona kaugonjwa kadogo”View attachment 1419301
Askofu Gerald Glenn wa Kanisa la New Deliverance Evangelistic Church, Virginia USA.
Kwa habari zaidi bonyeza hapa chini.
===
Bishop Gerald Glenn, the pastor of New Deliverance Evangelistic Church in Virginia has died, the church announced on Sunday. Glenn had tested positive for coronavirus, according to a video posted by his daughter Mar-Gerie Crawley.
In a sermon on March 22, a day before Virginia Gov. Ralph Northam issued his executive order banning all public and private gatherings of 10 people or more, Glenn told his congregation, "I firmly believe that God is larger than this dreaded virus," and announced he was not afraid to die.
On April 4, Glenn's daughter posted a video, announcing that both he and his wife, Marcietia Glenn, had tested positive for coronavirus.
The church's post announcing Gerald Glenn's death, asked that others would allow the "First Family to grieve in their own way."
"While they are mourning the heartbreaking earthly absence of their family patriarch & spiritual father, they also have family members who are struggling to survive this dreaded pandemic," the church's Facebook post read.
Final arrangements for Glenn are expected to be made within the next few days, the church said.
Ubinafsi wa baadhi ya viongozi wa dini kuona sadaka na matoleo mengine ni muhimu kuliko uhai wa watu vitatuangamiza.Mungu ni yuleyule Jana, Kesho na milele, Hafanyi kazi yake Kwa mashinikizo ya watu, Ajibu asijibu bado ni Mungu tu, useme ni Mungu asiyeshindwa ama la, Bado Yuko vilevile na Wala hajawahi kuwa na upendeleo, vitu Vyote aliumba yeye na hivyo hivyo Hana mashariti pindi anapovuna mazao yake, uwe unamwamini au kutomwamini atakuvuna Tu!!! Haleluuuya
Hakika wewe wasema.Matthew 4:5-7
5 Then the devil took him to the holy city and had him stand on the highest point of the temple. 6 “If you are the Son of God,” he said, “throw yourself down. For it is written:
“‘He will command his angels concerning you,
and they will lift you up in their hands,
so that you will not strike your foot against a stone.’[c]”
7 Jesus answered him, “It is also written: ‘Do not put the Lord your God to the test.’[d]”
Haishauriwi Wala hairuhusiwi kuishi Kwa kumtegemea Mwanadamu, Mjue zaidi Mungu wako kuliko mkuu wako wa dini, Vinginevyo utaishi Kwa utumwa na kufanyia kazi za watu wanaoikalia akili na ufahamu wako!Ubinafsi wa baadhi ya viongozi wa dini kuona sadaka na matoleo mengine ni muhimu kuliko uhai wa watu vitatuangamiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1419301
Askofu Gerald Glenn wa Kanisa la New Deliverance Evangelistic Church, Virginia USA.
Kwa habari zaidi bonyeza hapa chini.
===
Bishop Gerald Glenn, the pastor of New Deliverance Evangelistic Church in Virginia has died, the church announced on Sunday. Glenn had tested positive for coronavirus, according to a video posted by his daughter Mar-Gerie Crawley.
In a sermon on March 22, a day before Virginia Gov. Ralph Northam issued his executive order banning all public and private gatherings of 10 people or more, Glenn told his congregation, "I firmly believe that God is larger than this dreaded virus," and announced he was not afraid to die.
On April 4, Glenn's daughter posted a video, announcing that both he and his wife, Marcietia Glenn, had tested positive for coronavirus.
The church's post announcing Gerald Glenn's death, asked that others would allow the "First Family to grieve in their own way."
"While they are mourning the heartbreaking earthly absence of their family patriarch & spiritual father, they also have family members who are struggling to survive this dreaded pandemic," the church's Facebook post read.
Final arrangements for Glenn are expected to be made within the next few days, the church said.
Ukiwa "objective" utabaini kuwa maandiko haya yanadhihirisha shetani ana uwezo juu ya Yesu. Yaani kile kitendo cha shetani kumchukua Yesu na kumsimamisha kwenye paa za majumba ya Mji Takatifu na kumtaka ajirushe ni wazi kuwa Yesu aligeuzwa na kuwa "subject" na kujaribiwa. Yaani shetani anampima imani "mtoto wa mungu" ...!!Matthew 4:5-7
5 Then the devil took him to the holy city and had him stand on the highest point of the temple. 6 “If you are the Son of God,” he said, “throw yourself down. For it is written:
“‘He will command his angels concerning you,
and they will lift you up in their hands,
so that you will not strike your foot against a stone.’[c]”
7 Jesus answered him, “It is also written: ‘Do not put the Lord your God to the test.’[d]”
Umemjibu vizuri sana! Haipaswi kulinganisha ukubwa wa Mungu na kile alichokiumba. Watu wanapotoka kwa kuamini covid si kazi ya Mungu bali ya shetani na Mungu anapambana nayo kutuokoa.Okay brother, let me ask you. Is COVID19 too big for God? Is God incapable of rescuing us from it?
Kumbuka maandiko yanasema kupitia kwa Yeremia, "....chombo kilichofinyangwa kitamwambia nini mfinyanzi?"
Tena maandiko yanasema kwa Zaburi
"Nchi na vyote vijazavyo ni mali ya Bwana...."
Hakuna anayeukataa ukuu wa Mungu. Lakini unatakiwa kujua kuwa hata anayekupa tahadhari, ni mjumbe wa Mungu pia kwa sababu maarifa yote hutoka kwake.Binafsi ninaona yuko sahihi kwa 100%, kwa sababu ameendelea kumuona Mungu ni mkuu katikati ya vitisho vya kufa kwa Corona.
Katikati ya mambo yote, Mungu atabakia kuwa Mungu. Na katika mambo yote Mungu ni mkuu.