Mchungaji aliedai Corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu, amefariki kwa Corona

Haijalishi kama amekufa, alichofanya alisimamia neno la Mungu...kwamba hakuna jambo lolote kubwa asiloliweza...
 
Hata kama amekufa kwa Corona, alichokisema ni ukweli mtupu, Mungu ni mkuu kuliko Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio wakati mzuri wa mavuno kwa manabii wa uongo kama Gwajima. Lazima wewe utakuwa moja katika waumini wake.

Hivi unawakumbuka wale waumini kutoka dini fulani waliopiga kambi uwanja wa ndege kwa safari ya kwenda Ulaya kueneza injili?

Hawakuwa na pasipoti, tiketi wala viza. Walikuwa na hakika kuwa imani yao kwa Mungu wao ilitosha kufanikisha safari yao!

Ilibidi bakora zitumike kuwatimua kuwatoa uwanja wa ndege. Waumini wa Gwajima nao wana hakika COVID-19 si chochote kwao!

Usimjaribu Bwana Mungu wako!
 
Kweli kabisa, na Marekani hata viongozi wa dini wamefunga makanisa ili kupunguza misongamano na maambukizi.

Kwa watumishi wa Tanzania on the other, hand wanaamini kuwa kanisani kuna immunity, hakuna maambukizi, huko sasa ndiko tunakokuita "kumjaribu Bwana Mungu wako".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemjibu vizuri sana! Haipaswi kulinganisha ukubwa wa Mungu na kile alichokiumba. Watu wanapotoka kwa kuamini covid si kazi ya Mungu bali ya shetani na Mungu anapambana nayo kutuokoa.
Naamini nawe pia, kwamba hakuna kilichopo Duniani ambacho si kazi ya mikono ya Mungu. Sema vinakua sumu kwetu/ vinatuua kwasababu hatuvitumii kama vile Mungu alivyovikusudia vitumike that's all.
 
Hahaha, utasikia kaenda mbinguni.
Washika dini mtakufa na itakua mwisho wenu huku hamkufanya lolote la maana zaidi ya kuomba kiumbe ambacho hakipo. Huyu naona mungu wake hakumsikia mtakuja na explanation kua "ni mapenzi ya mungu" au "siku zake zimefika" hahaha nyooooko.
Huyo mungu wenu ka yupo basi covid imemshinda vibaya mno, sawa na magonjwa mengine yote, vita, natural disasters zote, amekaa anacheki tu hana la kufanya.
Wewe ni mshenzi. Mshenzi ni mtu asiyeamini Mungu au asiye na dini. Unamuingiza Mungu kwani ndiye aliyeleta corona?. Damu ya watu wa Mungu itadaiwa mikononi mwao walioleta gonjwa hili ambao ni ndugu zako yaani wana sayansi wasiomjua Mungu. Wasiomjua Mungu wengi ndio wabaoiharibu dunia sasa kwa kuvumbua mambo mengi ambayo yana athari kwa ustawi wa mwanadamu na mazingira.

Haya bhana nenda kazame chumvini na topeni maana ndio zenu msioamini Mungu wala kumcha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini nawe pia, kwamba hakuna kilichopo Duniani ambacho si kazi ya mikono ya Mungu. Sema vinakua sumu kwetu/ vinatuua kwasababu hatuvitumii kama vile Mungu alivyovikusudia vitumike that's all.
Naam!
 
Wewe ni mshenzi. Mshenzi ni mtu asiyeamini Mungu au asiye na dini. Unamuingiza Mungu kwani ndiye aliyeleta corona?. Damu ya watu wa Mungu itadaiwa mikononi mwao walioleta gonjwa hili ambao ni ndugu zako yaani wana sayansi wasiomjua Mungu. Wasiomjua Mungu wengi ndio wabaoiharibu dunia sasa kwa kuvumbua mambo mengi ambayo yana athari kwa ustawi wa mwanadamu na mazingira.

Haya bhana nenda kazame chumvini na topeni maana ndio zenu msioamini Mungu wala kumcha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha we mshenzi kunizidi. We unamjua mungu yupi? Ulimuona? Si mlisema aliumba kila kitu leo unakataa sio yeye aliyeleta corona? Haha sasa imeumbwa na nani? Hehe umekariri chumvini tu inaonyesha akili yako ilivyojaa uchafu, tunaongelea swala la mungu wenu we unawaza kuzama chumvini? 😂 umasikini unakusumbua wewe
 
Hahaha, utasikia kaenda mbinguni.
Washika dini mtakufa na itakua mwisho wenu huku hamkufanya lolote la maana zaidi ya kuomba kiumbe ambacho hakipo. Huyu naona mungu wake hakumsikia mtakuja na explanation kua "ni mapenzi ya mungu" au "siku zake zimefika" hahaha nyooooko.
Huyo mungu wenu ka yupo basi covid imemshinda vibaya mno, sawa na magonjwa mengine yote, vita, natural disasters zote, amekaa anacheki tu hana la kufanya.
Kama hujawahi kuumba mbingu na nchi basi muheshimu yeye aliyeumba, Bible says " mpumbavu amesema moyoni mwake hamna Mungu" hivyo acha upumbavu ndugu ili usipotee milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio wakati mzuri wa mavuno kwa manabii wa uongo kama Gwajima. Lazima wewe utakuwa moja katika waumini wake.

Hivi unawakumbuka wale waumini kutoka dini fulani waliopiga kambi uwanja wa ndege kwa safari ya kwenda Ulaya kueneza injili?

Hawakuwa na pasipoti, tiketi wala viza. Walikuwa na hakika kuwa imani yao kwa Mungu wao ilitosha kufanikisha safari yao!

Ilibidi bakora zitumike kuwatimua kuwatoa uwanja wa ndege. Waumini wa Gwajima nao wana hakika COVID-19 si chochote kwao!

Usimjaribu Bwana Mungu wako!
😄😄😄
 
Kama hujawahi kuumba mbingu na nchi basi muheshimu yeye aliyeumba, Bible says " mpumbavu amesema moyoni mwake hamna Mungu" hivyo acha upumbavu ndugu ili usipotee milele

Sent using Jamii Forums mobile app

Bible says nonsense. Nimuheshimu aliyeumba wakati hayupo? Bible says what? Hahaha kupotea milele my ass, hivi wasoma biblia mnahisi dunia nzima dini ipo yenu tu? Kuna dini nyingi mno watu wanazaliwa hadi wanakufa hawajamsikia huyo yesu, sasa kama mnahisi ya kweny ndiyo sahihi na nyingine zote feki na wao ndivyo wanavyohisi hivyohivyo. Nani anasema ukweli? Una proof huyo mungu wako yupo? Biblia imejaa makosa mengi mno, unlike you nimeisoma cover to cover mara kibao enzi hizo naamini huo ujinga 100%. Ukianza kuquestion utaona jinsi ambavyo hata story ya yesu peke yake imekosewa kila kitabu kinasema alifanya tofauti na kitabu kingine.Nenda anza kusoma mathayo na vitabu vyote vitatu vinavyofuata uone vinavyojipinga. Upuuzi mtupu mnajifanya hamuoni
 
Unaona Mungu hayupo?

Ulitoka wapi wewe na utaishia wapi endapo hujamkubali aliye kuumba?

Endelea kuwaza kipumbavu maana hata kwa ujinga wako hujui kuwa hata mashetani yanaamini tena kwa kutetemeka kwamba Mungu yupoo na alikuwekea hata hilo domo lako ili ulopoke huo ujinga wako, ole wako.
 
Mkuu domo lake kivipi wakati hapa kaandika hajaongea!
 
Back
Top Bottom