Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

Mzee Antony Lusekelo anapaswa akemewe kwa matamko yake ambayo kimsingi yana lengo la kuchochea uvurugaji wa amani ya nchi.
Leo ktamka yeye hatujui ni kwa masilahi ya nani!
kesho akitamka Padri kesho kutwa akitamka Sheki, n.k watawavuruga Watanzania na matokeo yake sisi sote tutazama.
Inapo fikia suala la mtu kuchezea Amani ya Nchi yetu kamwe tusioneane aibu wala tusimchekee mtu lazima akemewe Vikali, lazima atambue kuwa Yeye LUSEKELO hayupo juu ya MANI YA NCHI YETU.
Kamwe asijaribu kuleta uchochezi halafu anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Amani ya nchi yetu ina thamani zaidi kuliko yeye.
Aache mara moja kauli za kufitinisha watanzania na Serikali yao, aache mara moja kutoa kauli za mifarakano, aache mara moja kauli zisizo na tija kwa taifa.
nashauri tena huyu mchungaji akemewe vikali na waziri wa Mambo ya ndani lkn pia Akemewe vikali na Kamati ya Amani.
 
mimi naunga mkono hoja, samia haelewi lolote, ccm mwisho wake uko karibu sana, take my word
Watu wenye busara hawawezi kuingia makanisani na kuanza kusachi waumini eti umevaa rangi gani ya nguo, kama unawasiwasi utasubiri ibada iishe then uonane nao. Kitendo cha kuvuruga ibada maeneo mbalimbali ikiwemo Mbeya na mwanza ndicho kinacho waibua hao akina Mkwawa/Lusekero kukataa hayo madhambi yenye laana.
 
Hii sumu itaitafuna serikali hii
 
Kila.siku makato kila sehemu yan mwananchi hana pa kukimbilia na kibaya zaidi wanaoyapanga haya hawana shida na maisha wanalipwa malupu lupu mengi sana kiasi kwamba hata hayo makato kama ya miamala ya kwenye simu, na sasa kwenye luku hawayaoni. Bado wanakuja na kauli za dharau dhidi ya wananchi maskini. Watanzania wameshachoka..wamebakiza hatua moja tu ya kutoa uoga..baada ya hapo tutaelewana tu
 
Tumekabwa vilivyo
 
basi mkuu , siwezi lumbana na mtu asiyejua hata nini maana ya hoja
Kwani ni nani asiyejuwa nini maana ya hoja? Unataka kujifanya mjuaji kumbe huna unachojuwa?

Lile andiko uliloweka pale lina hoja yoyote ndani yake?
 
Tuendelee kuchukua tahadhari korona inaua haswa kwa wale wenye magonjwa kama vile;
1. KISUKARI
2. PRESHA
3. UKIMWI
4. SARATANI
5. TB.
6. UGONJWA WA MOYO
 
Angeanza 'kuwaamsha' waumini wa kanisa lake kwanza maana wamelala wamelala usingizi wa pono.
 
Ujumbe ufanyiwe kazi Comrade majaliwa nakuamini sana bro usibadilike
 
Hii nchi inaonekana kuna tatizo mahali...

Ila magufuli kalikomboa taifa... Watu ujinga unazidi kuwatoka kadri siku zinavoenda
 
Mzee ameingia taharuki kutokana na ile taarifa iliyotoka hapa karibuni kuhusu usajili wa haya Makanisa, kuhakiki uongozi, haki za Waamini na michango/sadaka zao n.k.

Ilikuwa lazima achimbe hilo biti kwa maana yeye ni miongoni wa Matapeli wanaoneemeka na mfumo holela wa kumiliki Makanisa na kujipa mamlaka zote juu ya Waumini wakitumia jina la Mungu.

Mimi naunga mkono serikali kupitia upya mifumo ya haya makanisa uchwara na kuwasaidia "Kondoo" wanaochezewa na hawa Viongozi wao.

Na si kweli kwamba Wakristo wote watahamaki kwani hakuna shida kwenye Makanisa yote rasmi kama Catholic, KKT, Pentekoste, Sabato n.k...hili litawaudhi tu Yeye, Gwajima, Kakobe, Mwamposa and the likes.
 
Hawa Watumishi maslahi wadhibitiwe maana wanawadhulumu tu Waumini wao..wasilete vitisho mbuzi.

Yule Mwa Mpesa alisababisha vifo kule Moshi lakini kaachwa huru kabisa kana kwamba Wananchi hawana Msimamizi ambaye ni Serikali.
 

Lusekelo is stupid, stupid indeed. Jiwe amefanya ukandamizaji, akakaa kimya, yote yaliyofanyika na Jiwe aliona sawa as long as he was afe... Jiwe alimtembelea, akamuahidi barabara etc. Akaona interest zake ziko safe, majority shauri zao.
Leo pumbavu limeguswa linalalamika. Lisu alisema ameanza kwetu, akishatumaliza anakuja kwenu,. Stupid, sasa zamu yako Lusekelo. Tena muwe mnakuwa registered kila baada ya wiki mkome washenzi wakubwa
 
Ni kweli kuna maaskofu wako kimya lakini wataongea tu wakiguswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…