Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

Kwanza naomba nieleze wazi kwamba utawala huu ni laini Sana ndio maana unachezewa ,hakuna anaeuonea.

Na hizi chokochoko mara nyingi hutokea kipindi cha viongozi wakiwa Waislamu wakristo na Waislamu huanza mivutano.

Nilichojifunza hii hutokana na upole wa viongozi wa kiislamu,Magu aliwanyoosha Sana kuanzia wakubwa wa makanisa hadi akina gwajiboy walipekuliwa hatukusikia kelele za watu wa imani kuungana au sijui eti kuonewa,hakuna utawala ulikuwa kandamizi kama wa Magu.

Mama stuka kuwa mkali Sana Hawa watakuchezea sharubu na usiwape airtime ya kuongea waufyate kama awamu iliyopita la sivyo watatoa kila matamko na kukupaka uchafu wote.

Bora uwe dikteta kuliko kuwapa watu uhuru wakautumia vibaya kwa propaganda za kijinga,na hii nchi imejaa wajinga huamini Sana propaganda.Magu alikuwa dikteta akawaaminisha watu propaganda wakawa upande wake huku anawaminya wanaonyanyua mdomo.

Ukiniuliza huyo uonevu gani hasa hana majibu,akikwambia Mbowe sijui gwajima ila atajifanya haelewi kwamba gwajiboy alipekuliwa uchi kwake,Akina Mbowe na wengine walikula mapanga,risasi na watu kupotea nk na hakuna alikuwa ananyanyua mdomo juu.Sasa Maza wachekee tuu na uwe unakaa kimya unaogopa kutoka hadharani kuongea kwa ukali na kwa vitendo.

Sasa hivi mzigo wa chanjo kaachiwa Waziri nyie kimyaa,subiri wakuoneshe shoo.
Kwako hao walioenda misa Mwanza wana makosa gani ?!. Kama ni paroko aliwapokea na kuabudu nao pamoja. Uonevu mwingine ni wa kipumbavu.

Na kama ni Mbowe acha atetewe. Kama upande wa mashitaka wana ushahidi waulete mahakamani si kupiga danadana za hakuna gari ya kuwafikisha mahakamani !!.

Kulinganisha u dictator wa mwendazake na wa Sasa si kipimo sahihi. Kwa sababu watu waliongozwa ki dictator awamu ya tano ndiyo tuuendeleze u dictator !!.
 
Ukishaona kauli kama hizo ujue kuna maslahi yashaanza kuguswa...
 
Kwako hao walioenda misa Mwanza wana makosa gani ?!. Kama ni paroko aliwapokea na kuabudu nao pamoja. Uonevu mwingine ni wa kipumbavu.

Na kama ni Mbowe acha atetewe. Kama upande wa mashitaka wana ushahidi waulete mahakamani si kupiga danadana za hakuna gari ya kuwafikisha mahakamani !!.

Kulinganisha u dictator wa mwendazake na wa Sasa si kipimo sahihi. Kwa sababu watu waliongozwa ki dictator awamu ya tano ndiyo tuuendeleze u dictator !!.
Serikali inaleta hatari nchi hii
 
Baadhi ya watu wataweza kukubali hoja yako. Hata hivyo tuulize swali moja. Uchaguzi mkuu 2020 uliendeshwaji na matokeo gani. Kwa nini ilikuwa hivyo.
sio siri JPM aliikosea nchi kwa namna alivyoshughulika na swala la siasa za Tanzania lakini haikuwa sababu ya kupoteza imani yake kwa wananchi kutokana na kuwa hakuwaangusha kwenye suala la kuwaletea maendeleo na kumpa kipaumbele mtanzania masikini. nadhani una majibu ya kilichotokea baada ya upinzani wakisaidiwa na dada yao mange kimambi kushinikiza wananchi kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi. watanzania waliridhika haswaa na uongozi wa JPM isipokuwa watanzania wachache hasaa waliokuwa wanasiasa za upinzani ,matajiri wakwepa kodi na waliokuwa wakiifanya hii nchi kama shamba la bibi.madudu tunayoyaona sasa kipindi chake hayakuwepo mjomba.
 
Anthony Lusekelo anazungumza baada ya serikali kuzigusa taasisi za dini.Huu ni ubinafsi.

Wametakiwa kufanya usajili upya wa taasisi zao, sasa amekumbuka anasema Tanzania ina shida za kisiasa, tozo, COVID-19.. Amewahi kuhubiri hayo masuala kanisani kwake pale Ubungo-Kibangu?
 
Katika hali ya kushangaza, siku zote mzee wa Upako huwa upande wa serikali.
Lakini leo ameamua kuvunja ukimya na kuinyoshea serikali kidole tena kwa ukali kuwa ijihadhari isije kuharibu amani ya Tanzania.

Wakati akitoa angalizo hilo, amewataja kwa majina akianza na Kassim Majaliwa waziri mkuu, Rais Samia na Mpango.

Amewakumbusha kuwa sio vyama vya upinzani pekee huleta machafuko bali hata Serikali huwa ni chanzo cha machafuko.

Ameonya kuwa uonevu ukizidi hata askari taratibu huungana na raia kinyume cha watawala kwani hata wanao onewa ni jamaa zao na maaskari.

Zaidi ameionya serikali kujiepusha na kuingilia mambo ya kidini kwani hata wakizifuta imani za dini ziko mioyoni mwa watu na sio kwenye usajili wa kiserikali.

Amekumbusha kuwa miaka ya 80 serikali ilijaribu kufuta usajili wa makanisa hata kuwafunga wengine lakini ilishindwa na tena wakristo waliungana.

Amesema watu wa imani moja huungana wakati wa kuonewa hivyo wajihadhari na jambo hilo.

Amesema kwasasa serikali ina matatizo makubwa kisiasa, corona nk kwa hiyo isiongezee mzigo wa kidini haitabaki salama.
Zaidi msikilize hapo chini kwenye link.

View attachment 1897536
Ila Gwajima akitoa mawazo yake akamatwe, wengine ruksa.
Hatuchanjwi.
 
Lusekelo nadhani ni mjumbe wa kamati ya Amani inayo ongozwa na sheki wa mkoa wa DSM, sasa kwa nini anaanza kulopoka wakati wana chombo chao ambacho kingejadili jambo hilo na pia kuishauri mamlaka?
inaonekana Lusekelo ana jambo lake analo lijua zaidi yeye.
huu ni unafiki na uzandiki ulio pindukia.

Waziri Simbachaweni anapaswa akemee vikali matamshi kama haya yanayo tolewa na viongozi wa dini maana hayana lengo zuri hata kidogo.
kiongozi kama huyo anapo tamka maneno bila kutafakari kwa kuwa yeye kashiba nyama choma ni hatari sana.
 
Lusekelo nadhani ni mjumbe wa kamati ya Amani inayo ongozwa na sheki wa mkoa wa DSM, sasa kwa nini anaanza kulopoka wakati wana chombo chao ambacho kingejadili jambo hilo na pia kuishauri mamlaka?
inaonekana Lusekelo ana jambo lake analo lijua zaidi yeye.
huu ni unafiki na uzandiki ulio pindukia.

Waziri Simbachaweni anapaswa akemee vikali matamshi kama haya yanayo tolewa na viongozi wa dini maana hayana lengo zuri hata kidogo.
kiongozi kama huyo anapo tamka maneno bila kutafakari kwa kuwa yeye kashiba nyama choma ni hatari sana.
Asikemee ajibu hizo hoja, atetee msimamo wa sirikali
 
Hili lilevi lusekelo likiitwa ikulu na kuhakikishiwa wizi wake wa sadaka utalisikia linaanza kuponda wapinzani..
Hivi watanzania ni wapuuzi kiasi gani hadi kuwaamini majizi kama haya(kakobe,gwajiporn etal
Wanaoshangaza zaidi wapinzani, hasa CDM, kwa ukinyonga wao ambapo sasa wanamshabikia mtu kama Lusekelo! Miaka mitano ya JPM wamefanyiwa ukatili mkubwa mno, hawa wahuni hawajawahi kukemea, walikuwa busy kupokea hongo ndogo ndogo!! Leo hii Serikali mpya imesema itakuwa inahakiki haya makanisa uchwara kila baada ya miaka 5, hawa wahuni wanajifanya kuanza kuikosoa Serikali, eti CDM nao washahamia upande wa hawa watu na kuwaunga mkono!! CDM kwa tabia hizi hakuna mtu atawachukulia serious, lazima muwe na msimamo na mjifunze kupiga mstari, siyo kila siku mnaendeshwa na matukio tu
 
Hata wew huwezi kupigana iwapo hutaona sababu za kupigana mkuu

Si kwa kiongozi wa dini anayemjua Mungu na asiye mbinafsi. Watu wameuwawa nchini mara kibao katika mazingira ya kutatanisha hao watu ni wa Mungu pia alikuwa wapi huyu mzee kukemea wenye mamlaka? Leo usajili wa taasisi za kidini ndiyo anafungua hilo domo.
 
"JPM aliwadekeza sana, huyu alimjengea hadi barabara ya lami waumini wake wapiti".
Mkuu hiyo barabara ilijengwa ndani ama nje ya kanisa?
Mtu alitumia fursa kuomba barabara na akapewa ubaya uko wapi ukizingatia hata wewe pia unafaidika nayo kwa kupitisha ndinga yako bila tabu.
 
Yaani miaka sita hajaona shida kwa Mungu wa palamakandalasi bali miezi sita ya Suluhisho, mwe mwe mwe
Mzee wa upako kaongelea swala la serikali kukwaruzana na taasisi za kidini .kipindi cha miaka sita iliyopita ni lini ulisikia serikali ikikwaruzana na taasisi za kidini
 
Back
Top Bottom