Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

pointless [emoji717]
 
Japo wa wakati wa Magu aliunga mkono juhudi kila kitu hadi uovu
huwezi fananisha wakati wa JPM na sasa kwenye swala la imani ya wananchi kwenye serikali yao, hizi ni tawala mbili tofauti ,kumbuka wakati wa JPM aliyekuwa hapendi uongozi wa JPM ni watu waliokuwa na maslai binafsi na wanasiasa wa upinzani tu lakini kiuhalisia almost watanzania wote walikuwa na imani na uongozi wake tofauti na sasa serikali inaonekana kana kwamba inaenda kukompromise imani yao kwa watanzania ,mfano mzuri aliotolea mzee wa upakao ni swala la tozo. kiufupi wakati wa JPM hakuna namna watanzania walikua wana furaha na uongozi wa JPM.
 
Nchi lazima iongozwe kwa sheria na taratibu. Dini haiwezi kukwepa hilo, huyo mzee wa upako asilete vitisho vyake vya kijuha.
 
Weee mpumbavu hii nchi sio ya shangazi yako . Dini zetu tunaamin iman zetu Leo hii polisi wanaingia Kanisani tena Roma wanabeba watu hii ni mara ya pili walianzia mbeya

Taifa letu sote tunawajibika kulinda umoja wetu na tunu ya ya Amani ya nchi yetu
 
Nawe ulikuwa na maslahi na JPM.
Hakuna kiongozi amepuyanga bila kujua analipeleka wapi yaifa kama JPM.
Huyo jamaq alikuwa na roho mbaya sana japo...narudia japo angeendelea na uongozi miaka mingine mitano angetufanya majasiri na wa bunifu lkn halikuwa lengo lake.

Kumbuka wakati wa mateso watu huwa na njia mbadala za kuishi.

Marudia Jpm alikuwa na roho chafu...japo alikuwa na mazuri sana machache pamoja na uchapaji kazi.
 
Mzee wa upako hana moral authority ya kuzungumzia unyanyasaji, itakuwa ameona anakosa fursa za utawala kwa sasa.
 
Kila mtu duniani anayo maslahi binafsi wewe kilaza
 
Sahihi
 
Itakuwa ulikuwa hujazaliwa wakati wanaingia misikitini.
 
Itakuwa ulikuwa hujazaliwa wakati wanaingia misikitini.
Wanaingia endapo kuna kosa, je kuvaa nguo kuna kosa gani kisheria?
Ukubali ukatae huyu maza anachemka mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…