Mbona mmekasirika hivi tatizo nini?π π π πPunguza kebehi. Ulitaka mchungaji afanyeje?. Aruhusu wachawi kuingia kanisani kuwafurahisha hao waganga.
Waanzie wapi?π π πMisikitini pia walienda?
Huuo mkoa nduo maan umedu a kiuchumi na kimaendeomchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.
Najiuliza kwanini watu Wa tanzania tunanaamini sana kwenye uchawi, Elimu itolewe ili Watanzania Tuache Imani za ushirikina. Imagine kwenye zama hizi za teknolojia bado kila nyumba inalipishwa 5000 na waganga wa kienyeji ili watoe wachawi
View attachment 2932691
R.I.P LOWASSA! Ulisema elimu! elimu! elimu! madhara ya kutopata elimu ndio haya! bado mtu na utu uzima wake anaamini uchawi! upumbavu sana huu!!mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.
Najiuliza kwanini watu Wa tanzania tunanaamini sana kwenye uchawi, Elimu itolewe ili Watanzania Tuache Imani za ushirikina. Imagine kwenye zama hizi za teknolojia bado kila nyumba inalipishwa 5000 na waganga wa kienyeji ili watoe wachawi
View attachment 2932691
Maneno ya kiimani tu na vitisho , alafu situmii ugali mkuuπMwanadamu akishiba ugali huongea lolote.
Ukisoma kichwa Cha habar na ukisikiliza video Ni tofauti...Kanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndio mchawi mwenyewe
Bibi Kalembwana alikuwa na utaratibu unamfuata kwake au unamleta mtu kwa hiari yake mwenyewe halafu ananyolewa uchawi na ushirikina unakwisha.Wafanye iwe official kama Kalembwana kule Malinyi.
Yeah upo sahihi,Karne 16_17 in Europe walipitia katika Imani za kichawi na ushirikina ulikua mwingi Sana..
Jamii nyingi za kiafrika still tupo huko nyuma kwenye Karne ya 16_17
ππHasa Huko OopsKuna mikoa kuendelea never.
Mimi Ni mdau was kusoma Sana news humu jukwaan wakati mwingi nisikoment kitu...Yeah upo sahihi,
Ni transition/ kipindi cha mpito.
Ustaarabu unakuja kwa hatua.
Tumetoka mbali sana.
Ficha upumbavu wakoKanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndio mchawi mwenyewe
Swaga tu hizo za kiimaniMungu hafananishwi na chochote.
Mkuu,Ficha upumbavu wako
Sijatumia lugha ngumu. Nimetumia lugha anayoelewa kirahisiMkuu,
Sijaona ulazima was ku comment kwa lugha ngumu..
Kwanza mama Samia hanaga lugha Kama hii..leo hii nimemsikia mama akiongea yupo very humble down to the earth na sio mtu was kujikweza....Ni kwenye huruma,mpole,mkarimu, mnyenyekevu..
ππππ