Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.

waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.

Najiuliza kwanini watu Wa tanzania tunanaamini sana kwenye uchawi, Elimu itolewe ili Watanzania Tuache Imani za ushirikina. Imagine kwenye zama hizi za teknolojia bado kila nyumba inalipishwa 5000 na waganga wa kienyeji ili watoe wachawi

View attachment 2932691
Huuo mkoa nduo maan umedu a kiuchumi na kimaendeo
 
R.I.P LOWASSA! Ulisema elimu! elimu! elimu! madhara ya kutopata elimu ndio haya! bado mtu na utu uzima wake anaamini uchawi! upumbavu sana huu!!
 
Kigoma, Katavi na Rukwa ina watu wengi wenye akili za kipumbavu sana. Hao Kamchape waliingia hadi maeneo ya Zambia ambako serikali ya huko iliwafurusha na wengine wakakamatwa na kufunguliwa mashtaka.
 
Ficha upumbavu wako
Mkuu,
Sijaona ulazima was ku comment kwa lugha ngumu..

Kwanza mama Samia hanaga lugha Kama hii..leo hii nimemsikia mama akiongea yupo very humble down to the earth na sio mtu was kujikweza....Ni kwenye huruma,mpole,mkarimu, mnyenyekevu..

😊😊😊😊
 
Nawakubali sana kamchape, ikibidi wake na Dar es salaam maana ili jiji limejaa vgagura
 
Mkuu,
Sijaona ulazima was ku comment kwa lugha ngumu..

Kwanza mama Samia hanaga lugha Kama hii..leo hii nimemsikia mama akiongea yupo very humble down to the earth na sio mtu was kujikweza....Ni kwenye huruma,mpole,mkarimu, mnyenyekevu..

😊😊😊😊
Sijatumia lugha ngumu. Nimetumia lugha anayoelewa kirahisi
 
Back
Top Bottom