Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hiyo video ipo wapi?Hii hapa chini ni video hiyo ambayo imezua taharuki mitandaoni kuhusu baadhi ya mafundisho ambayo watumishi wa Mungu wanafundisha siku hizi hasa katika suala zima la muunganiko wa mume na mke kuanzisha familia.