Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

SAS uko anako pelekwa anako amishiwa s anaenda kupeleka Moto huo huo mkuu [emoji91] [emoji91][emoji91] kwa wahumi wa kanisa Hilo Hilo la kkkt kwanin I we kimara tu muda wote wakat wote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa nimeelewa kitu
 
Hafuati miongozo kanisa Lina kalenda yake maalumu ya mwaka mzima kwa aina ya mafundisho Sasa wew unaitwa unaambiwa uifuate unasema wew unaongozwa na mungu is it right? Na mengine mengi
Nashukuru Kwa hili

Lakini mimi mdau wa Karibu, nakuambia kwamba shida hazijaanza leo

Tulianza enzi za akina dayosisi meru, Tukaja na mwenegoha, bagonza , juzi hapa tumevurugana issue za arusha L hospital nk , hoteli ya corridor, ni mengi sana

Ni mwendelezo
 
Umeiweka vizuri sana

Nimekuelewa sana
 
Ni wivu tuu unakusumbua jombaa... [emoji23]
 
Acha kudhalilisha Kanisa dhidi ya madhehebu. Kanisa Katoliki halijawahi kuwa na migogoro, unachokizungumza wewe ni tuhuma kutoka nje ya kanisa si ndani ya kanisa, Na hayo ni majaribu ambayo hata Yesu alipolianzisha alishatabiri kwamba litajaribiwa lakini halitashindwa!

Kanisa ni Moja, Katoliki, Mengine ni madhehebu tu.
 
Mambo mengi yanabadilika ktk nchi sasa hivi. Kwa miaka saba siasa za nchi zimeendeshwa na Chama kimoja na sasa kuna maridhiano ya kisiasa yanayolazimisha baadhi ya haki za msingi za usawa wa kisiasa kwa vyama vyote. Mambo mengi itabidi yafanyike nyuma ya pazia na kila upande wa maridhiano ktk kujihami ili tukiingia uwanjani impact isiwe kubwa sana kwa upande wao!

Kuna baadhi ya watu wana influence kubwa sana kwenye jamii kama wasanii na hawa wachungaji na wanaojiita manabii, mitume nakadhalika. Hawa kama wana mrengo fulani wa kisiasa lazima wawe neutralized kwa kutumia mifumo ya taasisi zao au otherwise! Tutaona mifano mingine hapo baadaye!

Uwezo wangu wa kufikiri ni mdogo sana wakuu ila katika kuwaza kwangu nimepata hayo mataputapu. Naomba kuwasilisha!
 
Huyo Kimaro na Mgogo ndiyo wanalibeba kanisa, shida ni kwamba kazi ya Mungu lazima ipate upinzani wa shetani na hao wanao mletea figisu ndiyo mashetani wenyewe
Mgogo naye ni KKKT mkuu?
 
Kwamba si mtii si kweli, hata kusimamishwa ametii hadharani na ame address viongozi wake kwa heshima zote. Hapo
Mimi siyo Mkristo but nimekuelewa vizuri sana, huyo jamaa uliyemjibu ukisoma maelezo yake ni kama ana Kinyongo flani hivi na yule Mchg Kimaro... Mwisho hebu nisaidie na yule Mchung Mgogo yuko huko huko KKKT?
 
Tuwekee hapa ushahidi wa some video clips na sisi tuone kama kweli ana kuburi?
 
Wanalibeba kanisa maana yake Nini?

Unadhani kanisa Ni label ya mziki kwamba msanii flani anaibeba hio label na akiondoka shughuli imeisha?

Hakuna mkubwa kuliko taasisi.
Lakini taasisi si inajengwa na watumishi wenye weledi? Timu ya taifa ya Argentina [emoji1033] kama taasisi si imeundwa na wachezaji mahiri kama Messi na wengineo?
 
Kanisa ni waumini au ni Jengo?
Kama ni waumini Kimaro anao mtaji mkubwa.
KKKT MSIKURUPUKE KWA HILINITAWAGHARIMU SANA
Umesema vizuri sana.
Ukiona kundi la waumini wanaelekea kwenye Ibada Kanisani usiseme kwamba "wale ni waumini wanalekea kwenye Ibada Kanisani" bali unatakiwa useme kwamba "lile ni Kanisa linaelekea kwenye nyumba ya kuabudia kwa ajili ya Ibada"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…