Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Huyo Hananja nae ππππAnaitwa Mastai.
Hawa jamaa wanaogopeka sana.
Alikuwa Richard Hanaja.
Eliona kimaro.
Na MASTAI.
Hawa jamaa Wana uwezo mkubwa lakini wapo chini ya kanisa. Shida wanaota mapembe.
Sikio linataka kuzidi Kichwa.
Mimi nimezaliwa katika familia ya KKKT anakubatizawa , kupata kipaimara ndani ya KkKT, Kama kuna kitu huwa sikubaliani ni hili suala la kalenda, Mungu anatoa jumbe tofauti,kwa watu wake on his own will kupitia hao watumishi wake wachungaji ,naona kama ile kalenda ina limit that will of God kwa siku husika kwa watu wake ....Mungu ana njia zake
Mkuu mbona unauanika upumbavu wako kirahisi namana hii...wewe endelea kulishwa ujinga huko Mashahidi wa Yehova! KKKT ni Taasisi kubwa haiendeshwi kijijngaAnayemiliki hio kkkt ni nani huyo hataki azidiwe?aje hadharani mbona kajificha.hivi vijikanisa ucharwa ni shida sana
Kwenye hili nahisi pastor Kimaro ataenda kujitafakari.
Mimi ni muumini wa KKKT hapo Kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji Kimaro ni kwamba alikuwa anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alishaonywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake.
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa.
Kimaro ana kiburi cha umaarufu. Mchungaji hafati kalenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii?
Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazoimba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akahubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyopaswa.
Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanya kanisani siyo wa KKKT ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti.
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa.
Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka.
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa Kjitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.
Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.
ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Huko kwa jehova huwa naendeshaje shughuli zenu, hakuna sadaka, hamchangishani?Tuna waambia muachane na makanisa ya kitapeli hamsikii,viongozi wanawaza mpunga tu [emoji3][emoji3][emoji1787] na kukamua waumini
Karibuni mashahidi wa jehova huku [emoji4][emoji4]
.
Hata Mwakasege ambaye ni Mlutheri injili yake haina mipaka ndio maana pamoja na kutii ibada ya Kanisa lake lakini ana huduma yake.
.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
You missed my point!Kwa hio huko KKKT tu mchungaji akiwa maarufu tayari mnamuundia zengwe?ili asiwazidi wachungaji wenzake?
Ndio maana watu wanaanzisha makanisa yao binafsi
Nilikuwa najiuliza ni nini kimempata sasa nimejua,asante sana kwa ufafanuzi huo makiniKwenye hili nahisi pastor Kimaro ataenda kujitafakari.
Mimi ni muumini wa KKKT hapo Kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji Kimaro ni kwamba alikuwa anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alishaonywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake.
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa.
Kimaro ana kiburi cha umaarufu. Mchungaji hafati kalenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii?
Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazoimba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akahubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyopaswa.
Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanya kanisani siyo wa KKKT ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti.
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa.
Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka.
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa Kjitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.
Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.
ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Nitawasindikiza na mdundiko [emoji23]Tunaenda kwa nabii mkuu saivi
Umeongea jambo kubwa kwa ufupi mnooo.Mimi nimezaliwa katika familia ya KKKT anakubatizawa , kupata kipaimara ndani ya KkKT, Kama kuna kitu huwa sikubaliani ni hili suala la kalenda, Mungu anatoa jumbe tofauti,kwa watu wake on his own will kupitia hao watumishi wake wachungaji ,naona kama ile kalenda ina limit that will of God kwa siku husika kwa watu wake ....
Tena wengine uongozi wanaupata kwa njia za kishirikina na makafala, imagine kiongozi wa hivyo atafurahia kazi anayoifanya Pastor Kimario?
Kuliko kumtii Roho Mtakatifu kwanza ?
Ondoa kashfa zako!unaposema vijikanisa unamaanisha Nini?unajua taasisi ya pili kwa ukristo hap tz ni hii?Mungu ndiye mmiliki huwezi kumzidiAnayemiliki hio kkkt ni nani huyo hataki azidiwe?aje hadharani mbona kajificha.hivi vijikanisa ucharwa ni shida sana
Kama ile kauli ya kibaguzi ndo kaitamka kwa kinywa chake kuhusu vijana wa kiislamu na ki kristo sina cha kumtetea due ni kama amespoil image za watu ambao aidha kazin na wanaosaka mkate wao wa kila sikuKwenye hili nahisi pastor Kimaro ataenda kujitafakari.
Mimi ni muumini wa KKKT hapo Kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji Kimaro ni kwamba alikuwa anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alishaonywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake.
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa.
Kimaro ana kiburi cha umaarufu. Mchungaji hafati kalenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii?
Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazoimba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akahubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyopaswa.
Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanya kanisani siyo wa KKKT ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti.
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa.
Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka.
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa Kjitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.
Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.
ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Usharika wa KariakooYupo usharika gan huyu jamaa
Tafuta kanisa lisilo na utaratibu huo,Mimi nimezaliwa katika familia ya KKKT anakubatizawa , kupata kipaimara ndani ya KkKT, Kama kuna kitu huwa sikubaliani ni hili suala la kalenda, Mungu anatoa jumbe tofauti,kwa watu wake on his own will kupitia hao watumishi wake wachungaji ,naona kama ile kalenda ina limit that will of God kwa siku husika kwa watu wake ....
Kwa Mungu Kuna kawaida?duuuuh!Umeongea jambo kubwa kwa ufupi mnooo.
Kitu hiko hupelekea mapokeo na kusababisha kuwa na KAWAIDA ya ibada badala ya kuongozwa n Roho Mtakatifu
Sasa we tafuta kanisa lolote lisilo na utaratibu wowote ule wa kuendesha mambo yake uingie humo...Mimi nimezaliwa katika familia ya KKKT anakubatizawa , kupata kipaimara ndani ya KkKT, Kama kuna kitu huwa sikubaliani ni hili suala la kalenda, Mungu anatoa jumbe tofauti,kwa watu wake on his own will kupitia hao watumishi wake wachungaji ,naona kama ile kalenda ina limit that will of God kwa siku husika kwa watu wake ....
Ndo hayo mapokeo na taratibu zinazojirudia....Kwa Mungu Kuna kawaida?duuuuh!