Dr Justice
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 797
- 855
Mchumia tumbo yuleHuyu mchungaji kawashika papaya....
Thread kama mia 8 hivi....
Afu mwenyewe yuko kimyaaa
Ww jamaa ni Shemasi kweli. Au Shemasi jina!?Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUV’’Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako’’
Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.
Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
shemasi kweli. kwanini unatia shaka na mimiWw jamaa ni Shemasi kweli. Au Shemasi jina!?
Mimi najua Mashemasi huwezi wakuta kwenye social media huku.shemasi kweli. kwanini unatia shaka na mimi
ila wachungaji unaweza kuwakuta?Mimi najua Mashemasi huwezi wakuta kwenye social media huku.
Alafu unajiita shemasi ?? Kwani mchungaji kimaro Kuna alichokisema ni uongo?? Je , hakuna wachungaji matapeli ? Je, hakuna waumuni matapeli?? ... Kwahiyo kusema kwake ukweli imekuwa ni kujivisha kiburi Cha mafanikio?? Ficheni ujinga na utapeli wenu bhana...jisahihisheni nyie mnaojiita wachungaji na maaskofu ...mkiendelea kuandika andika ujinga wenu huku ni kuendelea kumpa credit mwenzenu ...ameongea ukweli mtupu na kamaliza kila kitu ... Kaeni kimya na mjitathimini upya na hizo huduma zenu kama ziko sahihi ???Mchumia tumbo yule
Wachungaji sawa lkn. Mashemasi hasa wa RC sidhani labda kama kuna mashemasi kwenye madhehebu mengineila wachungaji unaweza kuwakuta?
wito wetu kama watumishi ni kuokoa kilichopotea hivyo, nilazima utafte jinsi ya kuwapata mahala walipo. Yesu hakuja kwa walio wakamilifu, ndio maana alikaa na makahaba, walevi n.kMimi najua Mashemasi huwezi wakuta kwenye social media huku.
ndugu daraja la ushemasi lipo kwenye biblia na unaeza kusoma sifa za mtu anayeitwa shemasi katika 1tim 3:7-12. sio cheo cha kanisa fulani, bali ni nafasi ya utumishi inayopaswa kuonekana katika utumishi wa kanisa la kristoWachungaji sawa lkn. Mashemasi hasa wa RC sidhani labda kama kuna mashemasi kwenye madhehebu mengine
Hv hayo mavazi yaliyozuiliwa ni suruali ama ? Mana kuna suruali za kike na za kiume , sijaona sehemu yyte kuwa suruali ni vazi la kiume tuu....Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUV’’Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako’’
Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.
Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Wakati dini inaingia Afrika, hizo nguo hata hazikuwepoNa Shemasi Jimmy 0659 611 252

maandiko yanazuia kuvaa vazi limpasalo mwanaume kuvaa. hakuna suruali ya mwanamke, wala hakuna sketi ya mwanaume, wala hakuna blauzi ya mwanaume. mambo hayo yanafanywa na shetani ili kupoteza wateule wa Mungu. ukienda UHAMIAJI hapo kurasini utaona waliovaa suruali za kubana wanazuiwa kuingia. ebu niambie heima hiyo wanaitoa wapi afu watu wa Mungu tukaikosaHv hayo mavazi yaliyozuiliwa ni suruali ama ? Mana kuna suruali za kike na za kiume , sijaona sehemu yyte kuwa suruali ni vazi la kiume tuu...
Mwenyewe unamjua hapa Jf?Huyu mchungaji kawashika papaya....
Thread kama mia 8 hivi....
Afu mwenyewe yuko kimyaaa
Kanisa lisiingie kwenye "MTEGO" wao, hapo mwanzo tuliamini makundi yapo siasani, kumbe hata kwenye imani yamekuwepo pia, Kama kanisa likitii matakwa yao hao waandamanaji, wachache nini kitatakea?! kanisa litapoteza udhibiti.. wengine nao watatumia mbinu hiyo hiyo pale Kanisa linapochukua maamuzi, kwanza tujiulize?-: hawa watu wanawakilisha K.nyama yote, jibu liko wazi, si kweli ni kikundi kile kile kama cha Dr. Mwikali kisicho jua KKKT ni taasisi na wachungaji ni waajiriwa...., taarifa niliyo nayo baba Askofu katoa tamko la utulivu, basi nimuombe, kama ulivyomzuia Mwikali kuligawa Kanisa nawengine usiwaonee haya, waliuo msimamisha wanamjua kuliko wengine wote.Na Shemasi Jimmy 0659 611 252