Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Baada ya kkkt inafata Moravian, ibada za liturgia zinaenda kupoteaKiufupi huyu Kimaro ameamua ku Mordenize kanisa la KKKT kutoka kwenye old and boring formula ya liturujia tu. Watu sikuhizi wanafocus zaidi kwenye vibe. Vizazi vimebadilika sana vijana wengi wanaohudhuria hizo ibada ni uzao wa kuanzia mwaka 2000.
Mindset zipo tofauti na wazazi wao sio watu wa miaka ya 60 au 70 kama baba zetu.
Vijana (wa) kikristo......Neno wote hakutamka mnaongeza ninyi
Ni sawa, asingekua anajibu hoja kwa vijembeMimi ni Mkristo haswa lkn niwe mkweli.
Kuna majungu, chuki sana kanisani.
Watu wema ni wachache sana.
Wakristo wanaoijua kweli ni wachache sana.
Mimi sio kkkt but ninamtambua Kimaro kama mtumishi wa Mungu wa kweli.
Hata kosa mapungufu lkn haiondoi ukweli kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu
Haha we jamaa unamimina petrol kwenye motoVijana wakristu ni wezi na matapeli tofauti na vijana wa kiislamu, vijana wa kiislamu wanakuzwa kwenye malezi mazuri, sijasema Mimi kasema Kimaro
La martin LutherKwahiyo unataka kusema ni kanisa la shetani?
Du ebwana eee [emoji1783][emoji1783]Uone barua unafikiri Ni mikataba ya Fei Toto hiyo
Yule wa Arusha wapiliSina share ila acheni unafiki mumuache baba wa watu hakuna mkamilifu
Kimaro ni mmoja tu
Ahsante shemasi.. umemaliza kabisaNa Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUV’’Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako’’
Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.
Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Akiongea kimaro ameongea wengine wakimpinga inakua nongwaAlafu unajiita shemasi ?? Kwani mchungaji kimaro Kuna alichokisema ni uongo?? Je , hakuna wachungaji matapeli ? Je, hakuna waumuni matapeli?? ... Kwahiyo kusema kwake ukweli imekuwa ni kujivisha kiburi Cha mafanikio?? Ficheni ujinga na utapeli wenu bhana...jisahihisheni nyie mnaojiita wachungaji na maaskofu ...mkiendelea kuandika andika ujinga wenu huku ni kuendelea kumpa credit mwenzenu ...ameongea ukweli mtupu na kamaliza kila kitu ... Kaeni kimya na mjitathimini upya na hizo huduma zenu kama ziko sahihi ???
Unayajua mavazi ya kiume yaliyokuwa yanavaliwa nyakati hizo..!?Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUV’’Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako’’
Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.
Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Micrometer screw....Gauge gani hiyo umeitumia kujua kuwa amejijenga yeye binafsi zaidi ya Kristo .....!!?
Blue mpauko ina mapaja manono..
Hawa ni ....Blue mpauko ina mapaja manono..
Aisee hakuna Mwagito mwenye akili mbovu aina hii........Mwagito uione barua wewe kama nani sasa?
Nimeona clip wakirusha vitu vyake nje.
Hii kitu inaonesha iko ndani kuliko tunavyoona.
Kosa ni hilo tu la vijana wa kiislam au yapo na mengine ?
Matsai na yale mahubiri yake kama anafundisha Sunday school sijui kama atapona.
Maana anakimbia kimbia kabisa zima sijui huwa anakimbiza nini
USIHUKUMU USIJE KUHUKUMIWA the Bible says