Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Kiufupi huyu Kimaro ameamua ku Mordenize kanisa la KKKT kutoka kwenye old and boring formula ya liturujia tu. Watu sikuhizi wanafocus zaidi kwenye vibe. Vizazi vimebadilika sana vijana wengi wanaohudhuria hizo ibada ni uzao wa kuanzia mwaka 2000.
Mindset zipo tofauti na wazazi wao sio watu wa miaka ya 60 au 70 kama baba zetu.
Baada ya kkkt inafata Moravian, ibada za liturgia zinaenda kupotea
 
Mimi ni Mkristo haswa lkn niwe mkweli.
Kuna majungu, chuki sana kanisani.
Watu wema ni wachache sana.

Wakristo wanaoijua kweli ni wachache sana.
Mimi sio kkkt but ninamtambua Kimaro kama mtumishi wa Mungu wa kweli.
Hata kosa mapungufu lkn haiondoi ukweli kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu
Ni sawa, asingekua anajibu hoja kwa vijembe
 
Na Shemasi Jimmy 0659 611 252

Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.

Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.

Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUV’’Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako’’

Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.

Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Ahsante shemasi.. umemaliza kabisa
 
Alafu unajiita shemasi ?? Kwani mchungaji kimaro Kuna alichokisema ni uongo?? Je , hakuna wachungaji matapeli ? Je, hakuna waumuni matapeli?? ... Kwahiyo kusema kwake ukweli imekuwa ni kujivisha kiburi Cha mafanikio?? Ficheni ujinga na utapeli wenu bhana...jisahihisheni nyie mnaojiita wachungaji na maaskofu ...mkiendelea kuandika andika ujinga wenu huku ni kuendelea kumpa credit mwenzenu ...ameongea ukweli mtupu na kamaliza kila kitu ... Kaeni kimya na mjitathimini upya na hizo huduma zenu kama ziko sahihi ???
Akiongea kimaro ameongea wengine wakimpinga inakua nongwa
 
Na Shemasi Jimmy 0659 611 252

Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.

Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.

Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUV’’Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako’’

Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.

Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Unayajua mavazi ya kiume yaliyokuwa yanavaliwa nyakati hizo..!?
 
USIHUKUMU USIJE KUHUKUMIWA the Bible says

Tofautisha kuhukumu na kukosoa ama kuonya. Hukumu ni pale unaposema Fulani una dhambi itaenda motoni happy ndio unahukumu yani unafanya kazi ya Mungu. Haya mambo ya usihikumu ndio yalioekea msanii maarufu kufunga ndoa na mimba.
 
Back
Top Bottom