Hawa KKKT , ANGELICAN na MORAVIAN viongozi wake wanaipenda Sana Migogoroyaani kwa kimaro anahuburi mambo ya kimungu? ile ni motivation speech na anatafuta umaarufu kwa watu, sio kwa Mungu. ndio maana nasema kwanza aokoke na atafute hekima. kama wewe unaona waumini wanataka kusambaratika halafu hatoi tamko, anaacha tu wampiganie?
yaani kwa kimaro anahuburi mambo ya kimungu? ile ni motivation speech na anatafuta umaarufu kwa watu, sio kwa Mungu. ndio maana nasema kwanza aokoke na atafute hekima. kama wewe unaona waumini wanataka kusambaratika halafu hatoi tamko, anaacha tu wampiganie?
Sawa tuko pamoja mkuuWachaga si kabila kubwa kufika hata nusu ya Wasukuma. Ambao wametoa Rais. Wanyakyusa ni Kabila kubwa lenye Jiji nchini halifikii Wasukuma.
Nlitaka uweze kufikiria kwa upana zaidi nje ya box ujue kitu flani kutotokea haimaanishi hakitotokea. Lakini pia ufahamu kuwa safari bado. So far katika Tanzania yenye Makabila zaidi ya 100 waliotawala hawazidi makabila 10. Hali kadhalika katika madhehebu yote hayo inawezekana yasizidi madhehebu ma 3. Katika Iinsia yenye watu wengi ndo imetoa Rais mara moja. Katika jamii yenye watu wachache zaidi imetoa Rais mara Mbili.
100% ukweli mtupuUmeandika Ukweli Mtupu na umeeleweka.
Eliona Kimaro ameshajiinua sana na hana UTII
Anajipa mamlaka makubwa na kudharau wengine
Amina 🙏🙏Ubarikiwe sana kwa kueleza ukweli.
Ukweli unauma lakini ukweli hutibu.
Kimaro kama ana masikio na asikie sasa.
Karama tupewazo na Mungu zilitolewa bure, na zitumike bure kwa utukufu wa Mungu
Tunawapa tahadhari,makanisa haya ni utapeli mkubwa,ujingaKama ni hivyo basi hupaswi kuchangia chochote kuhusu kanisa hili
Sasa ndio umlazimishe aende likizo?yani unamlazimisha mtumishi kupumzika wakati yupo na ratiba zake,kwa nini wasingesubiri amalize hio semina wiki 2,ndio wamlazimishe likizoYaelekea wewe hujui mchungaji/padre/Askofu nae ni mtu anahitaji kupumzika au unadhani nao wanafanya kazi ndogo? Ndio huenda likizo
Acha mikwara dogoWashirikina combine.
Yule apingaye roho wa Bwana ataangamia tu.
Askofu Bagonza ni hatari weka mbili huyu mtuNilijua ipo siku KKKT watamfyatua out aidha kwa figisufigisu ili akimbie mwenyewe.
KKKT haipendagi mtu alinyooka ktk ukweli, sasa jamaa huwa yupo straight forward huwa hapindipindi hata kidogo, so kwa Lutheran hiyo ni kasoro, pia kuna ngoma nyingine Askofu Bagonza huyu nae ni kisiki hawana cha kumfanya make huyu nae ni kichwa kingine ambacho kimenyooka na hakuna mtu mwenye uwezo nacho ndani ya KKKT.
Cooking trends,yeah its happening yeahHivi views huwa zinapungua je? Kuna siku ilielekea 70k mara paaap ikawa nusu yake
InafikirishaMaombi yake siku anatangaza kupewa likizo na kuhamishwa yalikuwa ya kupandikiza uasi ndani ya kanisa. Ni hekima ya hao viongozi wake tu,anatakiwa avuliwe uchungaji.
Mtu anahamishwa na anaacha mchungaji mwenzake hapo kanisani lakini anafanya kama huyo mchungaji mwenzake sio kitu au sio mchungaji.
Kiburi cha umaarufu ni kibaya sana.
Maeneo ya bwana ya kuabudu yamebadilika na kuwa uwanja wa fujoHawa KKKT , ANGELICAN na MORAVIAN viongozi wake wanaipenda Sana Migogoro
Mikwara si yangu mkuu, Yule unaye mpinga ndio unaweza kuisoma namba kisawasawa.Acha mikwara dogo
YAAANI KANISA LA UBUNGO LIMEPATA SIFA KUTOKANA KIJANA WA USHARIKA CHINI YA MCHUNGAJI NKYA!!!!!! KINA KIPINDI WAZEE WALIJARIBU KUMLETEA FIGISU FIGISU LAKINI WALIKWAMA!!!!!!!!Mkuu umeongea ukweli kuhusu Nkya yaani hata harambee kuhusu kanisa na kuhusu mambo mengine mtu unatoa kiroho safi yaani tunamkumbuka sanaaa sanaaaa na tunampenda
mbona sasa hakuna huwa anahubiri, ni motivational speeches tu ambazo hazisaidii na anatafuta to popularity na kupiganiwa na watu. kwanza akaokoke ndio mengine yafuate.
Maombi yake siku anatangaza kupewa likizo na kuhamishwa yalikuwa ya kupandikiza uasi ndani ya kanisa. Ni hekima ya hao viongozi wake tu,anatakiwa avuliwe uchungaji.
Mtu anahamishwa na anaacha mchungaji mwenzake hapo kanisani lakini anafanya kama huyo mchungaji mwenzake sio kitu au sio mchungaji.
Kiburi cha umaarufu ni kibaya sana.
Tunawapa tahadhari,makanisa haya ni utapeli mkubwa,ujinga
Sasa ndio umlazimishe aende likizo?yani unamlazimisha mtumishi kupumzika wakati yupo na ratiba zake,kwa nini wasingesubiri amalize hio semina wiki 2,ndio wamlazimishe likizo
Waumini mnachezeshwa kwata tu
Haya makanisa ni ujinga na utapeli tu
Huko IG ni kawaida yake kupost mafundisho mara kwa mara.
Hata mimi huwa namfuatilia Bina,
Anaupiga mwingi mno.
Mungu kumuinua imekuwa nongwa.