Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

yaani kwa kimaro anahuburi mambo ya kimungu? ile ni motivation speech na anatafuta umaarufu kwa watu, sio kwa Mungu. ndio maana nasema kwanza aokoke na atafute hekima. kama wewe unaona waumini wanataka kusambaratika halafu hatoi tamko, anaacha tu wampiganie?
Hawa KKKT , ANGELICAN na MORAVIAN viongozi wake wanaipenda Sana Migogoro
 
yaani kwa kimaro anahuburi mambo ya kimungu? ile ni motivation speech na anatafuta umaarufu kwa watu, sio kwa Mungu. ndio maana nasema kwanza aokoke na atafute hekima. kama wewe unaona waumini wanataka kusambaratika halafu hatoi tamko, anaacha tu wampiganie?
Maombi yake siku anatangaza kupewa likizo na kuhamishwa yalikuwa ya kupandikiza uasi ndani ya kanisa. Ni hekima ya hao viongozi wake tu,anatakiwa avuliwe uchungaji.

Mtu anahamishwa na anaacha mchungaji mwenzake hapo kanisani lakini anafanya kama huyo mchungaji mwenzake sio kitu au sio mchungaji.

Kiburi cha umaarufu ni kibaya sana.
 
Wachaga si kabila kubwa kufika hata nusu ya Wasukuma. Ambao wametoa Rais. Wanyakyusa ni Kabila kubwa lenye Jiji nchini halifikii Wasukuma.

Nlitaka uweze kufikiria kwa upana zaidi nje ya box ujue kitu flani kutotokea haimaanishi hakitotokea. Lakini pia ufahamu kuwa safari bado. So far katika Tanzania yenye Makabila zaidi ya 100 waliotawala hawazidi makabila 10. Hali kadhalika katika madhehebu yote hayo inawezekana yasizidi madhehebu ma 3. Katika Iinsia yenye watu wengi ndo imetoa Rais mara moja. Katika jamii yenye watu wachache zaidi imetoa Rais mara Mbili.
Sawa tuko pamoja mkuu
 
Yaelekea wewe hujui mchungaji/padre/Askofu nae ni mtu anahitaji kupumzika au unadhani nao wanafanya kazi ndogo? Ndio huenda likizo
Sasa ndio umlazimishe aende likizo?yani unamlazimisha mtumishi kupumzika wakati yupo na ratiba zake,kwa nini wasingesubiri amalize hio semina wiki 2,ndio wamlazimishe likizo
Waumini mnachezeshwa kwata tu

Haya makanisa ni ujinga na utapeli tu
 
Hivi views huwa zinapungua je? Kuna siku ilielekea 70k mara paaap ikawa nusu yake
 
Nilijua ipo siku KKKT watamfyatua out aidha kwa figisufigisu ili akimbie mwenyewe.

KKKT haipendagi mtu alinyooka ktk ukweli, sasa jamaa huwa yupo straight forward huwa hapindipindi hata kidogo, so kwa Lutheran hiyo ni kasoro, pia kuna ngoma nyingine Askofu Bagonza huyu nae ni kisiki hawana cha kumfanya make huyu nae ni kichwa kingine ambacho kimenyooka na hakuna mtu mwenye uwezo nacho ndani ya KKKT.
Askofu Bagonza ni hatari weka mbili huyu mtu
 
Maombi yake siku anatangaza kupewa likizo na kuhamishwa yalikuwa ya kupandikiza uasi ndani ya kanisa. Ni hekima ya hao viongozi wake tu,anatakiwa avuliwe uchungaji.

Mtu anahamishwa na anaacha mchungaji mwenzake hapo kanisani lakini anafanya kama huyo mchungaji mwenzake sio kitu au sio mchungaji.

Kiburi cha umaarufu ni kibaya sana.
Inafikirisha
 
Mkuu umeongea ukweli kuhusu Nkya yaani hata harambee kuhusu kanisa na kuhusu mambo mengine mtu unatoa kiroho safi yaani tunamkumbuka sanaaa sanaaaa na tunampenda
YAAANI KANISA LA UBUNGO LIMEPATA SIFA KUTOKANA KIJANA WA USHARIKA CHINI YA MCHUNGAJI NKYA!!!!!! KINA KIPINDI WAZEE WALIJARIBU KUMLETEA FIGISU FIGISU LAKINI WALIKWAMA!!!!!!!!
 
Maombi yake siku anatangaza kupewa likizo na kuhamishwa yalikuwa ya kupandikiza uasi ndani ya kanisa. Ni hekima ya hao viongozi wake tu,anatakiwa avuliwe uchungaji.

Mtu anahamishwa na anaacha mchungaji mwenzake hapo kanisani lakini anafanya kama huyo mchungaji mwenzake sio kitu au sio mchungaji.

Kiburi cha umaarufu ni kibaya sana.

Yule alijitengeneza na akajua hawezi ondolewa , maana kashapata jina.
 
Sasa ndio umlazimishe aende likizo?yani unamlazimisha mtumishi kupumzika wakati yupo na ratiba zake,kwa nini wasingesubiri amalize hio semina wiki 2,ndio wamlazimishe likizo
Waumini mnachezeshwa kwata tu

Haya makanisa ni ujinga na utapeli tu

Hajalazimishwa. Walifanya kikao kwanza kwenye ofisi ya Msaidizi wa Askofu DMP. Wakakubaliana. Yeye ndio kajiona yupo juu kuja kuwalilia washirika na kuchochea wafausi. Yule afukuzwe moja kwa moja miasi.
 
Back
Top Bottom