Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mzee ukisema uweke Demokrasia Kanisani utajikuta hamna Kanisa.

Ndio mwanzo wa migogoro Kama tunayoiona.

Huku kwetu kwa Salam Maria ni mwendo wa Amina kwenda mbele na Kanisa linaenda.
Sio kwa dunia tuliyomo, kuitikia tu kama kondoo haiendani na uhalisia wa maisha ya sasa
 
One ...mother

Nimekuelewa asilimia Mia 100 umenena Kweli tupu jamaaa wamejawa kiburii mafundisho yake ma mastai hayana tofauti kbsa wao hawafati kalenda Wala taratibu za ibada za kkkt

Sina tatizo nae kwenye mahubiri Yao ila kujikweza kwaoo hapna kwa Kweli Ni wasi kbsa jamaaa wamejawa kiburii na kujiona wao ndio wamefanya mapinduzi ya ukkkt DMP

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi pia ni msharika wa KKKT kijitonyama.

Yaliyo chini ya PAZIA ni Mengi mno.

1. Kimaro aliota mapembe.

2. KKKT hatukuwa na utaratibu wa mchungaji kukaa USHARIKA mmoja zaidi ya miaka Mitano.

3. Sikio lilitaka kuzidi Kichwa.
Yani alianza kujiona yeye ni mkubwa mno, anafaa kuwa Askofu, Mapinduzi ya Malasusa nk.

4.Kwa Alex Atasubiri sana.
Hata hivyo wamemvumilia mno kimaro.

5.kutofuata utaratibu wa kalenda.
Nyimbo,

Alikuwa na fujo nyingi sana

Stola za beighali.
 
Wewe mbona ulivutiwa na Mashahidi wa Yeshiva ukaacha KkKT!?
 
Jina unalotumia hapa JF haliendani na hii comment yako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 



Yule wa Kebbyz hotel mwenge ?

[emoji3][emoji28]

Umenichekesha Eti yule mwingine alikuwa akifundisha mambo ya wanawake na mapenzi tu basi [emoji108][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]one mother umetisha Hakika unawapata Hawa jamaaa wawili wanaitana mabrother au mabroo yeye na mastai

Ni Kweli kbsa mastai amekaimishwaga ukatibu mkuu wa kkkt DMP

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hyo namba mbili mbona huyu masai hapa korogwe kuanzia nakuja mjini namsikia hadi leo??acheni zenu bhn,,,
 

ANAITWA MASTAI KKKT DMP KIMARA
 

Nakumbuka masai wa kimara siku ya mkesha alisema hakuna wa kumtoa hapo yeye bado yupo sanaaa...[emoji28]
 

Niliwahi kumuangalia siku 1 huko youtube, daah nikasema kijitonyama wana msanii na si mchungaji. Sikurudia tena
 
Hyo namba mbili mbona huyu masai hapa korogwe kuanzia nakuja mjini namsikia hadi leo??acheni zenu bhn,,,

Anaitwa Mastai.

Hawa jamaa wanaogopeka sana.

Alikuwa Richard Hanaja.
Eliona kimaro.
Na MASTAI.

Hawa jamaa Wana uwezo mkubwa lakini wapo chini ya kanisa. Shida wanaota mapembe.

Sikio linataka kuzidi Kichwa.
 
Babu unaongea nn jitahidi uwe na imani achana na kufungua makanisa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…