Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Marehemu Moses Kulola aliondoka TAG na kundi kubwa la waumini na kuanzisha EAGT huku wakiamini TAG itakufa lakini mpaka leo TAG ipo na inazidi kusonga mbele.

Hivyo, hakuna mkuu kuliko Taasisi. Huyo Mch. Kimaro anyenyekee tu vinginevyo asipokuwa makini ndio mwanzo wa huduma yake kuharibika.
 
1. AKIWA siku zake itakuwaje?

2. akipata mimba alafu mshirika ndio gyno wake, yaani mshirika anapitisha mikono huko chini kuangalia kama "K" imefunguka vizuri itakuwaje?

3. Jumapili asubuhi mume wake ukute ana ugwadu na kuna kabaridi kakunjwa kisawasawa na akashindwa kuamka itakuwaje?
Ni upuuzi tu mkuu
 
Anaitwa Mastai.

Hawa jamaa wanaogopeka sana.

Alikuwa Richard Hanaja.
Eliona kimaro.
Na MASTAI.

Hawa jamaa Wana uwezo mkubwa lakini wapo chini ya kanisa. Shida wanaota mapembe.

Sikio linataka kuzidi Kichwa.
Ndo naulizwa kwann haguswi mastai anaguswa eliona??
 
Tena wengine uongozi wanaupata kwa njia za kishirikina na makafala, imagine kiongozi wa hivyo atafurahia kazi anayoifanya Pastor Kimario?
Waache laana inakuja nyuma yao, Maaskofu walioacha alama ya kutukuka ni
Sendoro - Madhariki na Pwani
Kibira - Kagera
Mwamasika - Dodoma
Uhahula - Kusini
Lukilo - Kusini
Kolowa - Tanga
Askofu wa kwanza Arusha namsahau jina
Askofu wa Kwanza Rungwe kama sijakosea Konde
 
Wewe ndiye umefunga mjadala.
Asante kwa taarifa nzuri


Hana lolote huyo!

Ukimsoma vizuri kwa utulivu utagundua yeye Kuna mawili;
1. Ama ndiye Mchungaji Anna
Au
2. Ni wale wanafiki na mahasidi wa kanisa.

Wachawi nao wanasali makanisani!

Lakini Pastor Kimaro kama mmemuonea mjue Mungu anaenda kumuinua zaidi.

Roho wa Mungu ampe subira na hekima kuvuka jaribu hilo.

Ikimpendeza Roho namshauri afanye kama huduma ya Mwakasege.

Au aanzishe kanisa .
 
Migogoro katika kanisa imeanza muda mrefu enzi za waanzilishi wa kanisa.
Kati ya wale wanafunzi wa yesu ambao ndio mwanzo wa kanisa ulianzia kwao nao walikuwa na mafarakano baina yao dhidi ya waamini .
Mwingine aliona yeye ni bora kuliko yule na yule alijiona ni bora kuliko huyo , waathirika wakubwa .

Baadhi ya taasisi za makanisa wamekua na mfumo mzuri wa kutatua migogoro yao bila waumini kuathirika, lakini taasisi nyingine athari zimekua kubwa mno na kupelekea kugawanyika kwa waamini .

Yote ya yote ni maslahi ya kidunia na wala sio maslahi ya kiimani.
Kama PETRO aligombana na PAULO itakuwa hawa wa kuja?
 
Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu...
Kama haya uliyosema yana ukweli basi huyo Pastor wenu Kimaro ni moumbavu na anatakiwa kushikidhwa adabu ila Kwa wajinga wale cheap mind wataona anaonewa gere.
Haitegemewi mtu awe mkubwa kuliko na kujiona Bora kuliko Taasisi.
 
Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa
Kimaro ana kiburi cha umaarufu
Mchungaji hafati karenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii,

Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazo imba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akaubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyo paswa. Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanyq kanisani siyo wa kkkt ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti,
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa

Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa kujitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.

Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.

ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Kama unayoongea ndiyo basi waumini wengi sana wataondoka KKKT.
 
Kwa hili nakuunga mkono Sana ila hata huyu aliyeanzisha kusifu na kuabudu kwenye ibada, ashughulikiwe. Kimaro alijaa majivuno, na niliwahi kusema humu ndani nikapingwa vibaya Hadi matusi.
Kusifu na kuabudu Ni Jambo jema kwani tunamsifu mungu na siyo kimaro

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kipindi dayosisi haikua na katibu mkuu, kwa hiyo pastor wa kimara MASAI alipewa ukatibu mkuu kwa mda ili dayosisi ijipange kutafuta katibu mkuu
Sasa kumbe wakati Masai amewekwa pale akakuta kuna mashtaka yanayo mhusu KIMARO kumbuka masai na kimaro ni pete na kidole, ikabidi jamaa avujishe siri kwa kimaro, sasa kwa sababu friji haigandishi ya kimaro akaja kanisani akasimanga akajisahau mpaka akamtaja mchungaji Anna, hapo ndipo siri ilipofichuka na kuonekana kuna kitu hakipo sawa kanisani
Na baada ya ibada ile nahisi wakubwa waliona jamaa amevuka mipaka sasa wakaamua wamle kichwa, alipokua anaelekea alikua anataka kujiona Mungu.
Huyo Mch Anna inaonekana ndo alikuwa anamchongea sana achukue hiyo nafasi
 
Migogoro katika kanisa imeanza muda mrefu enzi za waanzilishi wa kanisa.
Kati ya wale wanafunzi wa yesu ambao ndio mwanzo wa kanisa ulianzia kwao nao walikuwa na mafarakano baina yao dhidi ya waamini...
Ume hitimisha vizuri sana hapo mwishoni.

Mwenzao anafanya kazi kubwa , maombi watu wanajibiwa matatizo yao yanaisha, wanapata maarifa sahihi,
Wagonjwa wanapata kupona, ndoa zinapona,

Anafundisha hadi watu wanaimarika kiimani na kuanza kutoa zaka kwa hiyari yao baada ya kuelewa mafundisho ya Neno,

Sasa mahasidi, wafitini , wachawi hawataki wanaona anafaidika sana.

Viongozi hayo hawayaoni badala yake wanaangalia maslahi yao .
 
Back
Top Bottom