Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo usharika una mapato makubwa, pesa ndio tatizo, Huyu mchungaji, umaarufu umezidi kuzidi wakubwa wake, ameng'aa sana kuliko viongozi wa kanisa, Tatizo la Lutheran, ukiwa kwenye usharika wenye pesa ndefu, na wewe unanufaika zaidi, Gari, nyumba, miradi, kandarasi.
Mchungaji kwenye usharika mdogo, aina ya gari na nyumba itategemea mapato ya usharika, kama ni madogo, atanunuliwa hata bodaboda, ukiwa kwenye usharika wenye pesa, hapo V8, Prado, nk.
Kingine KKKT kuna ukabila sana, mchungaji akiwa mchaga, kandarasi zote zitaenda kwa wachaga, wahaya nk.
Wazungu wanatoa fungu la kumi ili wewe uvae nguo? Hahahahahkwenye Biblia yako ya MAKABAYO,ila kwa sisi tunaosoma vitabu 66 , lipo:
wewe hapo umevaa sketi ya mtumba ambayo wazungu wametoa fungu la kumi, umevaa pedi ambapo ni msaada wenzio wametoa fungu la kumi, leo asubuhi umefanya tendo la ndoa[morning glory] na mume wako kwa kutumia Durex condom toka marekani ambapo ni fungu la kumi la wazungu kwa nchi maskini, acha mkono na roho korosho, lipa zaka.
Kuna dayosisi nyingi tu zisharuhusu wanawake kuwa wachungaji...zimebaki xhache sana Kama huko Meru..Tokea lini wa KKT wakawa na wachungaji wanawake
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA SUALA LA KUSIMAMISHWA KWA MCH. DKT. KIMARONilijua ipo siku KKKT watamfyatua out aidha kwa figisufigisu ili akimbie mwenyewe.
KKKT haipendagi mtu alinyooka ktk ukweli, sasa jamaa huwa yupo straight forward huwa hapindipindi hata kidogo, so kwa Lutheran hiyo ni kasoro, pia kuna ngoma nyingine Askofu Bagonza huyu nae ni kisiki hawana cha kumfanya make huyu nae ni kichwa kingine ambacho kimenyooka na hakuna mtu mwenye uwezo nacho ndani ya KKKT.
Kuna kanisa lisilokataza dhambi?? Kama lipo hilo sio kanisa la Kristo bali wanajua wenyewe ni kitu gani. Hata Yesu alionya juu ya dhambi na kufa msalabani ili tutapoanguka turudi kwake kwa toba. Huyo asiyekataza hana ushirika na KRISTO.Mashahidi wa Yehova, methodist, baptist, makanisa yametulia Sana haya.
Sema kizazi hiki wanataka makanisa yasiyokataza dhambi. Feel free church yaani haipo tofauti ya Mkristo na Mtu wa mataifa
Ujinga mliolishwa waafrika masalio ni janga la dunia,eti yesu alionya aache kuwaonya wazungu wenzie wasiwatawale na kuwauza WAAFRIKA kama watumwa ambayo ni DHAMBI kubwa kabisa aje akuonye wewe MWAFRIKA MASALIA?Kuna kanisa lisilokataza dhambi?? Kama lipo hilo sio kanisa la Kristo bali wanajua wenyewe ni kitu gani. Hata Yesu alionya juu ya dhambi na kufa msalabani ili tutapoanguka turudi kwake kwa toba. Huyo asiyekataza hana ushirika na KRISTO.
Kufuatia semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo.
Leo rasmi ameaga usharika wa KKKT Kijitonyama Mch. Kimaro amesema anatumia fursa hiyo kuwaaga usharika wa KKKT KIJITONYAMA na kuanzia kesho Mchungaji Anna ataendelea kuwa Mchungaji wa Kanisa hilo, alisema Mchungaji Eliona Kimaro.
Kwa mujibu wa barua hiyo ilisema Mchungaji Kimaro atarudi tarehe 17/03/2023 na barua inamuelekeza kuripoti makao makuu na sio usharika wa KKKT Kijitonyama ambapo atapangiwa sehemu nyingine.
Amesema:
"Mimi ni Mchungaji wa Lutheran ninayeheshimu kiapo changu cha kichungaji na kuishi katika kiapo changu cha kichungaji na maadili pia ya kichungaji kwa neema ya Mungu. Kwa sababu hiyo imenilazimu kutii amri na kwenda kwenye hiyo likizo ya siku 60 na baadae kuripoti kwenye ofisi ya Askofu kama nilivyoelekezwa" Asante.
Mlicholishwa na kukalilishwa na MBWA WAZUNGU hamtakaa muione pepo kwani mnaamini ujinga wa waziwazi,MUNGU hawezi kutuletea wakoloni na dini eti watuokoe wakati huohuo watunyonye kupitia sadaka n.k tafakari!!Wazungu wanatoa fungu la kumi ili wewe uvae nguo? Hahahahah
Halafu unasema nilipe Zaka, Nilipe kwa nani anayenidai?
Fungu la Kumi ni fundisho la Torati kama mafundisho mengine ya Torati.
Nikikuambia hapa unioneshe ni wapi Mungu amekuagiza wewe utoe fungu la Kumi utakimbilia kunukuu Malaki 3:10-12 ambayo hata wewe mwenyewe huielewi.
Kuna kipindi dayosisi haikuwa na katibu mkuu, kwa hiyo pastor wa kimara MASAI alipewa ukatibu mkuu kwa mda ili dayosisi ijipange kutafuta katibu mkuu.
Sasa kumbe wakati Masai amewekwa pale akakuta kuna mashtaka yanayo mhusu KIMARO kumbuka masai na kimaro ni pete na kidole, ikabidi jamaa avujishe siri kwa kimaro, sasa kwa sababu friji haigandishi ya kimaro akaja kanisani akasimanga akajisahau mpaka akamtaja mchungaji Anna, hapo ndipo siri ilipofichuka na kuonekana kuna kitu hakipo sawa kanisani.
Na baada ya ibada ile nahisi wakubwa waliona jamaa amevuka mipaka sasa wakaamua wamle kichwa, alipokua anaelekea alikua anataka kujiona Mungu.
Nqdhani hapo Mchungaji Hekima zilipungua pakubwa .Unajua; RC,KKKT,SDA,morovian,Anglican nk.hizi ni taasisi.Ukiwa chini ya hizi taasisi lazima ufuate sheria na taratibu zake.Short of that wewe utakuwa unafanya uasi.Kwa hiyo kama ilivyo kawaida muasi yoyote hawezi vumuliwa.Kama ukitaka mamlaka binafsi anzisha ministry yako ,kama Lusekelo,kakobe Mwingila etc.Kuna kipindi dayosisi haikuwa na katibu mkuu, kwa hiyo pastor wa kimara MASAI alipewa ukatibu mkuu kwa mda ili dayosisi ijipange kutafuta katibu mkuu.
Sasa kumbe wakati Masai amewekwa pale akakuta kuna mashtaka yanayo mhusu KIMARO kumbuka masai na kimaro ni pete na kidole, ikabidi jamaa avujishe siri kwa kimaro, sasa kwa sababu friji haigandishi ya kimaro akaja kanisani akasimanga akajisahau mpaka akamtaja mchungaji Anna, hapo ndipo siri ilipofichuka na kuonekana kuna kitu hakipo sawa kanisani.
Na baada ya ibada ile nahisi wakubwa waliona jamaa amevuka mipaka sasa wakaamua wamle kichwa, alipokua anaelekea alikua anataka kujiona Mungu.
Hajasema kutotendewa haki, amesema anatii alichoambiwa na wakuu wake ambae ni Askofu Malasusa. Hajasema ameudhika amesema anatii kiapo. Sasa huo ushauri wa yeye kuanzisha kanisa lake umetoka wapi pili ukabila unaouna kanisani KKKT ni upi? Kama wewe sii muumini wa kanisa hili shut up na kuwa mtazamaji mwema.Makanisa na migogoro ni sawa na samaki na maji.
Makanisa yote yemejaa changamoto, wakatoliki na ushoga na ulawiti watoto, waangillikano ushoga, walutheri sadaka na ukabila, wasabato ukabila, unafiki, walokole sadaka, ni balaa tupu.
Anyway, kama anaona hatendewi haki ajutenge na kanisa lake aendelee kufunisha watu wake kama kina kamobe, mwingira, Mama Rwakatale, yule mwingine alikua anafudisha wanawake tu na mapenzi, mxee wa upako nk.
Mfuate YESU Ndugu yangu. Ukimfuata Kimaro utapotea.Inaonekana kabisa hajaridhika na hii "likizo". Ni dhahiri wakati wa likizo maaskofu watatumia likizo hii kumuonya zaidi ikiwa itashindikana bora tu aanzishe kanisa lake sisi tumfuate huko isiwe shida.
La ukabila nakubaliana na wewe kabisa!Huo usharika una mapato makubwa, pesa ndio tatizo, Huyu mchungaji, umaarufu umezidi kuzidi wakubwa wake, ameng'aa sana kuliko viongozi wa kanisa, Tatizo la Lutheran, ukiwa kwenye usharika wenye pesa ndefu, na wewe unanufaika zaidi, Gari, nyumba, miradi, kandarasi.
Mchungaji kwenye usharika mdogo, aina ya gari na nyumba itategemea mapato ya usharika, kama ni madogo, atanunuliwa hata bodaboda, ukiwa kwenye usharika wenye pesa, hapo V8, Prado, nk.
Kingine KKKT kuna ukabila sana, mchungaji akiwa mchaga, kandarasi zote zitaenda kwa wachaga, wahaya nk.