IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Tangu lini mwanamke akawa kiongozi mwema?Mchungaj Anna ndi tatizo pale kanisan kwetu tangu aje yy wafanyakazi wengi wanaondolewa pale Anna ni mfitini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini mwanamke akawa kiongozi mwema?Mchungaj Anna ndi tatizo pale kanisan kwetu tangu aje yy wafanyakazi wengi wanaondolewa pale Anna ni mfitini sana.
Ulimwenguni kuna vichaa wengi ndugu. Wavumiliwe tu
Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo.
Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo kuwaaga Washarika wake na kuanzia Januari 17 Mchungaji Anna ataendelea kuwa kiongozi wa Kanisa hilo.
Kwa mujibu wa barua, Mchungaji Kimaro atamaliza likizo yake ya lazima 17/03/2023 na barua inamuelekeza kuripoti makao makuu na sio usharika wa KKKT Kijitonyama ambapo atapangiwa sehemu nyingine.
Amesema:
"Mimi ni Mchungaji wa Lutheran ninayeheshimu kiapo changu cha kichungaji na kuishi katika kiapo changu cha kichungaji na maadili pia ya kichungaji kwa neema ya Mungu. Kwa sababu hiyo imenilazimu kutii amri na kwenda kwenye hiyo likizo ya siku 60 na baadae kuripoti kwenye ofisi ya Askofu kama nilivyoelekezwa" Asante.
Sasa hapa ndio waumini (wenye kanisa lenu) mnapaswa kupaza sauti na kutafuta njia stahiki za kubadili hiyo aina ya mahubiri iliyopo sasa. Kumuacha mchungaji huyo afanye kinyume na taratibu ambazo hazijabadilishwa huku mkisema mnafurahia afanyacho si sawa kabisa.Sijaona kosa la mch. Kimaro
Mimi kama mlutheri tunataka mchungaji wa aina yake. Wengi tumechoshwa na aina ya mahubiri ya kutafsiri Biblia kama hadithi, ibada nyingi zinapooza ndio maana watu wanakimbilia kwa mitume na pentekoste.
Lutheran kuna shida sehemu nyingi, mchungaji akionekana yuko karibu na anakubalika na waumini anahamishwa.
Inshu sio mchungaji mchaga, inshu kimara wachga ndo wengi na usharika kama wamegeuza kuwa wao coz wananufaika nao, ndo maana wanaongea hakuna wa kumtoa huyo Maksai waoDu ukabila tena, mbona huajawazungumzia Mchungaji Kombo na wengine ambao sio wachaga? Mchungaji wa kimara sio mchaga sasa uchaga unatoka wapi. Askofu wao Malasusa Mnyakyusa wapi mzee unakoelekea??? Mbona unaleta tena chuki za kisiasa/kikabila kanisani?
Ndo Kazi yake hyo.hta Kama angekuwa anatoka mbagalaMimi nilikua nasali kkkt kila j2.. na nilikua nasali Kariakoo Kimaro akiwepo... Nilikuja kujua Askofu Malasusa amebadilisha katiba ili awe askofu milele nilichoka sana... Niligundua huyu askofu ni mroho na yupo kikaz sio kiroho nina miaka mitatu sijawahi kanyaga kanisani. Huyu askofu ana figisu sana na alikua karibu sana na mwenda kuzimu.. Kimaro anajituma sana anastahili kuwa juu na hayo matamshi yalikua ni mambo madogo tu ya kurekebishana.. yule ni binadamu anaeituma sana... iust imagine huamka toka Kimara hadi kanisani kwake saa 10 alfajiri kwa ajili ya morning glory
Kwani si kaenda likizoo...!! Mchungaji kupewa likizo jambo la kawaida sema yeye ndo kayakuzaaa kuonesha kuwa kaonewaaa... aina ya wachungaji ambao usharika ukikuaa na wao ndo wameweka nguvu kuukuza huwa wana changamoto sana za kuongozaaa wao wako mbele sana kukemea ila ukweli na wao ni wachafu vile vile.
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA SUALA LA KUSIMAMISHWA KWA MCH. DKT. KIMAROKwani si kaenda likizoo...!! Mchungaji kupewa likizo jambo la kawaida sema yeye ndo kayakuzaaa kuonesha kuwa kaonewaaa... aina ya wachungaji ambao usharika ukikuaa na wao ndo wameweka nguvu kuukuza huwa wana changamoto sana za kuongozaaa wao wako mbele sana kukemea ila ukweli na wao ni wachafu vile vile.
Sidhani kama kuna la kusaidiwa hapo. Pia Acha kutazama issues kwenye jicho la ukabila.Nyakyusa vs Chaga.Patamu hapo. Tuone Askofu mkuu chaga atamsaidiaje chaga mwenzake.
Asante kwa taarifa lakini mimi si muumini wa hapo, mambo ya Sadaka ni ngumu kujua, nilichogundua kwa haraka ni ibada kuwa tofauti kabisa na ibada za kilutheri nilizozoea.
Ubarikiwe kwa kusema kweliKwenye hili nahisi pastor Kimaro ataenda kujitafakari.
Mimi ni muumini wa KKKT hapo Kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji Kimaro ni kwamba alikuwa anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alishaonywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake.
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa.
Kimaro ana kiburi cha umaarufu. Mchungaji hafati kalenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii?
Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazoimba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akahubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyopaswa.
Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanya kanisani siyo wa KKKT ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti.
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa.
Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka.
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa Kjitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.
Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.
ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO
Nasoma comment,
hii kitu haiko sawa,
Yuko Malasusa yupo Mwangomola, ni nini kipo hapo.
Umeng'ang'ania Hela,hela-kumbumbuka kanisa la Kilutheri Lina utaratibu wake.Issue ni Hela hakuna jingine kuna namna anazuia mapato kwa wazee wa kanisa
Askofu Malasusa anatakiwa kuwa mkali kidogo, amekuwa mpole na imekuwa ni nafasi kwa wachungaji kujiinua na kuwa viburi.Kwenye hili nahisi pastor Kimaro ataenda kujitafakari.
Mimi ni muumini wa KKKT hapo Kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji Kimaro ni kwamba alikuwa anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alishaonywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake.
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa.
Kimaro ana kiburi cha umaarufu. Mchungaji hafati kalenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii?
Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazoimba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akahubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyopaswa.
Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanya kanisani siyo wa KKKT ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti.
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa.
Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka.
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa Kjitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.
Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.
ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Maneno gani hayo mkuu?Kuna maneno niliyasikia juuu yake nikasema kama ni kweli basi anakosea kikubwa kumuombea
Ndo maana mnadanganywa na kina Kimaro.Mussa na Eliya wapi na wapi?Baada ya Mussa aliinuliwa Joshua.
Binafsi simkubali Kimaro ni motivational speaker na si mchungaji.
Huu mgogoro usije ukawa kama ule wa KKKT Dayosisi ya Konde, Mbeya. Inabidi busara itumike maana hii migogoro kwenye taasisi za dini haileti afya kwa maisha ya kiroho ya waumini wake.Mimi Nimezaliwa katika familia ya kiluteri na kupata hadi kipaimara ila mambo haya ya migogoro upande wa viongozi yalinikera ukifuatilia chanzo pesa halafu michango karibia mitano lol niliamua niwe tu nasali kwa ukawaida kwa mashahidi wa yehova watu walio na upendo wa hali ya juu wakiyaishi maisha ya viwango ya kikristo kwa matendo.
Kwanza KKKT inashangaza eti mtu anaweza akaacha kanisa lake la KKKT mtaani ila akawa anaenda kusali usharika wa Kimara eti kisa mchungaji wa Kimara ni maarufu anamvutia swali Je, akifa huyo mchungaji utaendelea kwenda huo usharika wa Kimara?