Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?

Aliacha kunyang
Aliacha kunyanyua mdomo kwa sababu aliona
Serikali ikitekeleza mambo ya maslahi kwa Taifa. Note: TANZANIA KWANZA
 
Mimi Niko na GwajiBoy...
Sina shaka nae kabisa.

Ila hii hoja si ya kupuuzwa kabisa na si GwajiBoy peke yake. Wakristo wote hawa watoa huduma hufumba midomo yao Rais anapokuwa muumini Mwenzao. Na hili tumeisema hapa mara nyingi sana.

Kipindi cha Magu wakati viroba vinaokotwa..
Azory Ben etc hawa wanaojiita watumishi walikuwa wakimuwekea mikono ya Baraka Magu alipotembelea katika nyumba zao za Ibada.

Unafiki huu unatia shaka sana...
 
Wewe ni ponjolo wa JF..kwani wewe ulikuwa wapi hadi umtegemee mtu kama Gwajima.

Kila jambo litashughulikiwa kwa wakati wake na mtu aliye tayari kwa wakati huo.
 
Weka, hapa!, ushahidi,angemkosoa tusingekuwa naye!,
I DOUBT SUKUMA GANG IPO, CHINI CHINI.
KWAIO KAMA HAJAMKOSOA MAGUFULI ALIFANYA DHAMBI KWA MUNGU WAKE SASA HVI ANATUBU

JE ALICHOONGEA AMEDANGANYA??
JE KUNAO UHALISIA WA ALICHOKIONGEA??
Kama jibu ni Hapana hajadanganya.. na ndio kunao uhalisia.... hayo unayoongea yanakuonyesha wewe ni Mtu wa Namna Gani?
 
Alokwambia kukimbia nchi ni SIASA UCHWARA futa namba zake afu mtie BLOCK atakwambia na mambo menginee menginya kipuuzi yatakayokuaibisha..
 
Tunasamehe mkono wa baunsa .
Hata mtume Paul alisamehewa akapewa kazi ya kuokoa watu.
Tumpe Gwajima KAZI ya kutuvusha maana kifua cha kusema anacho.
Apitie mlango wa chaumma!, chadema imejiondoa binafsi.
 
Reactions: rr4
Wa awamu ya tano kashakufa kutokana na hayo aliyokuwa akifanya tupo awamu hii tafadhali tuongelee ya awamu hii this thing must end
 
Wewe una memory ndogo kichwani. Mara hii umesahau kama Gwajima hadi mikojo tulishampima katika awamu ya kwanza ya Jiwe. Jiwe alipoona huyu akiwa nje ya mfumo ni msumbufu alimlob mwaka 2020 akamuiingiza ndani ya Mfumo ili asiwe kikwazo kwa serikali ya Jiwe. Gwajima kwa asili ni mwanaharakati, alianza kupambana na serikali tangu awamu ya Kikwete, then awamu ya kwanza ya Magufuli. 2020 Magu akaona isiwe taabu, dawa yake ni kumleta ndani ili anyamazishwe.

Gwajima hoja zake zina mashiko. Sema nchi hii ina Ma ndindindi wengi. Hivyo, badala ya kujibu hoja ni ama tunakuwa machawa, au tuleta udini au ukabila.
 
Fact
 
In all fairness, Rais kachokonolewa vipi? Kama Gwaji hakuongea awamu ya tano, kaongea awamu ya sita, inayafanya alioongea uongo? Jibuni hoja na si kuleta viroja.
 
Ki
KInachofuata ni kifo tu.
 
Ninachojua ni kuwa kwa Magu mpaka alipakaziwa kujihusisha na madawa na Makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…