Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?

Haikuzuii wewe kuongea. Jibuni hoja
 
Hili juha hapa hoja yake ni Udini
Pumbavu sana
Makonda alijulikana kama mastermind wa wakati ule sasa tukuwekee video za gwajima kuhusu Makonda au unajua na kutuona sisi kama viazi wenzio
 
Ila kuna ukweli,kwa nini alikaa kimya kipindi kile?
Ulikua nje ya Nchi Gwajima aliposumbuana na Magu mpaka na Makonda akajiingiza na kushushiwa jumba la vyeti? Kwa nafsi yako kabisa sema ukweli wewe hoja yako kubwa sana kuna chembe chembe za udini nahisi mpaka dini yako kwenye hii comment yako watu wamechoka sio sababu ya dini yake bali matendo yake.
 
Hili juha hapa hoja yake ni Udini
Pumbavu sana
Makonda alijulikana kama mastermind wa wakati ule sasa tukuwekee video za gwajima kuhusu Makonda au unajua na kutuona sisi kama viazi wenzio
Ukiwa chadema sijui kwanini unakuwa mbishi kweli.
 
Hakusumbuana na Magu,alisumbuana na Makonda kuhusu vyeti feki.
Alitakiwa amtaje Magufuli aache kupoteza watu
 
Kama kuna kakikundi ka utekaji alikaacha magu, na kanaendelea hadi sasa, haina haja ya kuhoji kwa nini wanakapigia kelele sasa, cha msingi akikufaa kipindi kile na hata sasa hakifai!
 

kwani tuko awamu ya ngapi. Hii ni awamu ya tano,
 
Haikuzuii wewe kuongea. Jibuni hoja
Gwaji hana hoja ...

Au yeye ndo hajui UTEKAJI haujaanza leo.

Je ! Alikuwa wapi siku zote. Why now!? What mile is he up to.?

Think Critically
 
Apitie mlango wa chaumma!, chadema imejiondoa binafsi.
Yap kwasasa tutumie chama chochote ili Hawa waizi wakae pembeni kwanza.
We have to rally behind Gwajima and support him.
It takes a lot of guts and big balls to do what he has done.
 
Mada kama hizi ndo zinafanya Watanzania tutukanwe na Wakenya.

Huyo Gwaji leo kaingiza pesa nyingi sana. Yani kuna masikini kule kijijinii ndani wamenunua bundle badala ya mchicha/dagaa watoto wale. Kumsikiliza mtu mmoja tu ambaye hana impact yeyote.

Watanzania Amkeni. Kuweni na akili ya kupima mizani .
 
Sasa kunyamaza wakati wa Magufuri ndio kuhalalisha mauaji ya raia kama mifugo?

Hoja ni kwamba watu wanatekwa na kuuwawa na vyombo vya dola je ni sahihi?
 
Ww mleta mada ulisema nn awamu ya tano.
 
Inaonekana kipindi hicho Binti hukuwa na smartphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…