Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

Ukiwa kwenye nyumba ya kioo uwe mstaarabu usichokoze watu....Sasa walim-beep Gwajima yeye anawapigia live sasa...
 
Tatizo kubwa la watanzania ni uvivu na kupenda majungu. Nakumbuka Biblia Hadithi ya eva na adam. Kwamba eva na adam waliona tunda zuri lavutia na lafaa kuliwa. Hili tatizo la kudadki vitu kwa ushabiki humfanya mtanzania kuwa na very poor logical and metaphysical analysation of things presented before of him or her. Mfano. Askofu Gwajima. Who is Askofu generally,na hata particularly that is according to the Church or denomination he or she serves na sifa zake pengine wajibu na mipaka yake. Jana nilipitia youtube akiongea mambo haya ya makonda. Watu wanashangilia sana nikajiuliza nini hii. Ila kwa kuwa we are so limited watu hawataelewa.
 
Mie tokea nilisikiliza ile clip ya kumtukana Askofu Pengo, mmmmmh!
kweli ni mtoto aliyezaliwa kutoka katika kiuno cha mwanamme!! sina hamu naye
Nakumbuka hata alipo mvua nguo hadharani, aliekua rafiki wake wa karibu Dr Slaa.
Ama hakika Gwajima sio mtu wa kumuamini hata kidogo, maana hachelewe kujifanya rafiki na kumbe anajisogeza ili apate undani wa mtu
 
Askofu na Mchungaji Gwajima amekuwa moja ya watu maarufu na gumzo kubwa sana nchini. aina hii ya watu wapo duniani kote kwa Dini au Imani zote. Mtu wa namna hii unapoanza naye vita unapaswa kwanza kujichunguza. kuchukua muda mrefu kujichunguza wewe kwanza kabla hujaanza kumchunguza yeye na kuangalia udhaifu wake.

Tumemuona mara kadhaa Gwajima akisimama kuzungumza anachoamini pasipo kuuma uma maneno. Tumwona akimsema Laiyekuwa Rais wa Awamu iliyopita, tulimwona akisema Serikali iyopita kwa Ujasiri na kupelekea kupata matatizo kadhaa. Hakuishia hapo tu. aliwasema hata Viongozi wengine ambao aliamini walikengeuka kwa sababu moja au nyingine pasipo hofu kuwa nao wana jamii kubwa na yenye nguvu nyuma yao. Miaka ya nyuma alikuwepo Mchungaji Mtikila. huyu alikuwa na Roho hii pia miaka hiyo. alizungumza alichoamini pasipo kujali jamii kubwa inayomzunguka ina aamini nini.

Kuna haja ya Kujua Mchungaji Gwajima ni nani? ametokea wapi, ameishi katika mazingira gani, anaamini nini, ana elimu gani na kwa nini anajiamini.

tukifaham historia ya gwajima tutajiuliza ni kwa nini alitajwa kwenye uhusika wa kuuza au kujihusisha na madawa ya kulevya? alijiamini nini kusema kuwa akipimwa hata akikutwa ana kemikali za sigara/tumbaku au pombe iitwe ni madawa ya kulevya? wakati wa kupimwa walikuwepo akina nani?

habari zote kuwahusu viongozi mbalimbali au data zao na ujasili alio nao anaupata wapi? watu wa namna hii huongea yale ambayo wengine hawawezi kuongea. huamini kuwa wao ni chachu katika jamii fulani kwa maana ya kuwa wana mchango mkubwa sana. Ukienda kanisani kwa Gwajiama ana waumini wasomi, wasio na elimu dunia kubwa, walio na elimu dunia kubwa,matajiri na maskini. ukiacha waumini wa kanisani kwake. kuna ambao si waumini wa imani yake ila ni watu wanaoamini msimamo wake. na msimamo wa gwajima ni msimamo wa nyundo. hii ni karba au hulka ya watu ambao wao huamini katika kugonga kila amabcho kitakuwa kimewekwa chini yao. gwajima ni nyundo.

Gwajima huwezi ku dela naye kwa vitisho. unahitaji ku deal naye kwa hekima sana na maarifa. unapomtisha yeye huongeza mapambano. huyu ni aina ya watu ambao unaweza ukadhani ni wadogo sana lakini wana ushawishi fulan katika jamii. penda usipende wapo watu wa namna hii.
Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo! Adai yeye ni zaidi ya Rais...
Huyu ni
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".

Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.

Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "huyu kiumbe"!.

Ni nabii wa uongo kwa sababu anahubiri uongo.
Uongo wa Gwajima ni Kumiliki Vyeti vya Daudi Albert Bashite na Paul Christian Makonda Mezani Kwake!.
Ila pia Mchungaji Gwajima amedai, anavyo vyeti vyote ofisini kwake tangu cha Daudi Albert Bashite alichopata Divisheni 0, hadi cheti cha Paul Christian alichounganishiwa na Christina!, na kudai kuwa ana mshitaki Makonda kwa Ndalichako na kwa Magufuli, na asipochukuliwa hatua zozote, yeye atashangaa sana na atavitoa vyeti hivyo hadharani, umma uvione. Jee hii inaweza kuwa kweli?, huu sio uongo mwingine wa mchana kweupe?!. Hili la Mchugaji Gwajima kudai anavyo vyeti vya Daudi Bashite na Paul Christian, kwa maoni yangu, huu ni uongo!, kwa sababu nijuavyo mimi, mtu ulikuwa ukipata Div. 0 hupewi cheti chochote na NECTA zaidi ya Leaving Certificate, Leaving huwa haionyeshi umepata nini, sasa hicho cheti cha Daudi Bashite alichonacho Mchungaji Gwajima, kinachoonyesha Daudi Bashite alizungusha, Gwajima amekitoa wapi?. Kwa vile Daudi Bashite alifeli darasa la saba Nyanza, hawezi tena huyo huyo Daudi Bashite akajiunga na Shule ya Sekondari ya Pamba ambayo ni ya serekali, bali Daudi Bashite baada ya kufeli darasa la 7, hapo ndio mwisho rasmi wa jina la Daudi Albert Bashite, hivyo mtu aliyejiunga na shule ya sekondari ya Pamba, sio Daudi Bashite, bali alitumia jina la mwanafunzi mwingine aliyefaulu, hivyo Mchungaji Gwajima, hawezi kuwa na vyeti vya Daudi Bashite vinavyoonyesha kuwa alizungusha. Kwa kifupi, hakuna Daudi Bashite yoyote aliyesoma sekondari, Daudi Bashite original, aliishia darasa la saba!, hivyo kama Mchungaji Gwajima, anadai, anavyo vyeti vya Daudi Bashite, vinavyoonyesha alipata Div 0, huu utakuwa ni uongo!, ila mtanisamehe sana, sisi wengine tuu miongoni mwa wale wenye imani haba kamaTomaso, hatuamini mpaka tuone!. Kwa hapa naendelea kumwita Mchungaji Gwajima ni muongo hadi pale atakapo vitoa vyeti vya Daudi Bashite hadharani tuvione ndipo nitaamini!.

Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au nabii wa mungu?.
Japo nimewahi kushiriki Ibada kwa Mchungaji Gwajima, naomba mimi nisiseme kitu bali msikilize mmoja wa waumini wake ambaye pia ni mwanachama mwenzetu hapa jf.
Mwisho nimalizie na wewe mchungaji, tulipokutana mara ya kwanza nilikuchukulia kama kaka na kama mlezi wetu wa kiroho!! Lakini umegeuka shetani mwenye pembe saba, umeparaganyisha familia yangu, umeleta maumivu makali kwenye ukoo!! Nakuonya tena kwa mara nyingine, muache mkewangu!! Huyo ni mkewangu, nilimtolea mahali mimi mwenyewe na wazazi wake waliniamini na kunikabidhi!!! Nasema niachie mkewangu!! Wewe ni nyoka, imefika time watanzania wakujue ukweli wako wewe mbwa mwitu mkali uliyevaa ngozi ya kondoo!!! Umedanganya watu vya kutosha na umefarakanisha ndoa nyingi sana kwa sababu ya kiburi cha pesa zako chafu za sembe!! Umeudhalilisha ulokole kiasi cha kutosha imefika time tuwaeleze watanzania ukweli na wakufahamu kuwa wewe ni nyoka!!
Sitakubali kuona ukiendelea kuitesa familia yangu, nitapambana na nitakushinda!!! Siogopi fedha zako wala connection ulizonazo, ni bora nife nikiwa nimesimama kuliko kuishi nimepiga magoti! Nitapambana na wewe mpaka mwisho ili historia isomeke vizuri ili hata wanangu wakiwa wakubwa wajue kuwa baba yao sikuwa lofa kiasi cha kupiga magoti na kuelekeza shingo kibla kuruhusu mdhalimu kama wewe uichinje familia yangu, bali licha ya umasikini wangu nilisimama kiume na kupigana kutetea familia yangu!!!

Narudia tena mchungaji, nitapambana na nitakushinda.."
- The bold
Kwa ushuhuda huu mtaona tuhuma unga kwa Mchungaji hazikutolewa na Makonda kwa wivu wa helicopter au vita vya Jimbo bali Makonda alipewa majina na akayaanika.
Na ukimsikiliza Gwajima hapa, utakubaliana na mimi huyu jamaa sio mzima kabisa japo haokoti makopo.
[QUOTE="Mulhat Mpunga, post: 20009921,

Paskali
 
1. Ni msukuma anayetumia uchawi wa gamboshi kuwalagai wafuasi wake

2. Ni mtu aliyejitangazia uchungaki, uaskofu mwenyewe bila kuwekewa mikono na mtu yeyote

3. Ni mtu anayejiita ' DOCTOR" lakini haijulikani alisoma lini na wapi hiyo PHD hewa na kama vyuo alivyosoma( if any ) vinatambuliwa na TCU

4. Ni mropokaji anayesema anatumia watu " MAKOMBORA" wakati hiyo sio sifa ya ukristo

5. Anamiliki helcopter mbili na mali za thamani kubwa lakini kanisa kaezeka kwa mabanzi na mabati ya ......?
 
Back
Top Bottom