Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja


Shida yako unaleta uongo na siasa. Unamtumia mchungaji Hananja kuongea uongo. Taja jengo moja la mamilioni ya fedha alilojenga Kimaro.
 
Kuna sehemu nimesema shoo na malasusa ni matahira wanaotembea

Shoo kaingiaje hapa?. KKKT inajiongoza kidayosisi. Dayosisi ndio ina mamlaka yote. Halafu taahira unamjua au unajisemea. Viongozi waogope kufanya maamuzi kisa matusi yako. Wewe baking kutukana maana ndio hadhi yako.
 

Wewe tapeli maneno ni yako halafu unadanganya ya Hananja.
 
Mazito gani? Zaidi ya kulalamika kwamba alisimamishwa mwaka mzima. Ukumbuke kwa Sasa Hananja sio MKKKT anaweza kuongea lolote ilimradi alichafue kanisa.
KKKT Sasa ni nyumba ya shetani
 
Ili la Kimaro timing imekosewa.Wataumbuka Sana.
Hakuna mtu anaweza kuliumbua kanisa, hii ya Kimaro imekwisha na acheni kujifariji.

Mwaikali na kundi lake walidhani wana watu na wakadhani wakihama watahama na waumini wote wa Dayosisi ya Konde, kiko wapi leo?

Kimaro ametii mamlaka yake na kiapo chake, acheni kelele. Hata kama akiamua kwenda na kuanzisha huduma binafsi, atakwenda na ataliacha kanisa.

Mungu hawezi kukubali kanisa liumbuke kama mnavyodhani, umaarufu si kitu mbele za Mungu.
 
Mchungaji Hananja alinyimwa mshahara mwaka mzima, imagine, wanaomnyima mshahara ndio wanahubiri amani na upendo, kusamehe mara sabini.

Bila shaka kikombe hiki atakipitia mchungaji Kimaro mbele ya hawa watu wasio na huruma.

Mwenye connection na Dk. Kimaro amuulize atupe namba tumchangie wakati huu ambao viongozi wake wa kanisa wamejiapiza kumtesa yeye na familia yake.
 
Mshana Jr
 
Kanisa au Saccos ya akina Malasusa?
 
Acha uchochezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…