Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Click you tube video inatembea sana huko...Sidhani kama Hananja kaongea hayo!
Weka video tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Click you tube video inatembea sana huko...Sidhani kama Hananja kaongea hayo!
Weka video tuone
Duuuh sasa si uzame you tube? Au bando huna? Acha ligi za kikuda...Shida yako unaleta uongo na siasa. Unamtumia mchungaji Hananja kuongea uongo. Taja jengo moja la mamilioni ya fedha alilojenga Kimaro.
Mbona mipovu sana jombaa?Mazito gani? Zaidi ya kulalamika kwamba alisimamishwa mwaka mzima. Ukumbuke kwa Sasa Hananja sio MKKKT anaweza kuongea lolote ilimradi alichafue kanisa.
Kwa nini aanzishe kanisa lake badala ya kuwashughulikia nyie wahuni wachache?? [emoji12]Unatatizo la kimsingi.
Anzisha kanisa lako kama Mwamposa , Kakobe au Mwingira, hukosi kondoo wa kutafuna.
Yule anajitambua sanaa acha kumchafua banaaMimi ni MKKKT na hicho ukichosema kuhusu katiba ni ukweli mtupu na nmekuwa nikisema kila siku.
Angalia mfano yule Bagonza wa karagwe jinsi alivyo na mapembe!
Yani KKKT ni moja lakini humo ndani ina vipande vingi balaa.
Hañanja Ni kiboko na nusu, haogopi mtuHakuna mtu anaweza kuliumbua kanisa, hii ya Kimaro imekwisha na acheni kujifariji.
Mwaikali na kundi lake walidhani wana watu na wakadhani wakihama watahama na waumini wote wa Dayosisi ya Konde, kiko wapi leo?
Kimaro ametii mamlaka yake na kiapo chake, acheni kelele. Hata kama akiamua kwenda na kuanzisha huduma binafsi, atakwenda na ataliacha kanisa.
Mungu hawezi kukubali kanisa liumbuke kama mnavyodhani, umaarufu si kitu mbele za Mungu.
Tusubiri siku 60 ni chache Sana.Hañanja Ni kiboko na nusu, haogopi mtu
Hao ndo wazururaji wa Makanisani!View attachment 2486594
Mapashkuna ya Dr Rev Kimaro
KkktHivi Bagonza ni kkkt au RC?
Acha kumtukana Askofu Shoo.
Hapo amehusikaje ?
Malasusa ndiye anayehusika na Dayosisi ya Mashariki na Pwani na ndiye anayemsimamia Dr. Kimaro.
Kanisa la KKKT Lina katiba mbovu sana na ndiyo inayosababisha migogoro na wizi mkubwa ndani ya kanisa Hillo. Kanisa la KKKT ni Mali ya Maaskofu . Kila mmoja ana sharubu. Yaani Dr. Kimaro ni WA Malasusa na sio wa Dr.Shoo. Dr. Shoo Hana maamuzi yoyote juu ya Dr.Kimaro. Askofu mkuu alipaswa kuwa na mamlaka makubwa juu ya maaskaofu wote wa KKKT na kuweza hata kuwahamisha kwenye Dayosisi nyingine. Ndio maana Vitega uchumi vya KKKT vinakufa kila mahali Kwa sababu wengi sio waaminifu na hawana sifa za kusimamia miradi Hi hiyo
Ninachokiona ni watu kuwa emotional kupitia kiasi. Mchungaji mzuri hata akinyimwa mshahara Nina uhakika ataishi tu, tena vizuri mno. Nimekuwa kwenye uongozi wa kanisa, mishahara ya wachungaji ni midogo sana, hata kwa wale wanaojua wito wao na kutumika kweli, wako vizuri na wanawazidi hata baadhi ya maafisa wakubwa serikalini. Mungu hawezi kumuacha mtu anayemtumikia kwa uaminifu adharirike hata kidogo. Zaburi37:25 inasema "Nalikuwa kijana na Sasa ni Mzee,sijawahi kumuona mtoto wa mwenye haki akiomba chakula". Sasa hao kina Hananja sijui tuelewe nini, kuwa mchungaji ni wito mkubwa sana na ndani yake Kuna baraka kubwa sana.Mchungaji Hananja alinyimwa mshahara mwaka mzima, imagine, wanaomnyima mshahara ndio wanahubiri amani na upendo, kusamehe mara sabini.
Bila shaka kikombe hiki atakipitia mchungaji Kimaro mbele ya hawa watu wasio na huruma.
Mwenye connection na Dk. Kimaro amuulize atupe namba tumchangie wakati huu ambao viongozi wake wa kanisa wamejiapiza kumtesa yeye na familia yake.
Au Dr. Mbilu Wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Tanga . Ni watu wenye maono makubwa na ni waadilifuWampe Bagonza hili kanisa litanyooka mbona?
Dr. Mbilu ndo amemrithi Dr. Munga?Au Dr. Mbilu Wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Tanga . Ni watu wenye maono makubwa na ni waadilifu
Ndo mkuu.Dr. Mbilu ndo amemrithi Dr. Munga?
Tukubali tu kuwa kuna kundi kwenye Hizi taasisi ambalo halitaki mabadiliko . Hawa Hata HUKO SERIKALINI Wapo hawataki Katiba mpya .Hakuna mtu anaweza kuliumbua kanisa, hii ya Kimaro imekwisha na acheni kujifariji.
Mwaikali na kundi lake walidhani wana watu na wakadhani wakihama watahama na waumini wote wa Dayosisi ya Konde, kiko wapi leo?
Kimaro ametii mamlaka yake na kiapo chake, acheni kelele. Hata kama akiamua kwenda na kuanzisha huduma binafsi, atakwenda na ataliacha kanisa.
Mungu hawezi kukubali kanisa liumbuke kama mnavyodhani, umaarufu si kitu mbele za Mungu.
Ni Hatari sana .Mchungaji Hananja alinyimwa mshahara mwaka mzima, imagine, wanaomnyima mshahara ndio wanahubiri amani na upendo, kusamehe mara sabini.
Bila shaka kikombe hiki atakipitia mchungaji Kimaro mbele ya hawa watu wasio na huruma.
Mwenye connection na Dk. Kimaro amuulize atupe namba tumchangie wakati huu ambao viongozi wake wa kanisa wamejiapiza kumtesa yeye na familia yake.
KabisaNi Hatari sana .
Kanisa la Kiluteri ni kanisa la kiinjili na ndilo kanisa liloleta matengenezo Kwa kusimamia Biblia.
Hata HIVYO baadae ya Martini Luther Kiongozi Wa matengenezo akiwa NDANI ya kanisa Katoliki kufariki walitokea watu wenye Tamaa za kuwa wakubwa na kupandikiza watu NDANI ya kanisa Ili libaki Katika misingi Mibaya aliyoikataa Luther. Katiba au SHERIA za Kanisa la KKKT ni kinyume na Neno la Mungu na misingi ya kanisa ambayo ni kuhubiri Injili ya kweli Kama Luther alivyofanya na SIO kuwafurahisha maaskofu Bali Kristo. Kanisa limerudi kwenye misingi ya kuwasujudia maaskofu na kuacha Injili kama ilivyoandikwa NDANI ya Biblia.
Hatujasikia Kashafa ya Kimaro kuiba FEDHA za kanisa au Kutembea na wake za watu au KUFANYA vitendo vya kunajisi watoto ZAIDI ya kukemea ubinafsi, majungu, fitina,rushwa,Wizi , uongo, usaliti, kukosa uaminifu Kwa Wakristo,kuchongeana,uvivu na KUTUMIA madaraka vibaya. Sasa anasimamishwa Kwa kosa Gani? Anapigwa vita na wanaojiona kuwa wao ndio waajiri Kwa kosa Gani.?
Analipwa Mshahara Kwa sadaka za waumini na SIO pesa za maaskaofu Wala kanisa halina mfuko Wa pamoja Wa kuwalipa Zaidi ya kutegemea sadaka. Malasusa ana misma Karibu Ishirini kwenye uaskofu na maisha yake ni mazuri Sasa Kwa nini anasikiliza majungu na watu wenye tamaa wanazipenda kutengenezewa mausharika na wenzao wanaokesha na kufunga Ili makanisa yasonge mbele kimapato na KIROHO.
Sasa Kuna watumishi ambao ni wachumia tumbo wakishaona Mchungaji Fulani ameimarisha usharika KIROHO na kiuchumi Wanacheza dili Ili wahamishiwe kwenye sharika hizo matokeo yake ni kuwa na Taasisi iliyojaa majungu na fitina na Chawa NDANI ya Kanisa